-
Pezeshkian alishukuru taifa la Iraq kwa kuwa bega kwa bega na Iran katika mapambano dhidi ya Marekani, Israel
Mar 31, 2026 06:17Rais Masoud Pezeshkian wa Iran amesifu na kupongeza ujasiri wa taifa la Iraq wa kusimama bega kwa bega na watu wa Iran katika kipindi hiki cha uvamizi wa Marekani na Israel dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Awamu ya pili ya wimbi la 86 la Oparesheni Ahadi ya Kweli-4; ulipizaji kisasi dhidi ya maeneo ya viwanda ya adui
Mar 30, 2026 07:20Idara ya Uhusiano wa Umma ya Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) imetoa taarifa ikitangaza kuwa jeshi hilo limetekeleza awamu ya pili ya wimbi la 86 la Oparesheni Ahadi ya Kweli-4 dhidi ya kitongoji cha viwanda cha Neot Hovav huko Beersheba kusini mwa ardhi zinazokaliwa kwa mabavu za Palestina (Israel).
-
Qalibaf: Jibu la Iran limepangwa ili kuharakisha kusambaratika jeshi la Israel
Mar 29, 2026 05:57Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amezungumzia kukiri kamanda wa jeshi la utawala wa Kizayuni wa Israel kuhusu kusambaratika jeshi hilo na kuandika: Jibu la Iran limeratibiwa kwa namna ambayo linaharakisha kusambaratika jeshi la Israel.
-
Jebelli: Misimamo ya ujasiri ya Shahidi Shoaib ilipinga mashine ya vita ya adui Mzayuni
Mar 29, 2026 05:50Mkuu wa Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (IRIB) ametuma salamu za rambirambi kwa wakurugenzi wa Televisheni za Al-Manar na Al-Mayadeen za Lebanon kufuatia hatua ya utawala wa Kizayuni wa Israel ya kuwauwa kwa makusudi waandishi habari wa vyombo hivyo habari kusini mwa Lebanon.
-
Baqaei: Mashambulizi dhidi ya vyuo vikuu yanaonyesha chuki ya adui kwa maendeleo ya kisayansi ya Wairani
Mar 29, 2026 05:26Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani vikali jinai za adui za kuvishambulia vyuo viku na vituo vya elimu nchini Iran.
-
Araghchi: Mauaji ya wanafunzi katika Shule ya Minab ni sehemu ndogo tu ya uhalifu wa Marekani na Israel
Mar 27, 2026 23:24Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema mauaji ya wanafunzi katika Shule ya Minab yaliyofanywa na Marekani na Israel ni “sehemu ndogo tu,” ya uhalifu wa kivita unaofanywa na muungano wa kijeshi wa tawala hizo mbili.
-
Qalibaf azitahadharisha taasisi za fedha zinazodhamini bajeti ya kijeshi ya Marekani
Mar 23, 2026 07:03Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu ya Iran (Bunge) amezitahadharisha taasisi za fedha zinazodhamini bajeti ya kijeshi ya Marekani.
-
Msemaji wa al Qassam asema Iran ni safu ya mbele ya kutetea Umma wa Kiislamu
Mar 22, 2026 03:48Msemaji wa tawi la kijeshi la Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (HAMAS) amepongeza mashambulizi ya makombora ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran dhidi ya maeneo mbalimbali ya utawala ghasibu wa Israel.
-
Wall Street Journal: Kambi ya Diego Garcia imeshambuliwa kwa makombora ya Iran
Mar 21, 2026 06:36Gazeti la Kimarekani la Wall Street Journal limeripoti kwamba, Iran imeshambulia kwa makombora mojawapo ya kambi za mbali zaidi za kistratijia za jeshi la Marekani nje ya nchi hiyo.
-
Araqchi: Kushiriki Uingereza katika mashambulizi dhidi ya Iran kutasajiliwa katika historia ya uhusiano wa nchi mbili
Mar 20, 2026 08:10Sayyid Abbas Araqchi Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amezungumza kwa simu na mwenzake wa Uingereza, Yvette Cooper, kuhusu taathira za vita vya kulazimishwa vya Marekani na utawala wa Kizayuni wa Israel dhidi ya Iran na hali ya mambo ya sasa katika eneo la Magharibi mwa Asia.