-
Kiongozi Muadhamu: Mkakati mkuu wa Iran ni kutegemea nguvu laini
Jan 03, 2024 08:16Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, mkakati mkuu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kipindi hiki cha miaka 45 iliyopita ni kutegemea nguvu laini na nguvu hizo zinapaswa zifanywe kubwa zaidi.
-
Amir-Abdollahian: Jinai za utawala wa Kizayuni zimepiga kengele ya hatari katika ukanda huu mzima
Jan 03, 2024 07:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, jinai na mauaji ya kigaidi yanayofanywa na utawala wa Kizayuni nje ya mipaka ya Palestina ni tishio kwa usalama na ni kengele ya hatari kwa amani ya ukanda huu mzima.
-
Iran yaipongeza Ansarullah ya Yemen kwa kuiunga mkono Palestina
Jan 02, 2024 03:34Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameisifu na kuipongeza Harakati ya Ansarullah ya Yemen kwa kuwa na msimamo madhubuti katika kuwaunga mkono wananchi wa Palestina.
-
Jenerali Salami: Kinachojiri Gaza ni mauaji ya halaiki
Jan 01, 2024 08:25Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) sanjari na kulaani jinai za kutisha za utawala wa Kizayuni dhidi ya Wapalestina katika Ukanda wa Gaza amesisitiza kuwa, "Kinachojiri Gaza ni mauaji ya halaiki."
-
Azma ya Tehran na Islamabad ya kuimarisha uhusiano wao katika nyuga mbalimbali
Jan 01, 2024 04:30Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Pakistan ameeleza kuridhishwa kwake na mwenendo unaokua wa uhusiano kati ya nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Raisi: Wairani wapo macho na wanawafahamu wachochezi
Dec 30, 2023 08:39Rais Ebarhim Raisi wa Iran amesema taifa la Iran linaufahamu vyema uchochezi na kuwatambua wachochezi, na ndio maana walionyesha namna wana muono wa mbali katika tukio la kihistoria la Dei 9.
-
"Iran na Misri kuhuisha uhusiano wao wa kidiplomasia karibuni"
Dec 30, 2023 08:39Afisa wa ngazi za juu wa Misri amesema nchi hiyo ya kaskazini mwa Afrika na Iran zinatazamiwa kufufua kikamilifu uhusiano wa pande mbili wa kidiplomasia, na hata kubadilishana mabalozi.
-
Iran: Tuna uwezo wa kupiga nukta yoyote ya Israel wakati wowote tunapopenda
Dec 29, 2023 01:52Mkuu wa Ofisi ya Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema kuwa, Iran ina uwezo mkubwa wa kiulinzi kiasi kwamba leo hii inaweza kupiga nukta yoyote ya Israel kwa makombora yanayopiga vizuri mno shabaha, wakati wowote itakapoona kuna haja ya kufanya hivyo.
-
Kuongezeka idadi ya watu wanaotumia intaneti duniani mwaka 2023
Dec 28, 2023 06:01Karibuni wasikilizaji wapendwa wa Idhaa ya Kiswahili Redio Tehran katika kipindi chetu cha makala ya wiki ambapo tutatupia jicho ongezeko la watumiaji wa intaneti duniani mwaka 2023.
-
Mazungumzo ya Amir-Abdollahian na viongozi wa Armenia
Dec 28, 2023 00:53Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiiislamu ya Iran aliyeko safarini nchini Armenia amekutana na kufanya mazungumzo kwa nyakati tofauti na Waziri Mkuu na Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa nchi hiyo.