-
Vipigo vya makombora ya Yemen dhidi ya mishipa ya kiuchumi ya Saudia na Imarati
Sep 05, 2018 01:40Jeshi na kamati za kujitolea za wananchi wa Yemen zimeamua kulipiza kisasi cha jinai zinazofanywa na Saudi Arabia na wavamizi wenzake, kupitia kushambulia kwa makombora mishipa ya kiuchumi ya Saudia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE).
-
UAE ilitumia spyware ya Israel kuwafanyia ujasusi viongozi wa eneo
Sep 01, 2018 09:33Utawala wa Umoja wa Falme za Kiarabu ulitumia programu ya kijasusi ya kudukua kompyuta au simu za mkononi (spyware) kuwafanyia ujasusi viongozi kadhaa wa nchi za Kiarabu akiwemo Amir wa Qatar, Waziri Mkuu wa Lebanon na mwanamfalme mmoja wa Saudia.
-
Ufaransa yadai kuwa wavamizi hawatumii silaha zake katika jinai zao Yemen
Sep 01, 2018 02:56Waziri wa Ulinzi wa Ufaransa amedai kuwa, silaha za Ufaransa zilizouziwa Saudia na Imarati sizo zinazotumika kufanya mauaji ya raia nchini Yemen.
-
Qatar yaonyesha wasi wasi wake kutokana na ujasusi unaofanywa na Imarati dhidi yake
Sep 01, 2018 00:08Wizara ya Mambo ya Nje ya Qatar imetoa taarifa ikionyesha wasi wasi wake juu ya ujasusi unaofanywa na baadhi ya shakhsia wa Imarati dhidi ya nchi hiyo.
-
Saudia na Imarati zinailaghai Jordan iunge mkono mpango wa Marekani wa Muamala wa Karne
Aug 31, 2018 23:38Mbunge wa Jordan, Khalid Ramadhan amefichua hila na ulaghai mpya unaofanywa na Saudi Arabia ikishirikiana na Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati wa kuishawishi Jordan iunge mkono mpango wa Marekani wa kuiangamiza Palestina unaojulikana kama "Muamala wa Karne".
-
Qatar yazishutumu Saudia, UAE kwa kushirikiana na magaidi wa al Qaeda nchini Yemen
Aug 31, 2018 02:02Balozi wa Qatar nchini Marekani amezishutumu Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa kuwa na ushirikiano wa siri na magaidi wa al-Qaeda nchini Yemen.
-
Kona zote za Imarati ziko katika shabaha ya silaha za wanamuqawama wa Yemen
Aug 29, 2018 00:06Msemaji wa jeshi la Yemen alisema Jumatatu usiku baada ya ndege isiyo na rubani ya jeshi na kamati za kujitolea za wananchi wa Yemen kufanya shambulizi katika uwanja wa ndege wa Dubai, katika Umoja wa Falme za Kiarabu, kwamba hivi sasa kila kona ya nchi hiyo ya kifalme iko katika shabaha ya silaha za wanajeshi wa Yemen na inaweza kushambuliwa wakati wowote ule.
-
Uungaji mkono wa silaha wa Imarati kwa magaidi nchini Libya
Aug 27, 2018 00:01Tovuti ya habari ya Tunisia Online Today imeripoti kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) inawapatia silaha magaidi huko Libya.
-
Amnesty International: Imarati inahusika na jinai zinazojiri Yemen
Aug 17, 2018 03:38Shirika la Msamaha Duniani Amnesty International limetangaza kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) inahusika na kuteswa na kupotea watu katika maeneo mbalimbali huko Yemen.
-
Mtawala wa Dubai awashambulia viongozi wa nchi za Kiarabu
Aug 05, 2018 10:57Waziri Mkuu wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) amesema kuwa wanasiasa wa ulimwengu wa Kiarabu wamefeli katika kuziongoza nchi zao na kusisitiza kuwa, mgogoro uliopo hivi sasa katika nchi za Kiarabu unatokana na uongozi mbaya.