-
Hizbullah ya Lebanon yashambulia vitongoji vya Wazayuni
Jul 21, 2024 23:01Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon kwa mara nyingine tena imekishambulia kwa makombora kitongoji cha walowezi wa Kizayuni cha Dona, kaskazini mwa Palestina inayokaliwa kwa mabavu (Israel).
-
Jumanne, tarehe 16 Julai, 2024
Jul 15, 2024 23:21Jumanne tarehe 10 Muharram 1446 Hijria, sawa na Julai 16 mwaka 2024.
-
Mwanadiplomasia wa Iran atahadharisha kuhusu taathira za vita vya utawala wa Kizayuni dhidi ya Lebanon
Jul 02, 2024 08:23Mshauri wa Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ambaye pia ni Mkuu wa Baraza la Kistratejia la Uhusiano wa Nje la Iran ametahadharisha kuhusu mashambulizi yanayoweza kuanzishwa na utawala unaotekeleza mauaji ya kimbari wa Israel dhidi ya Lebanon.
-
Kuondolewa Hizbullah ya Lebanon katika orodha ya magaidi ya Arab League, matunda ya kikanda ya Kimbunga cha Al-Aqsa
Jul 01, 2024 23:06Baada ya miaka 8 kupita, hatimaye Jumuiya ya Nchi za Kiarabu imeliondoa jina la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon kwenye orodha yake ya kigaidi.
-
Hizbullah ya Lebanon yaendelea kushambulia maeneo ya jeshi la utawala wa Kizayuni
Jun 27, 2024 04:37Wapiganaji wa Hizbullah ya Lebanon kwa mara nyingine tena wamelenga na kusababisha maafa na uharibifu mkubwa katika maeneo ya wanajeshi wa Kizayuni kwenye mpaka wa nchi hiyo na Palestina inayokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Jibu la Hizbullah litaurejesha utawala wa Israel katika Zama za Mawe
Jun 23, 2024 04:07Kituo cha Taarifa za Vita cha Hizbullah ya Lebanon kimetangaza kuwa, shambulio kali la harakati hiyo ya muqawama dhidi ya vituo nyeti vya utawala wa Kizayuni, ambavyo vinajulikana tu na vyombo vya usalama vya utawala huo, litairejesha Israel katika zama za mawe.
-
Guterres: Dunia haiwezi kustahamili Lebanon iwe Gaza nyingine
Jun 22, 2024 07:02Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ameelezea wasi wasi mkubwa alionao kutokana na kushtadi taharuki baina ya Harakati ya Hizbullah ya Lebanon na utawala wa Israel na kusisitiza kuwa, dunia haiwezi kuvumilia Lebanon igeuzwe Gaza nyingine.
-
Hizbullah yashambulia kiwanda na kambi za kijeshi za Israel
Jun 19, 2024 07:46Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imeshambulia kwa makombora na ndege zisizo na rubani kiwanda na kambi kadhaa za kijeshi za utawala wa Kizayuni Israel huko kaskazini mwa ardhi za Palestina zilizopachikwa jina bandia la Israel, kujibu chokochoko za jeshi hilo katili.
-
Tovuti ya Kizayuni: Hizbullah inatumia akili mnemba katika droni zake
Jun 16, 2024 03:04Tovuti ya Walla ya lugha ya Kiebrania imekiri katika ripoti yake mpya kabisa kwamba harakati ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon imeweza kupenya kwenye ukuta wa ulinzi wa jeshi la Israel kwa droni na ndege zake zisizo na rubani na kuchota taarifa za kijasusi.
-
Hizbullah yayatwanga tena kwa makombora maeneo ya Wazayuni
Jun 15, 2024 23:14Harakati ya Hizbullah ya Lebanon imefanya mashambulio mapya dhidi ya maeneo ya kijeshi ya utawala wa Kizayuni kaskazini mwa ardhi za Palestina zinazokaliwa kwa mabavu na Wazayuuni ikiwa ni kujibu mauaji ya hivi karibuni ya Israel ya kamanda mmoja mkubwa wa harakati hiyo huko kusini mwa Lebanon.