-
Indonesia yakadhibisha madai ya kutaka kuanzisha uhusiano na Israel
Dec 17, 2020 01:12Indonesia imekanusha madai ya kipropaganda ya vyombo vya habari vya Wazayuni kwamba inataka kuanzisha uhusiano wa kidiplomasia na utawala haramu wa Israel.
-
Makumbusho kubwa ya Muhammadiyah kufunguliwa nchini Indonesia mapema 2021
Nov 22, 2020 09:03Makumbusho ya Muhammadiyah iliyojengwa katika mji mkuu wa Indonesia Jakarta inatazamiwa kuwa makumbusho kubwa kabisa kuhusu Bwana Mtume Muhammad SAW.
-
Jumatatu tarehe Pili Novemba 2020
Nov 01, 2020 23:01Leo ni Jumatatu tarehe 16 Mfunguo Sita Rabiul Awwal 1442 Hijria sawa na Novemba Pili mwaka 2020.
-
Rais wa Indonesia akosoa undumakuwili wa Wamagharibi kuhusu uhuru wa kujieleza
Nov 01, 2020 08:19Rais Joko Widodo wa Indonesia amekosoa undumakuwili wa nchi za Magharibi kuhusu uhuru wa maoni na kujieleza na kusema: "Uhuru wa maoni ambao unavunjia heshima matukufu ya kidini haukubaliki."
-
Dunia yaendelea kulaani matamshi ya Rais wa Ufaransa ya kumvunjia heshima Mtume (saw)
Nov 01, 2020 04:40Wimbi kali la kulaani matamshi yaliyotolewa na Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa akitetea matusi na kuvunjiwa heshima Mtume Muhammad (saw) nchini humo limeendelea kushuhudiwa katika pembe mbalimbali za dunia.
-
Upinzani wa Marekani kwa azimio la Baraza la Usalama kuhusu matakfiri; kutengwa zaidi Washington
Sep 01, 2020 22:12Marekani imekuwa na nafasi muhimu katika kuibuka na kuenea makundi ya kigaidi na kitakfiri hususan kundi la kigaidi la Daesh tangu kuanza mgogoro nchini Syria mwaka 2011.
-
Jumamosi, tarehe Pili Novemba, 2019
Nov 02, 2019 00:45Leo ni Jumamosi tarehe Nne Mfunguo Sita Rabiul-Awwal 1441 Hijria mwafaka na tarehe Pili Novemba 2019 Miladia.
-
Dakta Zarif: Iran na Indonesia zina mtazamo mmoja kuhusu kadhia ya Palestina
Sep 06, 2019 22:08Dakta Muhammad Javad Zarif, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Iran na Indonesia zina mtazamo mmoja kuhusiana na kadhia ya Palestina na kubainisha kwamba, Baytul-Muqaddas ni kibla cha kwanza cha Waislamu.
-
Wafanyabiashara wa Indonesia: Vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran ni ugaidi wa uchumi
Jul 01, 2019 21:56Wafanyabiashara na wamiliki wa viwanda nchini Indonesia walioshiriki kikao cha pamoja na wafanyabiashara wa Iran mjini Jakarta mji mkuu wa nchi hiyo, wamepinga vikali vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran na kuvitaja kuwa ni ugaidi katika uga wa uchumi.
-
Wafanyakazi Indonesia wapewa mshahara maradufu Ramadhani
May 12, 2019 03:09Wafanyakazi nchini Indonesia wanatazamia kupewa mshahara mara mbili katika mwezi huu mtukufu wa Ramadhani, ili kuwawezesha kufurahia sikukuu ya Idul Fitr ambayo ni moja ya likizo ndefu zaidi nchini humo.