Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Indonesia

  • Gavana wa mji mkuu wa Indonesia aswekwa jela kwa kuuvunjia heshima Uislamu

    Gavana wa mji mkuu wa Indonesia aswekwa jela kwa kuuvunjia heshima Uislamu

    May 09, 2017 13:55

    Gavana wa Jakarta, mji mkuu wa Indonesia amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela baada ya kupatikana na hatia ya kuuvunjia heshima na kuudhalilisha Uislamu.

  • Rouhani: Iran inakaribisha kuimarisha uhusiano wake na Indonesia

    Rouhani: Iran inakaribisha kuimarisha uhusiano wake na Indonesia

    Feb 28, 2017 07:16

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran inaunga mkono kikamilifu suala la kuimarisha ushirikiano wake na Indonesia katika nyuga mbalimbali kama vile uchumi, siasa na masuala ya sayansi.

  • Kupanuka wigo wa kuchukiwa kimataifa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Kupanuka wigo wa kuchukiwa kimataifa utawala wa Kizayuni wa Israel

    Feb 24, 2017 02:34

    Hatua ya serikali ya Indonesia ya kukataa ndege iliyokuwa imembeba Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel kupita katika anga yake imethibitisha kwamba, kinyume na fikra potofu za Wazayuni, nchi za Kiislamu zingali zinaunga mkono haki za wananchi wa Palestina mbele ya watenda jinai na utawala huo umetengwa kikamilifu kimataifa.

  • Indonesia: Tumeshangazwa na jeshi la Sudan kuwatia mbaroni askari wetu

    Indonesia: Tumeshangazwa na jeshi la Sudan kuwatia mbaroni askari wetu

    Jan 25, 2017 03:01

    Serikali ya Indonesia imetangaza kuwa, imeshangazwa na hatua ya jeshi la Sudan kuwatia mbaroni askari wa nchi hiyo na kwamba, kitendo hicho ni kinyume na sheria.

  • Kiongozi Muadhamu: Mapigano magharibi mwa Asia ni ya kutwishwa

    Kiongozi Muadhamu: Mapigano magharibi mwa Asia ni ya kutwishwa

    Dec 15, 2016 04:37

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, machafuko yanayoshuhudiwa katika eneo la magharibi mwa Asia ni ya kutwishwa na ni kwa mujibu wa malengo ya kikhabithi kutoka nje.

  • Iran na Indonesia kuimarisha usalama katika ulimwengu wa Kiislamu

    Iran na Indonesia kuimarisha usalama katika ulimwengu wa Kiislamu

    Dec 14, 2016 14:21

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu na Indonesia zina nafasi ya kipekee ya kuimarisha usalama katika eneo na ulimwengu wa Kiislamu kwa ujumla.

  • Rais Rouhani amlaki rasmi Rais wa Indonesia

    Rais Rouhani amlaki rasmi Rais wa Indonesia

    Dec 14, 2016 08:15

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemlaki rasmi Rais wa Indonesia katika Ikulu ya Saad Abad hapa Tehran.

  • Makumi wapoteza maisha katika mtetemeko wa ardhi Indonesia

    Makumi wapoteza maisha katika mtetemeko wa ardhi Indonesia

    Dec 07, 2016 07:54

    Makumi ya watu wamefariki dunia na wengine wengi kujeruhiwa kutokana na mtetemeko mkubwa wa ardhi uliolikumba eneo la kaskazini mwa Indonesia.

  • Watu 54 wafa maji baada ya boti yao kuzama Indonesia

    Watu 54 wafa maji baada ya boti yao kuzama Indonesia

    Nov 04, 2016 15:50

    Habari kutoka Indonesia zinasema kuwa, watu 54 wamepoteza maisha baada ya boti waliyokuwa wakisafiria kuzama karibu na kisiwa cha Batam.

  • Jumatano, Novemba 2, 2016

    Jumatano, Novemba 2, 2016

    Nov 02, 2016 02:33

    Leo ni Jumatano tarehe Pili Mfunguo Tano Safar 1438 Hijria sawa Novemba Pili 2016 Milaadia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS