-
CAIR yamjibu Papa: Mauaji ya kimbari ya Ghaza si ya kuchunguzwa, ni jambo lililo dhahiri
Nov 18, 2024 06:41Baraza la Mahusiano ya Kiislamu Marekani (CAIR) limekaribisha wito wa Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani Papa Francis wa kufanywa uchunguzi ili kubaini kama utawala wa Kizayuni umefanya mauaji ya kimbari ya Wapalestina katika Ukanda wa Ghaza, lakini limesisitiza kuwa hauhitajiki uchunguzi na uthibitisho kwa jambo lililo dhahiri.
-
Jumamosi, 02 Novemba, 2024
Nov 02, 2024 02:54Leo ni Jumamosi tarehe 29 Mfunguo Saba Rabiuthani 1446 Hijria mwafaka na 3 Novemba 2024 Miladia.
-
Iran yaendelea na jitihada za kusimamishwa vita Ghaza na Lebanon
Oct 31, 2024 07:11Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo na mawaziri wenzake wa mambo ya nje wa Misri, Indonesia na Qatar na kujadiliana nao masuala ya kikanda na uhusiano wa pande mbili ikiwa ni muondelezo wa jitihada za Iran za kuhakikisha vita vinakomeshwa huko Ghaza na Lebanon.
-
Indonesia yaeleza hamu yake ya kuwa mwanachama wa Bunge la Qur'ani la Ulimwengu wa Kiislamu
Oct 26, 2024 03:03Mkurugenzi Mkuu wa Miongozo ya Jamii ya Kiislamu wa Wizara ya Dini ya Indonesia ametangaza kuwa nchi yake iko tayari kujiunga na Bunge la Qur'ani la Ulimwengu wa Kiislamu.
-
Jumatatu, tarehe 30 Septemba, 2024
Sep 30, 2024 02:23Leo ni Jumatatu tarehe 26 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1446 Hijria inayosadifiana na tarehe 30 Septemba 2024.
-
Alkhamisi, tarehe Pili Novemba, 2023
Nov 02, 2023 07:14Leo ni Alkhamisi tarehe 17 Rabiuthani 1445 Hijria sawa na Novemba Pili mwaka 2023
-
Matunda ya kisiasa na kiuchumi ya safari ya Rais wa Iran nchini Indonesia
May 26, 2023 11:57Jumatano ya juzi Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran alikamilisha safari yake ya siku mbili nchini Indonesia.
-
Raisi: Umoja na mshikamano wa Waislamu ni jambo muhimu, la kimkakati
May 25, 2023 01:59Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameutaja mshikamano, umoja na mfungamano wa Waislamu kuwa ni jambo muhimu na la kistratijia.
-
Raisi: Mabadilishano ya kibiashara kati ya Iran na Indonesia yatafanyika kwa kutumia sarafu za taifa
May 23, 2023 13:33Rais Ebrahim Raisi amesema: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Indonesia zimeamua kufanya mabadilishano ya kibiashara kwa kutumia sarafu zao za taifa.
-
Rais wa Iran awasili Jakarta, Indonesia kwa ziara rasmi ya siku mbili
May 23, 2023 03:27Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amewasili Jakarta mji mkuu wa Indonesia kwa ziara rasmi ya siku mbili.