-
29 wakufa maji, 41 watoweka baada ya feri yao kuzama Indonesia
Jul 04, 2018 03:00Kwa akali watu 29 wamethibitishwa kupoteza maisha baada ya feri kuzama karibu na kisiwa cha Sulawesi nchini Indonesia, huku hatima ya makumi ya wengi ikisalia kitendawili.
-
Indonesia: Hakuna mazungumzo ya siri tuliyoyafanya na Israel
Jun 29, 2018 23:46Wizara ya Mambo ya Nje ya Indonesia imekadhibisha madai yaliyotolewa na utawala haramu wa Kizayuni kwamba serikali ya nchi hiyo imefanya mazungumzo ya siri na utawala huo kwa ajili ya kuondolewa marufuku inayowazuia Wazayuni kufanya safari nchini Indonesia.
-
50 wauawa na kujeruhiwa katika wimbi la hujuma dhidi ya makanisa Indonesia
May 13, 2018 03:08Mashambulizi matatu ya kigaidi dhidi ya makanisa yamepelekea watu wasiopungua 10 kuuawa na wengine zaidi ya 50 kujeruhiwa nchini Indonesia.
-
Ebtekar: Misimamo ya kufurutu mpaka, ugaidi na vita ni tishio kwa wanawake Waislamu
May 03, 2018 10:54Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran anayehusika na masuala ya wanawake na familia amesema misimamo ya kufurutu mpaka, ugaidi na vita vinatishia maisha ya wanawake Waislamu.
-
Spika wa Baraza la Wawakilishi Indonesia: Quds daima itaendelea kuwa ni mali ya Palestina
Jan 14, 2018 01:06Kaimu Spika wa Baraza la Wawakilishi la Indonesia amesisitiza udharura wa kuchukuliwa hatua za kurejesha haki za taifa la Palestina na kusema bayana kwamba, daima Beitul-Muqaddas itaendelea kuwa mali ya Palestina.
-
Wananchi wa Indonesia waandamana kuwaunga mkono Wapalestina
Dec 17, 2017 04:39Makumi ya maelfu ya wananchi wa Indonesia wamefanya maandamano Jumapili ya leo kulaani uamuzi wa Rais Donald Trump wa Marekani wa kuitangaza Quds kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel sambamba na kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.
-
Jumamosi, Septemba 30, 2017
Sep 30, 2017 01:10Leo ni Jumamosi tarehe 9 Mfunguo Nne Muharram 1439 Hijria mwafaka na tarehe 30 Septemba mwaka 2017 Miladia.
-
Waislamu Indonesia waandamana kuwatetea wenzao wa Rohingya
Sep 02, 2017 23:24Waislamu nchini Indonesia wamejitokeza kwa wingi mabarabarani kushiriki maandamano ya kulaani mauaji na jinai wanazofanyiwa Waislamu wenzao wa kabila la Rohingya huko Myanmar.
-
Leo ni Agosti 17, 2017
Aug 17, 2017 07:49Leo ni Alkhamisi tarehe 24 Dhulqaada 1438 Hijria sawa na Agosti 17, 2017.
-
Ashtari: Iran iko tayari kuzipatia uzoefu wa kipolisi nchi za Kiislamu
May 25, 2017 09:27Mkuu wa Jeshi la Polisi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kikosi cha polisi cha taifa hili kiko tayari kushirikiana na nchi zote katika nyuga zote husuasan katika suala la kupambana na uhalifu wa kimataifa.