-
Safari ya Mohammad Bin Salman nchini Malaysia na Indonesia yaahirishwa ghafla
Feb 17, 2019 05:04Safari ya Mohammad Bin Salman, Mrithi wa Kiti cha Ufalme wa Saudi Arabia nchini Malaysia na Indonesia imearishwa ghfla bila kutolewa sababu.
-
Indonesia yaanza kuwatafuta manusura waliofukiwa katika maporomoko ya udongo
Jan 01, 2019 15:04Timu ya waokoaji imeendelea na zoezi la kutafuta watu ambao bado wako hai baada ya mvua kubwa kunyesha na kusababisha maporoko ya udongo mashariki mwa Indonesia.
-
Makumi wapoteza maisha katika janga la tsunami nchini Indonesia + Video
Dec 23, 2018 07:20Makumi ya watu wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa kutokana na tsunami iliyosababishwa na mripuko wa volcano nchini Indonesia.
-
Kutolewa hukumu ya kunyongwa raia 103 wa Indonesia nchini Saudia
Nov 05, 2018 02:28Wizara ya Mambo ya Nje ya Indonesia imetoa taarifa ikisema kuwa, tokea mwaka 2011 hadi sasa utawala wa Saudia, umewahukumu kifo raia 103 wa nchi hiyo.
-
Watu elfu 5 wanasadikiwa kupotea katika maeneo mawili yaliyoathiriwa na zilzala Indonesia
Oct 07, 2018 15:29Watu wasiopungua elfu tano hawajulikani walipo hiyo ni baada ya mtetemeko wa ardhi na tsunami kutokea katika mji wa Palu nchini Indonesia.
-
Idadi ya waliopoteza maisha katika zilzala, tsunami Indonesia yapindukia 1,200
Oct 02, 2018 08:18Idadi ya watu walioaga dunia kutokana na tsunami na mtetemeko mkubwa wa ardhi uliokikumba kisiwa cha Sulawesi mashariki mwa kisiwa cha Borneo nchini Indonesia imeogezeka na kufikia watu 1,234.
-
Mamia wapoteza maisha katika zilzala na tsunami nchini Indonesia
Sep 29, 2018 08:11Mamia ya watu wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa kutokana na tsunami na mtetemeko mkubwa wa ardhi uliokikumba kisiwa cha Sulawesi mashariki mwa kisiwa cha Borneo nchini Indonesia.
-
Kuvunjwa kundi kubwa la kigaidi lenye mahusiano na genge la Daesh nchini Indonesia
Aug 02, 2018 12:11Mahakama ya Indonesia imevunja kundi kubwa 'Jamaatu-Nashratu-Daulah' lenye mafungamano na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa tuhuma za kuendesha harakati za kigaidi ndani ya nchi hiyo.
-
Indonesia yalivunja kundi kubwa lenye mahusiano na magaidi wa Daesh
Aug 01, 2018 15:16Mahakama ya Indonesia imevunja kundi kubwa 'Jamaatu-Nashratu-Daulah' lenye mafungamano na kundi la kigaidi na ukufurishaji la Daesh (ISIS) kwa tuhuma za kuendesha harakati za kigaidi ndani ya nchi hiyo.
-
29 wakufa maji, 41 watoweka baada ya feri yao kuzama Indonesia
Jul 04, 2018 07:30Kwa akali watu 29 wamethibitishwa kupoteza maisha baada ya feri kuzama karibu na kisiwa cha Sulawesi nchini Indonesia, huku hatima ya makumi ya wengi ikisalia kitendawili.