Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Imarati

  • Makombora ya Yemen yateketeza kiwanda cha mafuta cha Aramco Jiddah, Imarati yatangaza hali ya hatari

    Makombora ya Yemen yateketeza kiwanda cha mafuta cha Aramco Jiddah, Imarati yatangaza hali ya hatari

    Mar 26, 2022 08:07

    Wakati moto mkubwa ukiendelea kuteketeza kiwanda cha mafuta cha Aramco huko Jeddah nchini Saudi Arabia, kiwango cha tahadhari kimepandishwa juu katika Umoja wa Falme za Kiarabu (UAE) kwa hofu ya operesheni za kijeshi za jeshi la Yemen na wapiganaji wa harakati ya Ansarullah wanaolipiza kisasi hujuma za muungano wa vita unaoongoza na Saudia.

  • Ufaransa imeanzisha uchunguzi kuhusu Mkuu wa Interpol raia wa Imarati

    Ufaransa imeanzisha uchunguzi kuhusu Mkuu wa Interpol raia wa Imarati

    Mar 25, 2022 08:11

    Baada ya mashirika ya kutetea haki za binadamu duniani kufichua hadharani jinai zinazofanywa na Mkuu wa Polisi ya Kimataifa (Interpol) ambaye ni raia wa Imarati; Idara ya Mahakama nchini Ufaransa imeanzisha uchunguzi kuhusu afisa huyo wa Intepol.

  • Kamanda mwandamizi wa Imarati auawa mjini Aden, Yemen

    Kamanda mwandamizi wa Imarati auawa mjini Aden, Yemen

    Mar 25, 2022 02:29

    Kamanda wa ngazi ya juu wa Umoja wa Falme za Kiarabu ameuawa katika mripuko wa bomu mjini Aden, kusini mwa Yemen.

  • Ziara isiyo na tija ya Waziri Mkuu wa Uingereza katika nchi za Saudia na Imarati

    Ziara isiyo na tija ya Waziri Mkuu wa Uingereza katika nchi za Saudia na Imarati

    Mar 19, 2022 06:05

    Waziri Mkuu wa Uingereza, Boris Johnson mbaye alikuwa ziarani katika nchi za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati), amejaribu sana kuzishawishi nchi hizo mbili ziongeze kiwango chao cha uzalishaji mafuta, lakini amerejea London mikono mitupu.

  • Imarati inawajengea vitongoji askari wa Israel huko Socotra, Yemen

    Imarati inawajengea vitongoji askari wa Israel huko Socotra, Yemen

    Mar 09, 2022 10:42

    Umoja wa Falme za Kiarabu umeripotiwa kujenga vitongoji katika kisiwa cha kistratijia cha Yemen cha Socotra ambacho kinakaliwa kwa mabavu na Imarati, kwa ajili wanajeshi wa utawala haramu wa Israel; zaidi ya mwaka mmoja baada ya tawala hizo mbili kuanzisha uhusiano wa kawaida.

  • Sababu za kubadilika siasa za Imarati kutoka za mashambulizi hadi za mapatano

    Sababu za kubadilika siasa za Imarati kutoka za mashambulizi hadi za mapatano

    Mar 07, 2022 04:21

    Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) ni katika nchi za Kiarabu ambazo zilibaki salama katika wimbi la mapinduzi ya wananchi wa nchi za Kiarabu la mwaka 2011. Jambo hilo pamoja na uwezo wa kiuchumi na kupenda makuu Mohammed bin Zayed liliifanya Imarati ifuate siasa za mashambulizi na kupenda vita kama vile kushiriki katika uvamizi wa Yemen.

  • Vikosi vya kimataifa na kuendelea kuwepo Imarati nchini Yemen

    Vikosi vya kimataifa na kuendelea kuwepo Imarati nchini Yemen

    Mar 02, 2022 02:21

    Kwa mara nyingine tena Imarati imeimarisha uwepo wake wa kijeshi usio wa moja kwa moja nchini Yemen kupitia mfumo wa vikosi vya kimataifa.

  • UAE inaiba nishati ya Yemen ili ipate fedha za kulipia silaha za Ufaransa

    UAE inaiba nishati ya Yemen ili ipate fedha za kulipia silaha za Ufaransa

    Feb 07, 2022 02:41

    Umoja wa Falme za Kiarabu umeripotiwa kuiba rasilimali za nishati ya Yemen ili upate fedha za kufadhili makubaliano ya mauzo ya silaha ya mabilioni ya dola uliofunga na Ufaransa.

  • Malengo ya safari ya Rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Imarati

    Malengo ya safari ya Rais wa utawala wa Kizayuni wa Israel nchini Imarati

    Jan 31, 2022 09:14

    Isaac Herzog, rais wa utawala haramu wa Kizayuni wa Israel, jana Jumapili tarehe 30 Januari aliwasili mjini Abu Dhabi katika safari ya kwanza rasmi ya kuutembelea Umoja wa Falme za Kiarabu, Imarati.

  • Mitazamo tofauti kuhusu sababu za kuondoka wanajeshi wa Imarati huko Ma'arib na Shabwah nchini Yemen

    Mitazamo tofauti kuhusu sababu za kuondoka wanajeshi wa Imarati huko Ma'arib na Shabwah nchini Yemen

    Jan 30, 2022 14:03

    Viongozi wa Abu Dhabi wametangaza kuwa wameondoa wanajeshi wao katika mikoa ya Shabwah na Ma'rib nchini Yemen, baada ya mashambulio ya kulipiza kisasi na maonyo makali yaliyotolewa na wanamapambano wa Yemen kwa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati).

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS