-
Jumatatu tarehe Pili Mei 2022
May 02, 2022 03:05Leo ni Jumatatu tarehe 30 Ramadhani 1443 Hijria sawa na tarehe Pili Mei 2022.
-
Asasi za Kiislamu Marekani zasusia dhifa ya Idi White House kulalamikia uungaji mkono wa Washington kwa jinai za Israel
May 17, 2021 03:35Jumuiya na asasi za Kiislamu nchini Marekani zimesusa kuhudhuria dhifa ya kila mwaka ya Idul-Fitri inayoandaliwa na Ikulu ya White House kulalamikia uungaji mkono wa serikali ya nchi hiyo kwa jinai za kinyama za utawala haramu wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Wapalestina wakiwemo wa Ukanda wa Gaza.
-
Maelfu ya Wapalestina washiriki katika Sala ya Idul Fitr kwenye Msikiti wa al Aqsa
May 13, 2021 11:37Makumi ya maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Sala ya Idul Fitr leo Alkhamisi asubuhi katika Msikiti wa al Aqsa ambao ni Kibla cha Kwanza cha Waislamu licha ya sheria kali zilizowekwa na utawala wa Kizayuni ambao siku chache zilizopita wanajeshi wa utawala huo katili waliwashambulia kwa mabomu Waislamu waliokuwa wanasali ndani ya Msikiti huo.
-
Maelfu wahudhuria Swala ya Idi katika miji mbalimbali ya Iran, Rais Rouhani awapongeza viongozi wa nchi za Kiislamu
May 13, 2021 08:10Maelfu ya Waislamu wa Iran leo wameshiriki katika Swala ya Idul Fitri kwa kuchunga sheria na taratibu za kuzuia maambukizi ya corona, baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani.
-
Alkhamisi tarehe 13 Mei 2021
May 13, 2021 02:18Leo ni Alkhamisi tarehe Mosi Shawwal 1442 Hijria sawa na tarehe 13 Mei mwaka 2021.
-
Rais wa Iran awatumia salamu za Idul Fitr viongozi wa nchi za Kiislamu
May 24, 2020 04:21Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia viongozi wa nchi za Kiislamu na Waislamu kote duniani salamu za kheri na fanaka kwa mnasaba wa kuwadia siku kuu ya Idul Fitr.
-
Jumapili 24, Mei, 2020
May 24, 2020 02:54Leo ni Jumapili tarehe Mosi Shawwal 1441 Hijria, inayosadifiana na Juni 24 Mei, 2020 Miladia.
-
Rouhani: Iran inafanya juhudi za kuimarisha usalama wa Asia Magharibi
Jun 05, 2019 11:42Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Tehran inafanya juhudi za kuimarisha usalama katika eneo la Asia Magharibi na haina hamu wala nia yoyote ya kuingia vitani na nchi nyingine.
-
Kiongozi Muadhamu: Muamala wa Karne kamwe hautofikia malengo yake
Jun 05, 2019 08:20Kiingozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu sambamba na kusisitiza kwamba mpango unaoitwa 'Muamala wa Karne' hautofikia malengo yake, amepongeza nchi za Kiarabu na kadhalika makundi ya Palestina yaliyopinga mpango huo.
-
Kiongozi Muadhamu: Nchi za Kiislamu zipambane na adui ghasibu anayetenda jinai Palestina
Jun 05, 2019 11:55Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, nchi za Kiislamu zina wajibu wa kukabiliana na adui ghasibu anayetenda jinai huko Palestina na sio kuzozana zenyewe kwa zenyewe.