-
Iran inatazamia kusherehekea siku kuu ya Idul Fitr Jumatano ya Juni 5
Jun 03, 2019 10:48Wananchi Waislamu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran wanatazamiwa kusherehekea siku kuu ya Idul Fitr siku ya Jumatano, Juni 5.
-
Waislamu duniani wanaswali Swala ya Iddi Ijumaa ya leo
Jun 15, 2018 04:51Waislamu katika nchi mbalimbali duniani leo wanaswali Swala ya Iddil-Fitri baada ya kutangazwa kuonekana kwa mwezi mwandamo na kukamilika mwezi wa Ramadhan.
-
Ijumaa tarehe 15 Juni 2018
Jun 15, 2018 04:18Leo ni Ijumaa tarehe Mosi Shawwal 1439 Hijria sawa na Juni 15, mwaka 2018.
-
Rais Rouhani awatumia Waislamu mkono wa Idi
Jun 14, 2018 15:55Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia mkono wa Idi viongozi wa nchi za Kiislamu na Waislamu wote kwa mnasaba wa kukaribia kuingia katika sikukuu ya Idul Fitr.
-
Jumatatu 26 Juni, 2017
Jun 26, 2017 15:13Jumatatu tarehe Mosi Shawwal 1438 Hijria sawa na Juni 26, 2017
-
Waislamu duniani waungana kuswali na kusherehekea Iddil-Fitri
Jun 26, 2017 04:20Leo Waislamu wa maeneo tofauti duniani wanaungana katika swala ya Iddil-Fitri, baada ya kukamilisha mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa siku 30. Hapa Iran swala ya Iddil-Fitri imeswalishwa kitaifa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, Ayatullah Sayyid Ali Khamenei, hapa mjini Tehran muda mfupi uliopita.
-
Wapalestina 90 elfu washiriki Sala ya Idul Fitr katika Msikiti wa Al Aqsa
Jun 25, 2017 14:44Maelfu ya Wapalestina wameshiriki katika Sala ya Idul Fitr katika Msikiti wa Al Aqsa katika mji wa Quds unaokaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
Ujumbe wa Idul Fitr wa Rais Rouhani wa Iran kwa marais wa nchi za Kiislamu
Jun 25, 2017 14:29Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewatumia viongozi wa nchi za Kiislamu salamu za pongezi, kheri na fanaka kwa munasaba wa siku kuu ya Idul Fitr.
-
Ayatullah Khamenei: Marekani, chanzo cha ugaidi, vita katika ulimwengu wa Kiislamu
Jul 06, 2016 14:00Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema chanzo kikuu cha vita, ukosefu wa usalama katika eneo la Magharibi mwa Asia na Ulimwengu wa Kiislamu ni madola makubwa ya kiistikbari yakiongozwa na Marekani.
-
Jumatano tarehe 06 Julai, 2016
Jul 06, 2016 06:07Leo ni Jumatano tarehe Mosi Shawwal 1437 Hijria sawa na Julai 6 2016 inayosadifiana na sikukuu ya Idi al-Fitr.