Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Imarati

  • Imarati na Saudia zakataa wito wa Qatar wa mazungumzo

    Imarati na Saudia zakataa wito wa Qatar wa mazungumzo

    Jul 23, 2017 09:37

    Umoja wa Falme za Kiarabu umekataa wito uliotolewa hivi karibuni na Amir wa Qatar, Sheikh Tamin bin Hamad al-Thani, wa kufanyika mazungumzo ya kuupatia ufumbuzi mgogoro uliopo, na kusisitiza kuwa Doha sharti ibadili sera zake kabla ya kufanyika jitihada zozote za kuiondolea vikwazo nchi hiyo ndogo ya Ghuba ya Uajemi, iivyowekewa na Saudia na wapambe wake.

  • Imarati: Juhudi za upatanishi wa Kuwait katika mgogoro wa nchi za Kiarabu zitaambulia patupu

    Imarati: Juhudi za upatanishi wa Kuwait katika mgogoro wa nchi za Kiarabu zitaambulia patupu

    Jul 18, 2017 21:57

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa serikali ya Imarati, Anwar Mohammed Qarqash amesema kuwa, juhudi za upatanishi wa Kuwait kwa ajili ya kutafuta utatuzi wa mgogoro wa nchi za Kiarabu, zitaambulia patupu iwapo Qatar haitabadilisha siasa zake.

  • Qatar kuishtaki Imarat kwa kuhusika na udukuzi

    Qatar kuishtaki Imarat kwa kuhusika na udukuzi

    Jul 18, 2017 10:44

    Serikali ya Qatar imeeleza kusikitishwa sana na hatua ya Imarat ya kudukua mitandao ya intaneti ya serikali ya Doha, suala ambalo limeibuka mgogoro wa sasa kati ya nchi hizo mbili na kusisitiza kuwa, Doha itawafungulia mashtaka wahusika wa uhalifu huo.

  • Nchi za Kiarabu zilizoiwekea vikwazo Qatar zadhurika kiuchumi

    Nchi za Kiarabu zilizoiwekea vikwazo Qatar zadhurika kiuchumi

    Jul 08, 2017 22:21

    Kuongezeka mivutano katika uhusuano wa nchi nne za Kiarabu na Qatar kumezisababishia madhara makubwa ya kiuchumi nchi za Saudia na Imarati.

  • Chama cha Leba cha Uingereza chataka uchunguzi kuhusu jela za Imarati Yemen

    Chama cha Leba cha Uingereza chataka uchunguzi kuhusu jela za Imarati Yemen

    Jul 02, 2017 10:47

    Mkuu wa chama cha Leba cha nchini Uingereza amesema kuna udharura wa kufanyika uchunguzi kuhusu jela za siri za mateso za Umoja wa Falme za Kiarabu nchini Yemen.

  • Kufichuliwa ushiriki wa Imarati katika vitendo vya kigaidi vya Israel

    Kufichuliwa ushiriki wa Imarati katika vitendo vya kigaidi vya Israel

    Jun 17, 2017 07:49

    Habari mbalimbali zimearifu tukio jipya la namna Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unavyoshiriki katika vitendo vya kigaidi vya utawala wa Israel; suala ambalo katika siku za hivi karibuni kwa mara nyingine tena limeakisi ushirikiano uliopo kati ya watawala wa Kiarabu na maghasibu wanaoikalia Quds Tukufu kwa mabavu katika kuwakandamiza wananchi wa Palestina na kusogeza mbele siasa za kigaidi za Israel.

  • Ripoti: Imarati ilitoa dola bilioni 3 kufadhili mapinduzi ya kijeshi Uturuki

    Ripoti: Imarati ilitoa dola bilioni 3 kufadhili mapinduzi ya kijeshi Uturuki

    Jun 13, 2017 23:48

    Gazeti moja la kila siku la Uturuki limeandika kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) ulitoa kitita cha dola bilioni 3 za Marekani kwa ajili ya kufadhili jaribio la mapinduzi ya kijeshi lililofeli mwezi Julai mwaka jana 2016 nchini Uturuki.

  • Amnesty yashutumu uamuzi wa Saudia na wapambe wake dhidi ya Qatar

    Amnesty yashutumu uamuzi wa Saudia na wapambe wake dhidi ya Qatar

    Jun 13, 2017 09:26

    Shirika la kutetea haki za binadamu la Amnesty International limekosoa vikali hatua zisizo na mantiki za Saudi Arabia na wapambe wake dhidi ya Qatar.

  • UN: Imarati imekiuka vikwazo vya silaha, Libya

    UN: Imarati imekiuka vikwazo vya silaha, Libya

    Jun 10, 2017 11:26

    Umoja wa Mataifa umesema kuwa, Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) umekiuka vikwazo vya silaha vya Libya.

  • Qatar: Madai dhidi yetu si ya kweli na hayana msingi

    Qatar: Madai dhidi yetu si ya kweli na hayana msingi

    Jun 05, 2017 03:15

    Baada ya Saudi Arabia, Misri, Imarati na Bahrain kukata uhusiano na Qatar mapema leo Jumatatu, wizara ya mambo ya nje wa Qatar imesema, imesikitishwa na hatua hiyo.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS