-
Zaidi ya 100 waaga dunia katika wimbi la joto kali nchini India
Apr 21, 2016 10:52Watu zaidi ya 100 wamepoteza maisha kutokana na joto kali nchini India, ambalo limepelekea kufungwa mashule na kukwamisha shughuli mbalimbali za kila siku.
-
Mazungumzo ya Rais Rouhani na Waziri wa Mambo ya Nje wa India
Apr 17, 2016 23:49Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa kuimarishwa uhusiano kati ya Iran na India ni kwa maslahi ya usalama na ustawi wa kiuchumi wa eneo.
-
Idadi ya waliokufa katika mkasa wa moto India yapindukia 100
Apr 10, 2016 03:21Idadi ya watu waliopoteza maisha katika mkasa wa moto uliotokea alfajiri ya leo kusini mwa India imepindukia 100.
-
84 waaga dunia katika mkasa wa moto kusini mwa India
Apr 09, 2016 23:44Kwa akali watu 84 wamepoteza maisha na wengine zaidi ya 200 kujeruhiwa katika mkasa wa moto uliotokea mapema leo katika mji bandari wa Kollam, kusini mwa India.
-
Waislamu India wapinga uchochezi wa Wahindu
Mar 02, 2016 03:45Waislamu wa India wamefanya maandamano mjini New Delhi wakipinga vitendo vya kichochezi vinavyofanywa na Wahindu wenye misimamo mikali.
-
Mahiga: Waliowashambulia Watanzania washitakiwa India
Feb 05, 2016 11:55Waziri wa Mambo ya Nje, Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa wa Tanzania, Dk. Augustine Mahiga ameliambia Bla nchi hiyo kuwa watu waliowashambulia Watanzania na kuwajeruhi vibaya nchini India wamekamatwa na kufikishwa mahakamani.