-
Ijumaa tarehe Pili Oktoba mwaka 2020
Oct 01, 2020 21:07Leo ni Ijumaa tarehe 14 Safar 1442 Hijria inayosadifiana na tarehe Pili Oktoba mwaka 2020.
-
Jumatano tarehe 29 Julai mwaka 2020
Jul 28, 2020 22:00Leo ni Jumatano tarehe 8 Dhulhija 1441 Hijria sawa na Julai 29 mwaka 2020.
-
Jumapili, 26 Julai, 2020
Jul 25, 2020 22:09Leo ni Jumapili tarehe 5 Mfunguo Tatu Dhul-Hija mwaka 1441 Hijria sawa na tarehe 26 Julai 2020 Miladia.
-
Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (2): Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani
Jul 06, 2020 01:24Tukiendelea na pale yalipoishia mazungumzo yetu katika kipindi kilichopita, katika kueleza sifa zinazoyapambanua na kuyatafautisha Mapinduzi ya Kiislamu na mapinduzi mengine makubwa katika namna ya kutokea kwake, sifa nyingine ya kipekee ya mapinduzi hayo inahusu uongozi wa mapinduzi yenyewe.
-
Mapinduzi ya Kiislamu Katika Nadharia za Sayansi ya Jamii (1): Mapinduzi ya Kiislamu yalivyojipambanua na mapinduzi mengine makubwa duniani
Jul 06, 2020 00:49Karne ya 20 tunaweza kuipa jina la Karne ya Mapinduzi. Mapinduzi ya mwanzo makubwa yaliyotokea katika karne hiyo yalikuwa ya Urusi ya mwaka 1917, yakafuatiwa na mengine kama mapinduzi ya China, Cuba, Iran na Nicaragua. Lakini hakuna shaka kuwa, mapinduzi muhimu zaidi na ya kipekee zaidi katika karne ya 20 yalikuwa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyotokea mwaka 1979.
-
Kiongozi Muadhamu atilia mkazo udharura wa kujifunza fikra za hayati Imam Khomeini
Jun 04, 2020 03:09Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu mapema jana alihutubia taifa kwa njia ya televisheni kwa mnasaba wa kukumbuka siku aliyoaga dunia hayati Imam Ruhullah Khomeini, mwasisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran akisema kuwa kutaka mabadiliko, kuwa na ari ya kufanya mabadiliko na kuyafanya mageuzi ni miongoni mwa sifa muhimu za hayati Imam Khomeini.
-
Sheikh Isa Qassim: Umma wa Kiislamu una wajibu wa kulinda Mapinduzi ya Kiislamu
Jun 04, 2020 03:08Kiongozi wa Harakati ya Kiislamu nchini Bahrain amesema Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran yaliyoongozwa na Imam Khomeini (MA) yanafanana na ya Mitume na kusisitiza kwamba umma wote wa Kiislamu una wajibu wa kuyalinda mapinduzi hayo.
-
Kiongozi Muadhamu: Marekani imefedheheka duniani kutokana na mienendo yake
Jun 03, 2020 06:39Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema yanayojiri siku hizi Marekani yameweka wazi ukweli uliokuwa umefichwa nchini humo na kuongeza kuwa: "Wamarekani wamefedheheka duniani kutokana na mienendo yao."
-
Nuru ya Imani katika Mwamko wa Imam Khomeini MA
Feb 13, 2020 02:51Hamjambo wapenzi wasikilizake na karibuni kujiunga nami katika makala hii tuliyokutayarishieni kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ambapo leo tutaangazia namna fikra za Imam Khomeini MA, zilivyoweza kuenea na kuwavutia wasomi wengi duniani.
-
Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran na kufuata kigezo cha Qur'ani katika kupambana na Uistikbari
Feb 04, 2020 01:14Assalamu Alaykum mpenzi msikilizaji popote pale ulipo. Nakukaribisha kutegea sikio mfululizo mwengine wa vipindi maalumu tulivyokuandalia kwa mnasaba wa kuadhimisha ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran, ambapo leo tutazungumzia namna mapinduzi hayo yanavyofuata kigezo cha mafundisho ya Qur'ani kwa ajili ya kupambana na Uistikbari duniani. Endelea kuwa nami basi hadi tamati ya mazungumzo yetu.