Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hizbullah ya Lebanon

  • Hizbullah yauvurumishia maroketi mji unaokaliwa kwa mabavu na Israel karibu na Lebanon

    Hizbullah yauvurumishia maroketi mji unaokaliwa kwa mabavu na Israel karibu na Lebanon

    Dec 21, 2023 07:53

    Wanamuqawama wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon wameendeleza mashambulizi yao dhidi ya maeneo ya Israel, na mara hii wameuvurumishia maroketi mji wa kaskazini unaokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel karibu na mpaka wa Lebanon.

  • Hizbullah ya Lebanon yashambulia ndani ya saa moja vituo sita vya jeshi la Kizayuni

    Hizbullah ya Lebanon yashambulia ndani ya saa moja vituo sita vya jeshi la Kizayuni

    Dec 09, 2023 02:42

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetangaza kuwa imevishambulia vituo sita vya kijeshi vya utawala wa Kizayuni wa Israel kwa "silaha mwafaka" na kuvisababishia hasara kadhaa.

  • Hizbullah: Israel 'itafutwa' ikiwafukuza Wapalestina Gaza

    Hizbullah: Israel 'itafutwa' ikiwafukuza Wapalestina Gaza

    Nov 16, 2023 02:58

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema utawala haramu wa Israel utasambaratishwa na kufutwa katika uso wa dunia iwapo utajaribu kuwafurusha wananchi wa Palestina wanaoshi katika Ukanda wa Gaza.

  • Israel yafyata mkia, yasema haitaki kuingia vitani na Hizbullah

    Israel yafyata mkia, yasema haitaki kuingia vitani na Hizbullah

    Oct 25, 2023 04:06

    Rais Isaac Herzog wa Israel amedai kuwa, utawala huo wa Kizayuni hauna azma ya kuingia vitani na Harakati ya Hizbullah ya nchini Lebanon katika upande wa kaskazini, siku chache baada ya viongozi wa Marekani kuwatahadharisha watawala wa Israel kuhusu ugumu na hatari ya kuendesha vita viwili kwa wakati mmoja; upande wa kusini na Harakati ya Hamas ya Palestina na upande wa kaskazini na harakati yenye nguvu kubwa ya kijeshi, Hizbullah.

  • Hizbullah yatoa taarifa kuhusu mashambulio makali iliyofanya dhidi ya ngome za Israel

    Hizbullah yatoa taarifa kuhusu mashambulio makali iliyofanya dhidi ya ngome za Israel

    Oct 14, 2023 23:03

    Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa na kutangaza kuwa imetoa kipigo kikali katika mashambulio iliyofanya dhidi ya ngombe za jeshi la utawala haramu wa Kizayuni wa Israel katika katika mashamba ya Shabaa ya ardhi ya Lebanon inayokaliwa kwa mabavu na utawala huo.

  • Afisa wa usalama wa utawala wa Israel: Maneno ya Nasrullah hayapaswi kupuuzwa

    Afisa wa usalama wa utawala wa Israel: Maneno ya Nasrullah hayapaswi kupuuzwa

    Aug 19, 2023 22:57

    Naibu Mkuu wa Shirika la Usalama la utawala wa Kizayuni wa Israel amesema kwamba, matamshi yaliyotolewa na Katibu Mkuu wa harakati ya Hizbullah ya Lebanon, Sayyid Hassan Nasrullah, hayapaswi kupuuzwa.

  • Hizbullah: Hakuna njia ya kujitoa katika mzozo wa urais isipokuwa mazungumzo

    Hizbullah: Hakuna njia ya kujitoa katika mzozo wa urais isipokuwa mazungumzo

    Jun 27, 2023 01:06

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon ameashiria mgogoro kuhusu suala la kumchagua rais mpya wa nchi hiyo na kusema mazungumzo ndiyo njia pekee ya kuondokana na mgogoro huo. Amesisitiza kuwa kuendelea hitilafu juu ya suala hilo hakuna manufaa yoyote.

  • "Njia za chini ya ardhi za Hizbullah"; zilzala haribifu kwa utawala wa Kizayuni

    Jun 18, 2023 00:54

    Duru za habari za lugha ya Kiibrania zimetangaza kuwa Harakati ya Mapambano ya Lebanon ya Hizbullah inaimarisha nguvu na uwezo wake wa chini ya ardhi na kwamba harakati hiyo inaweza kubomoa na kuharibu vitongoji vya walowezi wa Kizayuni kupitia njia hizo za nchini ya ardhi.

  • Sheikh Naim Qassim: Makubaliano ya Iran na Saudi Arabia yalikuwa ya kishujaa

    Sheikh Naim Qassim: Makubaliano ya Iran na Saudi Arabia yalikuwa ya kishujaa

    Apr 20, 2023 03:24

    Naibu Katibu Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, makubaliano yaliyofikiwa hivi karibuni baina ya Iran na Saudi Arabia ya kuanzisha tena uhusiano wao wa kidiplomasia yalikuwa ya kishujaa.

  • Hezbollah ya Lebanon yatahadharisha kuhusu kuchelewa kuanzisha uhusiano na Syria na China

    Hezbollah ya Lebanon yatahadharisha kuhusu kuchelewa kuanzisha uhusiano na Syria na China

    Apr 17, 2023 21:58

    Mwakilishi wa Baraza Kuu la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa hii leo Ulimwengu wa Kiarabu unaelekea upande wa Syria kwa uamuzi wake na kwa kuzingatia maslahi yake.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS