Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Intifadha ya Palestina

  • Hatua kwa hatua kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds; Palestina imeanzia Mto Jordan hadi Bahari ya Sham!

    Hatua kwa hatua kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds; Palestina imeanzia Mto Jordan hadi Bahari ya Sham!

    May 28, 2018 11:36

    Palestina ni suala kuu na la kwanza la Ulimwengu wa Kiislamu; na kufanyika maandamano ya Siku ya Kimataifa ya Quds katika Ijumaa ya mwisho ya mwezi mtukufu wa Ramadhani kunatilia mkazo suala hilo muhimu na la kihistoria.

  • Hatua kwa hatua kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds; Marekani mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    Hatua kwa hatua kuelekea Siku ya Kimataifa ya Quds; Marekani mshirika wa jinai za Israel dhidi ya Wapalestina

    May 27, 2018 02:32

    Siku ya Kimataifa ya Quds ambayo ni siku ya kupazwa duniani sauti ya kudhulumiwa taifa la Palestina na kuchukizwa ulimwengu na utawala katili wa Israel unaoua watoto wadogo, inawadia.

  • Shamkhani: Iran kamwe haitaacha kuwaunga mkono wananchi wa Palestina

    Shamkhani: Iran kamwe haitaacha kuwaunga mkono wananchi wa Palestina

    Jan 03, 2018 07:39

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran amesema kuwa lengo la kutaka kujadiliwa na kufanyika mazungumzo kuhusu Palestina ni kuisahaulisha kadhia ya Palestina na kwamba kuharibiwa ardhi hiyo ni lengo kuu la maghasibu ambao wanafanya njama za kuzikalia kwa mabavu ardhi zote za Palestina.

  • Shakhsia wa kisiasa wa Palestina: Intifadha inaendelea

    Shakhsia wa kisiasa wa Palestina: Intifadha inaendelea

    Dec 27, 2017 03:50

    Viongozi kadhaa wa kisiasa wa Palestina wametangaza kuwa Intifadha ya Wapalestina itaendelea hadi utakapofutwa uamuzi uliotangazwa na rais wa Marekani wa kuitambua Baitul Muqaddas kuwa mji mkuu wa utawala wa Kizayuni.

  • UN yalaani kitendo cha Israel kumpiga risasi na kumuua Mpalestina mlemavu

    UN yalaani kitendo cha Israel kumpiga risasi na kumuua Mpalestina mlemavu

    Dec 20, 2017 08:20

    Kamishna Mkuu wa haki za binadamu kwenye Umoja wa Mataifa amesema amestaajabishwa sana na kitendo cha jeshi la Israel kumuua kwa kumpiga risasi mtu mwenye ulemavu aliyekuwa anaelekea msikitini siku ya Ijumaa.

  • Jihad Islami yasema Intifadha ya Palestina inahitaji msaada wa mataifa ya Kiislamu

    Jihad Islami yasema Intifadha ya Palestina inahitaji msaada wa mataifa ya Kiislamu

    Dec 20, 2017 02:37

    Mwakilishi wa Harakati ya Jihad Islami ya Palestina nchini Iran amesema Wapalestina wanahitaji msaada wa mataifa na serikali za Kiarabu na Kiislamu ili kuendeleza harakati ya mwamko au Intifadha dhidi ya utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Sisitizo la kudumishwa mapambano ya Intifadha huko Palestina

    Sisitizo la kudumishwa mapambano ya Intifadha huko Palestina

    Dec 15, 2017 17:18

    Maelfu ya wananchi wa Palestina jana Alkhamisi walikusanyika katika Medani ya al Katiba katika eneo la Ukanda wa Gaza wakipiga nara na kaulimbiu ya "Mapambano ni Uamuzi Wetu, na Umoja ni Chaguo Letu" na kuadhimisha mwaka wa 30 tangu kuasisiwa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS).

  • Alkhamisi 28 Septemba 2017

    Alkhamisi 28 Septemba 2017

    Sep 28, 2017 03:08

    Leo ni Alkhamisi 7 Muharram 1439 Hijria sawa na Septemba 28, 2017.

  • Israel yaingiwa na kiwewe kuhusu kushadidi Intifadha huku Siku ya Kimataifa ya Quds ikikaribia

    Israel yaingiwa na kiwewe kuhusu kushadidi Intifadha huku Siku ya Kimataifa ya Quds ikikaribia

    Jun 19, 2017 07:06

    Intifadha au mwamko wa Wapalestina unazidi kuchacha huku Siku ya Kimataifa ya Quds ikikaribia jambo ambalo limewatia kiwewe wakuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel.

  • Kongamano la Kimataifa la Intifadha ya Palestina Tehran, Kikao  Kilichokuwa na Ujumbe kwa Dunia

    Kongamano la Kimataifa la Intifadha ya Palestina Tehran, Kikao Kilichokuwa na Ujumbe kwa Dunia

    Mar 01, 2017 08:48

    Kongamano la Sita la Kimataifa la Kuunga Mkono Intifadha au mwamko wa watu wa Palestina lilimalizika Februari 22 hapa Tehran kwa sisitizo la udharura wa kuhakikisha kuwa kadhia ya Palestina inabakia kuwa yenye kipaumbele cha kwanza katika Ulimwengu wa Kiislamu na nchi za Kiarabu.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2025 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS