Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Imarati

  • Imarati yajikomba zaidi kwa Israel, shule za nchi hiyo kufunza 'Holocaust'

    Imarati yajikomba zaidi kwa Israel, shule za nchi hiyo kufunza 'Holocaust'

    Jan 10, 2023 07:17

    Umoja wa Falme za Kiarabu unaendelea kujidhalilisha na kujipendekeza kwa utawala haramu wa Israel, na sasa shule za nchi hiyo zinazatamiwa kuanza kufundisha 'ngano ya Holocaust' yaani mauaji ya halaiki ya Wayahudi yanayodaiwa kufanywa na utawala wa Kinazi wa Ujerumani chini ya uongozi wa Adolf Hitler.

  • Ijumaa tarehe Pili Disemba 2022

    Ijumaa tarehe Pili Disemba 2022

    Dec 02, 2022 02:41

    Leo ni Ijumaa tarehe 7 Jumadil Awwal 1444 Hijria sawa na tarehe Pili Disemba 2022.

  • Marekani yaituhumu Imarati kuwa inaingilia siasa zake

    Marekani yaituhumu Imarati kuwa inaingilia siasa zake

    Nov 14, 2022 02:23

    Ripoti ya siri iliyotolewa na maafisa wa Idara ya Intelijensia ya Marekani imedai kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu umefanya jitihada kubwa za kujaribu kutatiza na kuvuruga mfumo wa kisiasa wa Marekani.

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aonana na mawaziri wenzake wa Uganda, Eritrea na Imarati

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aonana na mawaziri wenzake wa Uganda, Eritrea na Imarati

    Sep 25, 2022 06:48

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran jana alionana kwa nyakati tofauti na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Uganda, Eritrea na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na kubadilishana nao mawazo kuhusu masuala ya kieneo na kimataifa. Mazungumzo ya mawaziri hao yamefanyika mjini New York, Marekani.

  • Misri mwenyeji wa luteka inayojumuisha US, Saudia, Ugiriki na Imarati

    Misri mwenyeji wa luteka inayojumuisha US, Saudia, Ugiriki na Imarati

    Aug 22, 2022 11:04

    Vikosi maalumu vya majeshi ya Misri, Saudi Arabia, Umoja wa Falme za Kiarabu, Ugiriki na Cyprus vimezindua mazoezi ya pamoja ya kijeshi nchini Misri.

  • Mapigano kati ya mamluki wa Saudia na UAE kusini mwa Yemen; kuendelea mzozo wa kijiografia na kisiasa

    Mapigano kati ya mamluki wa Saudia na UAE kusini mwa Yemen; kuendelea mzozo wa kijiografia na kisiasa

    Aug 13, 2022 01:30

    Wanamgambo wenye mfungamano na Umoja wa Falme za Kiarabu na Saudi Arabia wamepigana tena katika maeneo ya kusini mwa Yemen, hali ambayo imesababisha vifo na majeruhi kadhaa.

  • Athari za mashambulio ya Yemen zinaendelea, Wakuwait wakatazwa kutumia drone Imarati

    Athari za mashambulio ya Yemen zinaendelea, Wakuwait wakatazwa kutumia drone Imarati

    Aug 12, 2022 02:24

    Athari za mashambulio ya kulipiza kisasi na ya kujihami ya wananchi wa Yemen dhidi ya Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) bado zingalipo na sasa serikali ya Kuwait imewataka wananchi wake wasitumie ndege yoyote isiyo na rubani wanapokuwa nchini Imarati, ili wasije wakajiingiza kwenye matatizo.

  • Idadi kubwa ya watu wa Saudia, Imarati na Bahrain wanapinga suala la kuwepo uhusiano na utawala haramu wa Israel

    Idadi kubwa ya watu wa Saudia, Imarati na Bahrain wanapinga suala la kuwepo uhusiano na utawala haramu wa Israel

    Jul 20, 2022 03:27

    Matokeo ya uchunguzi wa maoni yanaonesha kuwa, idadi kubwa ya watu wa Saudi Arabia, Imarati na Bahrain wanapinga suala la kuwepo uhusiano baina ya nchi hizo na utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Rais wa Somalia apatwa na COVID-19 baada ya kuitembelea Imarati

    Rais wa Somalia apatwa na COVID-19 baada ya kuitembelea Imarati

    Jun 25, 2022 11:51

    Rais wa Somalia amesema amejiweka karantini baada ya kugundua kuwa ameambukizwa ugonjwa wa COVID-19.

  • Mamluki wa Imarati wanabaka wasichana wa Yemen Hudaydah

    Mamluki wa Imarati wanabaka wasichana wa Yemen Hudaydah

    Jun 20, 2022 04:20

    Kitendo cha mamluki wa Umoja wa Falme za Kiarabu kuwabaka wasichana sita katika mkoa wa al-Hudaydah, magharibi mwa Yemen kimeibua ghadhabu na kulalamikiwa vikali katika pembe mbalimbali za nchi hiyo maskini ya Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS