Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Hizbullah ya Lebanon

  • Wanamuqawama wanne wa Hizbullah wauawa shahidi kusini mwa Lebanon

    Wanamuqawama wanne wa Hizbullah wauawa shahidi kusini mwa Lebanon

    Aug 21, 2024 22:49

    Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon jana Jumatano ilitangaza habari ya kuuliwa shahidi wapiganaji wake wanne kusini mwa nchi hiyo.

  • Droni ya Hizbullah yapaa juu ya makazi ya waziri mkuu wa Israel bila ya kutunguliwa

    Droni ya Hizbullah yapaa juu ya makazi ya waziri mkuu wa Israel bila ya kutunguliwa

    Aug 19, 2024 02:41

    Droni (ndege isiyo na rubani) ya Hizbullah iliyotengenezwa maalumu kwa ajili ya kupiga picha, imeruka kwenye kitongoji cha Qaysaria (Caesarea) ambalo ni eneo analoishi waziri mkuu wa utawala wa Kizayuni, Benjamin Netanyahu na familia yake.

  • Wazayuni waingiwa kiwewe na hofu kutokana na uwezo wa makombora ya Hizbullah

    Wazayuni waingiwa kiwewe na hofu kutokana na uwezo wa makombora ya Hizbullah

    Aug 17, 2024 22:54

    Harakati ya Hizbullah ya Lebanon, kwa mara ya kwanza, imeonyesha picha na video za miji yake ya makombora, ambayo ni ishara ya uwezo wa Muqawama kwa ajili ya kujihama, jambo ambalo limesababisha hofu na wahka miongoni mwa Wazayuni.

  • Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kwa mnasaba wa maadhimisho ya

    Taarifa ya Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran kwa mnasaba wa maadhimisho ya " Siku ya Muqawama wa Kiislamu"

    Aug 14, 2024 03:52

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imetoa taarifa na kupongeza kuadhimishwa "Siku ya Muqawama wa Kiislamu."

  • Matokeo ya operesheni 2,500 za kijeshi za Hizbullah ya Lebanon dhidi ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu

    Matokeo ya operesheni 2,500 za kijeshi za Hizbullah ya Lebanon dhidi ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu

    Aug 05, 2024 11:41

    Katika siku 300 zilizopita tangu kuanza hujuma za utawala wa Kizayuni dhidi ya Gaza, Hizbullah ya Lebanon imelenga shabaha maeneo mbalimbali utawala huo katika operesheni za kijeshi 2,500.

  • Hizbullah yafanya mashambulizi mapya dhidi ya Israel; ving'ora vyalia mtawalia + VIDEO

    Hizbullah yafanya mashambulizi mapya dhidi ya Israel; ving'ora vyalia mtawalia + VIDEO

    Aug 04, 2024 03:54

    Duru za habari za utawala wa Kizayuni wa Israel zimetangaza kuwa, ving'ora vilisikika mtawalia jana, kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuni, kutokana na mashambulizi makali yaliyofanywa na Hizbullah ya Lebanon.

  • Hizbullah: Mauaji ya Haniya yataimarisha zaidi azma ya wanamapambano ya kukabiliana na adui

    Hizbullah: Mauaji ya Haniya yataimarisha zaidi azma ya wanamapambano ya kukabiliana na adui

    Jul 31, 2024 23:46

    Harakati ya Muqawama wa Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imetoa taarifa na kusisitiza kwamba, kuuawa shahidi Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya HAMAS kutaimarisha zaidi azma ya wapiganaji wa Muqawama ya kukabiliana na adui Mzayuni.

  • Kharazi: Madai ya Israel ya kuhusisha tukio la Golan na Hizbullah ni njama na kichekesho

    Kharazi: Madai ya Israel ya kuhusisha tukio la Golan na Hizbullah ni njama na kichekesho

    Jul 30, 2024 08:21

    Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Mahusiano ya Kigeni la Iran ameyataja madai taliyotolewa na Israel ya kulihusisha tukio la Golan inayokaliwa kwa mabavu na Hizbullah kuwa ni kichekesho.

  • Jeshi la utawala wa Kizayuni lafanya shambulio la anga kusini mwa Lebanon

    Jeshi la utawala wa Kizayuni lafanya shambulio la anga kusini mwa Lebanon

    Jul 29, 2024 02:47

    Ndege za kivita za jeshi la utawala wa Kizayuni kwa mara nyingine tena zimeshambulia kwa mabomu maeneo tofauti ya kusini mwa Lebanon.

  • Iran yaionya Israel dhidi ya 'chokochoko mpya' kuhusu Lebanon

    Iran yaionya Israel dhidi ya 'chokochoko mpya' kuhusu Lebanon

    Jul 28, 2024 07:27

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran ametahadharisha kuhusu chokochoko yoyote mpya ya utawala wa Kizayuni wa Israel mkabala wa Lebanon.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS