-
Mtetemeko wa ardhi waua watu 162 nchini Indonesia
Nov 21, 2022 23:07Watu zaidi ya 160 wanaripotiwa kupoteza maisha nchini Indonesia baada ya kutokea mtetemeko wa ardhi katika eneo la Cianjur, mkoa wa Java Magharibi.
-
174 waaga dunia katika mkanyangano kwenye uwanja wa soka Indonesia
Oct 02, 2022 04:04Kwa akali watu 174 wamepoteza maisha baada ya mashabiki wa timu hasimu za mpira wa miguu kushambuliana katika uwanja wa soka nchini Indonesia.
-
Jumatano, Agosti 17, 2022
Aug 16, 2022 22:00Leo ni Jumatano mwezi 19 Mfunguo Nne Mharram 1444 Hijria sawa na Agosti 17 mwaka 2020 Milaadia.
-
Marais wa Iran na Indonesia wasisitiza kupanua uhusiano katika nyanja mbalimbali
May 04, 2022 22:14Marais wa Iran na Indonesia wamefanya mazungumzo ya simu wakijadili uwezo wa nchi hizo mbili katika nyanja mbalimbali na kusisitiza ulazima wa kufanyika juhudi za pamoja za kuboresha kiwango cha ushirikiano wa pande mbili.
-
Jumanne tarehe Pili Novemba 2021
Nov 01, 2021 21:27Leo ni Jumanne tarehe 26 Rabiul Awwal 1443 Hijria sawa na Novemba Pili mwaka 2021.
-
Waindonesia waandamana kulaani uungaji mkono wa US kwa Israel
May 28, 2021 08:01Wananchi wa Indonesia wamefanya maandamano nje ya ubalozi wa Marekani na ofisi za Umoja wa Mataifa jijini Jakarta kulalamikia na kulaani uungaji mkono wa Marekani kwa jinai za utawala haramu wa Israel.
-
Hakuna matumaini ya kuwapata hai watu 53 katika nyambizi iliyozama ya Indonesia
Apr 25, 2021 02:07Maafisa wa Indonesia wamesema mabaki ya nyambizi ya nchi hiyo iliyotoweka siku chache zilizopita yamepatikana, na hivyo matumaini ya kuwakuta wakiwa hai mabaharia 53 kwenye chombo hicho yamefifia kikamilifu.
-
Makumi wafariki dunia kutokana na mafuriko, maporomoko ya ardhi Indonesia
Apr 04, 2021 08:20Makumi ya watu wamepoteza maisha na wengine wengi hawajulikani walipo baada ya kutokea mafuriko na maporomoko ya ardhi nchini Indonesia.
-
Indonesia yathibitisha kuanguka baharini ndege iliyokuwa imebeba abiria 62
Jan 10, 2021 04:48Wizara ya Uchukuzi ya Indonesia imethibitisha kuwa, ndege ya abiria ya nchi hiyo ambayo iliripotiwa kupoteza mawasiliano muda mfupi baada ya kupaa kutoka Uwanja wa Ndege wa Jakarta, imeanguka baharini ikiwa na abiria 62 wakiwemo watoto 10.
-
Marekani yaipendekezea Indonesia rushwa ya dola bilioni 2 ianzishe uhusiano na Israel
Dec 24, 2020 00:01Mkuu wa shirika la kimataifa la ustawi wa fedha la Marekani ameipendekezea Indonesia rushwa ya dola bilioni 2 ili ikubali kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala wa Kizayuni wa Israel.