Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran yalaani mashambulizi ya Marekani na Uingereza nchini Yemen

    Iran yalaani mashambulizi ya Marekani na Uingereza nchini Yemen

    Feb 04, 2024 08:30

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani mashambulizi ya anga na makombora ya Marekani na Uingereza dhidi ya miji na maeneo tofauti ya Yemen.

  • Rais wa Iran: Tumesambaratisha vikwazo

    Rais wa Iran: Tumesambaratisha vikwazo

    Feb 03, 2024 23:23

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema: Kurushwa kwa satalaiti 11 za Iran kwa mafanikio kumeshinda vikwazo vya Marekani na Magharibi dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu.

  • Mashambulizi makubwa dhidi ya Iraq na Syria; Chokochoko mpya za Marekani eneo la Asia Magharibi

    Mashambulizi makubwa dhidi ya Iraq na Syria; Chokochoko mpya za Marekani eneo la Asia Magharibi

    Feb 03, 2024 23:07

    Marekani ambayo kwa miaka kadhaa sasa imevuruga amani ya eneo la Magharibi mwa Asia kutokana na uwepo wake wa kijeshi katika eneo hilo ili kufanikisha malengo yake na ya washirika wake, imekuwa ikiyumbisha usalama wa eneo hilo nyeti na muhimu kwa kufanya mashambulizi na uvamizi wa mara kwa mara.

  • Iran yaicharaza Japan 2-1 na kutinga nusu fainali ya Kombe La Asia

    Iran yaicharaza Japan 2-1 na kutinga nusu fainali ya Kombe La Asia

    Feb 03, 2024 11:19

    Mkwaju wa penalti wa dakika za mwisho wa Alireza Jahanbakhsh uliipa Iran ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Japan Jumamosi na kuiwezesha timu hii ya taifa ya soka ya Iran kutinga nusu fainali ya Kombe la Asia kwa mara ya pili tangu 2004.

  • Kusambaratishwa mitandao ya kijasusi ya

    Kusambaratishwa mitandao ya kijasusi ya "Mossad" nchini Iran

    Feb 03, 2024 08:32

    Wizara ya Intelijensia ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetangaza kuwa imefichua vibaraka kadhaa wa shirika la ujasusi la Israel, Mossad katika nchi 28 duniani.

  • Iran yalaani Magharibi kuisimamishia UNRWA misaada

    Iran yalaani Magharibi kuisimamishia UNRWA misaada

    Feb 03, 2024 04:00

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekosoa vikali hatua 'chungu' ya Wamagharibi ya kulisimamishia misaada Shirika la Umoja wa Mataifa la Msaada kwa Wakimbizi wa Kipalestina (UNRWA).

  • UN yaipongeza Iran kwa hatua madhubuti katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya

    UN yaipongeza Iran kwa hatua madhubuti katika mapambano dhidi ya dawa za kulevya

    Feb 02, 2024 23:01

    Mkuu wa Idara ya Huduma za Sayansi na Maabara ya Ofisi ya Umoja wa Mataifa ya Kukabiliana na Mihadarati na Uhalifu (UNODC) amepongeza hatua za Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kupambana na dawa za kulevya.

  • Intelijensia ya Iran yagundua makumi ya majasusi wa Mossad katika nchi 28 duniani

    Intelijensia ya Iran yagundua makumi ya majasusi wa Mossad katika nchi 28 duniani

    Feb 02, 2024 10:45

    Wizara ya Usalama wa Taifa ya Iran imetangaza kuwa vikosi vyake vimegundua idadi kubwa ya majasusi wanaohusishwa na shirika la ujasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel Mossad katika nchi 28 duniani.

  • Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran: Iran ni nchi huru zaidi duniani

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran: Iran ni nchi huru zaidi duniani

    Feb 02, 2024 10:28

    Khatibu wa Sala ya Ijumaa iliyosaliwa leo mjini Tehran ameitaja Jamhuri ya Kiislamu ya Iran kuwa nchi huru zaidi duniani.

  • Abdollahian: Kusitisha jinai za Israel ndiyo njia pekee ya kurejesha uthabiti Asia Magharibi

    Abdollahian: Kusitisha jinai za Israel ndiyo njia pekee ya kurejesha uthabiti Asia Magharibi

    Feb 02, 2024 04:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema njia pekee ya kurejesha uthabiti katika eneo la Asia Magharibi ni kukomesha jinai za utawala wa Israel dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS