-
Mahakama: Iran itatumia uwezo wake wote kujibu mauaji ya Haniyah
Aug 06, 2024 22:58Msemaji wa Idara ya Mahakama ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran itatumia uwezo wake wote kulipiza kisasi cha mauaji ya Ismail Haniyah, Mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS), akiwa mjini Tehran.
-
Iran na Russia katika mkondo wa kuimarisha ushirikiano
Aug 06, 2024 10:42Jumatatu ya jana tarehe 5 Agosti, Katibu wa Baraza la Usalama la Taifa la Shirikisho la Russia aliwasili mjini Tehran kwa lengo la kuimarisha maingiliano na kuchunguza masuala ya kieneo, kimataifa na uhusiano wa pande mbili.
-
Iran: Nchi za Magharibi zimepoteza utu na heshima katika vita vya Gaza
Aug 06, 2024 09:50Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, nchi za Magharibi zimepoteza utu na heshima yao katika vita dhidi ya watu wa Ukanda wa Gaza na zimekumbwa na mmomonyoko wa kimaadili na mporomoko wa ustaarabu.
-
Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran: Ni lazima tusimame dhidi ya utawala mshari wa Kizayuni
Aug 06, 2024 04:16Kaimu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema kuwa Tehran inapaswa kusimama kidete kukabiliana na utawala muovu kwa jina la utawala wa Kizayuni, ambao ndio chanzo cha ukosefu wa amani katika eneo.
-
Pezeshkian: Kosa 'kubwa' la Israel la kumuua kigaidi Haniyah litajibiwa
Aug 04, 2024 23:54Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesema kitendo cha utawala wa Kizayuni wa Israel cha kumuua kigaidi Ismail Haniyah, Kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) ni 'kosa kubwa' ambalo halitapita hivi hivi bila kupewa majibu.
-
Ukosoaji wa Iran kwa baadhi ya nchi za Ulaya kwa kuunga mkono vitendo vya kigaidi vya Israel
Aug 04, 2024 23:01Ali Bagheri Kani, Kaimu Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametilia mkazo haki ya kisheria ya Tehran ya kuuadhibu utawala wa Kizayuni; na amelaani na kukemea hatua ya baadhi ya nchi za Ulaya ya kushirikiana na Marekani kuzuia kulaaniwa mauaji ya Kiongozi Mkuu wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) shahidi Ismail Haniyeh katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Jumapili, 04 Agosti, 2024
Aug 03, 2024 22:54Leo ni Jumapili 29 Mfunguo Nne Muharram 1446 Hijria, mwafaka na tarehe 4 Agosti 2024
-
Jumuiya ya Wayahudi wa Iran yataka kulipiza kisasi baada ya Israel kumuua Haniyeh
Aug 03, 2024 22:53Jumuiya ya Wayahudi wa Iran imelaani vikali mauaji yaliyofanywa na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya kiongozi wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) Ismail Haniyeh akiwa ugenini mjini Tehran, ikitoa wito wa kulipiza kisasi dhidi ya mauaji hayo.
-
Baada ya UN, Iran yaitaarifu EU: Tutalitia adabu genge la wahalifu la utawala wa Kizayuni wa Israel
Aug 03, 2024 03:27Iran itatumia haki yake ya asili na halali ya kuliadhibu "genge la wahalifu la Kizayuni" kwa shambulio lake la kigaidi la siku ya Jumatano iliyopita, ambalo lilipelekea kuuawa mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) Ismail Haniyeh mjini Tehran.
-
Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran: Jinamizi la kulipiza kisasi limeutia gizani utawala wa Kizayuni
Aug 02, 2024 10:21Imamu wa Swala ya Ijumaa ya Tehran amesema: Mauaji ya Ismail Haniyeh, mkuu wa Ofisi ya Kisiasa ya Hamas akiwa mjini Tehran, ni kiungo cha mwisho cha jinai zinazoendelea kufanywa na genge chafu la uhalifu na linaloendelea kuua watoto la Israel.