-
Shujaa wa Iran aunga mkono uamuzi wa serikali ya Indonesia wa kuzuia timu ya Israel kuingia mjini Jakarta
Apr 02, 2023 07:55Mshindi wa medali ya dhahabu katika Michezo ya Para-Asia 2018 mjini Jakarta ametoa medali yake kwa watu wa Indonesia ili kuunga mkono hatua ya serikali ya nchi hiyo ya kuzuia timu ya soka ya Israel kuingia mjini Jakarta.
-
Waislamu Indonesia walaani uepo wa Israel Kombe la Dunia U20
Mar 21, 2023 02:28Wananchi Waislamu wa Indonesia wamefanya maandamano ya kulalamikia hatua ya kuruhusiwa utawala haramu wa Israel kushiriki katika fainali za Kombe la Dunia katika mchezo wa kandanda kwa vijana wa kiume wenye umri usiozidi miaka 20.
-
Hatimaye Waislamu Warohingya wawasili pwani ya Indonesia baada ya kutaabika baharini kwa mwezi mzima
Dec 26, 2022 02:17Makumi ya Waislamu wakimbizi wa jamii ya Rohingya kutoka Myanmar waliodhoofu kwa njaa na kiu wamepatikana ufukweni mwa pwani ya jimbo la Aceh kaskazini ya Indonesia baada ya wiki kadhaa za kutaabika na kutangatanga baharini.
-
Indonesia yakataa kumpokea mjumbe maalumu wa kutetea ubaradhuli wa Marekani
Dec 03, 2022 10:44Marekani imelazimika kufuta safari ya mjumbe wake maalumu wa kutetea eti haki za mabaradhuli (LGBTQ) nchini Indonesia, baada ya nchi hiyo ya kusini mashariki mwa Asia kusema kuwa haitampokea afisa huyo wa Washington.
-
Mtetemeko wa ardhi waua watu 162 nchini Indonesia
Nov 22, 2022 02:37Watu zaidi ya 160 wanaripotiwa kupoteza maisha nchini Indonesia baada ya kutokea mtetemeko wa ardhi katika eneo la Cianjur, mkoa wa Java Magharibi.
-
174 waaga dunia katika mkanyangano kwenye uwanja wa soka Indonesia
Oct 02, 2022 07:34Kwa akali watu 174 wamepoteza maisha baada ya mashabiki wa timu hasimu za mpira wa miguu kushambuliana katika uwanja wa soka nchini Indonesia.
-
Jumatano, Agosti 17, 2022
Aug 17, 2022 02:30Leo ni Jumatano mwezi 19 Mfunguo Nne Mharram 1444 Hijria sawa na Agosti 17 mwaka 2020 Milaadia.
-
Marais wa Iran na Indonesia wasisitiza kupanua uhusiano katika nyanja mbalimbali
May 05, 2022 02:44Marais wa Iran na Indonesia wamefanya mazungumzo ya simu wakijadili uwezo wa nchi hizo mbili katika nyanja mbalimbali na kusisitiza ulazima wa kufanyika juhudi za pamoja za kuboresha kiwango cha ushirikiano wa pande mbili.
-
Jumanne tarehe Pili Novemba 2021
Nov 02, 2021 00:57Leo ni Jumanne tarehe 26 Rabiul Awwal 1443 Hijria sawa na Novemba Pili mwaka 2021.
-
Waindonesia waandamana kulaani uungaji mkono wa US kwa Israel
May 28, 2021 12:31Wananchi wa Indonesia wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Marekani na ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Jakarta kulalamikia na kulaani uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za utawala haramu wa Israel.