• Rais wa Iran asusia mkutano wa COP28 Dubai kwa kushiriki Israel

    Rais wa Iran asusia mkutano wa COP28 Dubai kwa kushiriki Israel

    Dec 01, 2023 03:17

    Rais Ebrahim Raisi wa Iran hatashiriki mkutano wa 28 wa nchi wanachama wa Mkataba wa Mabadiliko ya Tabianchi, COP28, mjini Dubai kutokana na uwepo wa Rais Isaac Herzog na maafisa wengine wa utawala wa Kizayuni wa Israel kwenye mkutano huo.

  • Iran yaipongeza Yemen kwa kuwaunga mkono Wapalestina

    Iran yaipongeza Yemen kwa kuwaunga mkono Wapalestina

    Nov 30, 2023 23:51

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amepongeza na kusifu uungaji mkono wa Yemen kwa taifa la Palestina, wakati huu ambapo utawala wa Kizayuni umeshadidisha jinai zake dhidi ya Wapalestina wa Ukanda wa Gaza.

  • Iran: Afrika ina hamu ya kufufua utambulisho wake

    Iran: Afrika ina hamu ya kufufua utambulisho wake

    Nov 30, 2023 00:23

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Anayehusika na Masuala ya Kisiasa amesisitizia haja ya kuimarishwa uhusiano na ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu na nchi za Afrika ikiwemo Senegal katika nyuga mbalimbali.

  • Iran: Hatima ileile ya kutoroka Afghanistan itawafika askari wa Marekani waliopiga kambi Iraq na Syria

    Iran: Hatima ileile ya kutoroka Afghanistan itawafika askari wa Marekani waliopiga kambi Iraq na Syria

    Nov 30, 2023 03:47

    Mshauri wa ngazi ya juu wa kijeshi wa Kiongozi wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Seyyed Ali Khamenei amepongeza Kambi ya Muqawama katika eneo na kusema "kutoroka" ndio hatima ya mwisho itakayovifika vikosi vamizi vya jeshi la Marekani nchini Syria na Iraq kama ilivyotokea Afghanistan.

  • Iran yazionya Marekani na Israel juu ya 'matokeo hasi makali' endapo jinai za kivita zitaendelea Gaza

    Iran yazionya Marekani na Israel juu ya 'matokeo hasi makali' endapo jinai za kivita zitaendelea Gaza

    Nov 28, 2023 09:52

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran Hossein Amir-Abdollahian amezionya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel kwamba zitakabiliwa na "matokeo hasi makali" iwapo zitashindwa kukomesha kikamilifu uhalifu wa kivita katika Ukanda wa Gaza uliofanywa wakati wa vita vya mauaji ya halaiki dhidi ya eneo Palestina lililowekewa mzingiro.

  • Baqeri: Manowari ya Deylaman kudhamini usalama kaskazini mwa Iran

    Baqeri: Manowari ya Deylaman kudhamini usalama kaskazini mwa Iran

    Nov 27, 2023 08:57

    Mkuu wa Komandi Kuu ya Vikosi vya Ulinzi vya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kujiunga manowari mpya ya Deylaman kwenye orodha ya meli za kivita za Iran kutaimarisha usalama katika Bahari ya Caspian, kaskazini mwa nchi.

  • Iran: Wapalestina wataamua hatima yao wenyewe

    Iran: Wapalestina wataamua hatima yao wenyewe

    Nov 27, 2023 07:56

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema taifa la Palestina halitaruhusu ama utawala wa Kizayuni au Marekani kufikia malengo yao haramu, na kusisitiza kuwa hatima ya Palestina ipo mikononi mwa Wapalestina wenyewe.

  • Ulimwengi wa Spoti, Nov 27

    Ulimwengi wa Spoti, Nov 27

    Nov 27, 2023 02:26

    Natumai u mzima wa afya popote pale uliopo mpenzi msikilizaji. Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio makubwa ya spoti yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbalimbali za dunia.

  • Amir Abdollahian nchini Lebanon; safari yenye malengo kadhaa

    Amir Abdollahian nchini Lebanon; safari yenye malengo kadhaa

    Nov 25, 2023 02:54

    Hossein Amirabdollahian Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ametembelea Beirut, mji mkuu wa Lebanon ikiwa ni katika muendelezo wa mashauriano yake na viongozi wa eneo kuhusu hujuma ya Wazayuni katika Ukanda wa Gaza ambapo amekukutana na kuzungumza na maafisa wa nchi hiyo pamoja na viongozi wa mrengo wa muqawama wa Lebanon na Palestina.

  • Tume ya Haki za Binadamu ya Iran: Utawala wa Kizayuni hautakwepa kesi mahakama ya ICC

    Tume ya Haki za Binadamu ya Iran: Utawala wa Kizayuni hautakwepa kesi mahakama ya ICC

    Nov 25, 2023 01:04

    Katibu wa Tume ya Haki za Kibinadamu ya Idara ya Mahakama ya Iran amesema: Jamhuri ya Kiislamu inalipa mazingatio maalumu suala la kuhakikisha utawala wa Kizayuni wa Israel haukwepi kesi ya kutenda uhalifu wa kivita na dhidi ya binadamu katika Mahakama ya Kimataifa ya Jinai.