-
Sheikh Naim Qassim: Iran iliwasaidia wananchi wa Lebanon, lakini Marekani inawaadhibu
Sep 24, 2022 23:13Naibu Katibu Mku wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Hizbullah ya Lebanon amesema kuwa, Iran ilikuwa pamoja na wananchi wa Lebanon katika matatizo na masaibu na iliwasaidia, lakini Marekani inawaadhibu.
-
Kan'ani: Kukimbia kusikiliza uhakika wa mambo hakuusaidii kitu utawala wa kibaguzi wa Israel
Sep 23, 2022 06:05Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kitendo cha utawala wa kibaguzi wa Israel cha kutoka kwenye ukumbi wa mkutano wa Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wakati Rais wa Iran alipokuwa anahutubia, hakiusaidii kitu utawala huo pandikizi.
-
Mazungumzo ya kuondoa vikwazo; ajenda kuu ya mazungumzo ya Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Iran na Qatar
Sep 20, 2022 03:36Mawaziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Qatar wamezungumzia suala la kuondolewa vikwazo katika fremu ya vikao vya Vienna.
-
Rais Raisi: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haitalegeza msimamo mbele ya ubabe wa Marekani
Sep 16, 2022 06:59Rais Ebrahim Raisi amesema, mashirikiano ya kistratijia ya Iran na China ni ishara ya irada ziliyonayo nchi mbili ya kustawisha uhusiano wao katika pande zote na akasisitiza kwamba: Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katu haitalegeza msimamo mbele ya ubabe wa Marekani.
-
Iran: Utawala haramu wa Israel siku zote umekuwa tishio dhidi ya amani na usalama wa kimataifa
Sep 16, 2022 03:12Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, misingi ya utawala wa kibaguzi wa Israel imejengeka juu ya uvamizi na tishio kwa amani na usalama wa dunia.
-
Iran: Muafaka utapatikana Marekani ikizingatia uhalisia wa mambo
Sep 14, 2022 03:25Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesisitiza kuwa, ikiwa Marekani itazingatia uhalisia wa mambo, basi makubaliano mazuri, imara na ya kudumu yanaweza kufikiwa kwa uungaji mkono wa pande zote katika mazungumzo ya Vienna.
-
Kanani: Iran inaunga mkono kuendelezwa mchakato wa kusitisha mapigano huko Yemen
Sep 12, 2022 22:02Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa Iran inaunga mkono kuendelezwa na kuimarishwa mchakato wa kusitisha mapigano nchini Yemen.
-
Salami: Maamuzi ya Iran yanaathiri uchaguzi wa Marekani
Sep 06, 2022 21:53Kamanda Mkuu wa Jeshi la Iran la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema maamuzi ya kisiasa ya Jamhuri ya Kiislamu yana taathira na nafasi kubwa katika chaguzi za Marekani.
-
Marandi: Iran haitakubali mianya na utata kuhusiana na mazungumzo ya Vienna
Sep 06, 2022 03:27Mshauri wa timu ya Iran katika mazungumzo ya Vienna amesisitiza kuwa Iran haitakubali mianya na utata kuhusiana na mazungumzo hayo.
-
Iran: Tuko tayari kuitatulia Ulaya matatizo yake ya nishati
Sep 05, 2022 06:42Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imehifadhi hisa yake katika soko la nishati licha ya vikwazo, lakini inaweza kuwa na mchango mkubwa katika kupatia suluhu mgogoro wa niashati unaolikabili bara Ulaya.