-
Kan TV: Askari 17 wa Israel wameuawa katika mashambulizi ya Hizbullah
Mar 21, 2024 06:42Vyombo vya habari vya Kizayuni vimetangaza kuwa, wanajeshi 17 wa utawala wa haramu wa Israel wameangamizwa katika mashambulizi ya Harakati ya Hizbullah ya Lebanon.
-
Hizbullah yaipiga komandi ya kijeshi ya Israel kwa makombora ya mizinga
Mar 08, 2024 23:27Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imejibu jinai za utawala wa Kizayuni dhidi ya Ukanda wa Ghaza kwa kukitwanga kwa makombora kituo kilichoanzishwa karibuni tu cha komandi ya kijeshi ya Israel kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.
-
Hizbullah yayatwanga tena maeneo ya Wazayuni kwa mvua ya makombora
Mar 06, 2024 10:31Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa, imekitwanga kwa makumi ya makombora ya Katyusha, kitongoji cha walowezi wa Kizayuni cha Kfar Blum cha kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel.
-
Ngome za Israel zanyeshewa kwa 'mvua' ya makombora ya Hizbullah
Feb 25, 2024 06:25Wanajihadi wa Harakati ya Muqawama ya Hizbullah ya Lebaon wameshambulia kwa makombora na maroketi kambi kadhaa za utawala wa Kizayuni katika ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu usiku wa kuamkia leo.
-
"Hali ngumu" ya utawala wa Kizayuni katika vita na Hizbullah ya Lebanon
Feb 22, 2024 06:42Vyanzo vya habari vya Kiebrania vimeonya juu ya hali ngumu itakayoikabili Israeli ikiwa itaanzisha vita dhidi ya Lebanon na uwezekano wa kuangamia maelfu ya Waisraeli, kufuatia vitisho vya mara kwa mara vya maafisa wa Israeli dhidi ya Lebanon na Hizbullah.
-
HAMAS yaendelea kuwatwanga kwa maroketi wanajeshi vamizi wa Israel
Feb 16, 2024 23:18Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina HAMAS imeendelea kuwatwanga kwa maroketi wanajeshi vamizi wa utawala wa Kizayuni wa Israel kujibu jinai zinazofanywa na Wazayuni hao makatili dhidi ya Wapalestina wasio na hatia.
-
Mashambulizi makubwa ya makombora kutoka Lebanon yazilenga ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel)
Feb 14, 2024 23:01Duru za habari zimetangaza kuwa mashambulizi makubwa ya makombora kutoka upande wa kusini mwa Lebanon yalifanyika katika ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za palestina jana Jumatano.
-
Nasrullah: Chimbuko la nguvu za muqawama ni Mapinduzi ya Kiislamu
Feb 14, 2024 04:04Katibu Mkuu wa Harakati ya Hizbullah ya Lebanon amelipongeza na kulishukuru Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu la Iran (IRGC) kwa kuiunga mkono kambi ya muqawama katika mapambano dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.
-
Wanajeshi 560 wa Israel wameshaangamizwa hadi hivi sasa Ghaza
Feb 01, 2024 03:44Jeshi la utawala wa Kizayuni ambalo ni maarufu kwa kuchuja mno habari limesema katika taarifa yake ya jana kwamba, hadi hivi sasa wanajeshi 560 wa Israel wameshaangamizwa tangu vilipoanza vita vya Ghaza, tarehe 7 Oktoba, 2023.
-
Hizbullah ya Lebanon yalenga maeneo ya Wazayuni
Jan 04, 2024 02:04Hizbullah ya Lebanon imelenga maeneo kadhaa ya Wazayuni karibu na mpaka wa Lebanon na ardhi zinazokaliwa kwa mabavu (Israel).