Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Nigeria yaomba kuwa na ushirikiano wa kijeshi na Iran

    Nigeria yaomba kuwa na ushirikiano wa kijeshi na Iran

    Sep 04, 2022 06:33

    Mwanadiplomasia mstaafu na mzoefu wa Nigeria Babaji Umar Misau amesema, ana matumaini kuwa nchi yake itaendelea kuwa na ushirikiano mzuri na wenye manufaa na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, ambayo rafiki yake wa zamani kama ilivyokuwa kwa miongo mingi.

  • Amir-Abdollahian: Sera ya Mambo ya Nje ya Iran imejengeka katika msingi wa uhuru, amani

    Amir-Abdollahian: Sera ya Mambo ya Nje ya Iran imejengeka katika msingi wa uhuru, amani

    Sep 02, 2022 23:00

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mazungumzo na utendaji wa Jamhuri ya Kiislamu katika siasa za nje umejengeka katika msingi wa uhuru, kujitegemea, amani na heshima.

  • Marandi: Wakati umefika Biden afanye maamuzi magumu

    Marandi: Wakati umefika Biden afanye maamuzi magumu

    Sep 02, 2022 07:39

    Mshauri wa timu ya Iran katika mazungumzo ya nyuklia ya Vienna amesema kuwa, wakati umefika kwa utawala wa Rais Joe Biden wa Marekani kuchukua maamuzi magumu juu ya kuhuishwa makubaliano yanayotarajiwa kufikiwa kuhusiana na kuondolewa vikwazo Iran.

  • Iran yaipongeza Iraq kwa kutumia hekima kuhitimisha ghasia

    Iran yaipongeza Iraq kwa kutumia hekima kuhitimisha ghasia

    Aug 31, 2022 03:03

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imewapongeza wananchi wa Iraq kwa kutumia hekima kukabiliana na jaribio la uasi lililosababisha ghasia na fujo nchini humo.

  • Iran na Russia kujadili Ukraine na JCPOA mjini Moscow

    Iran na Russia kujadili Ukraine na JCPOA mjini Moscow

    Aug 30, 2022 23:20

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema lengo kuu la safari yake mjini Moscow ni kujaribu kutatua mgogoro wa Ukraine.

  • Iran na Oman zajadili mapatano ya kuondolewa Tehran vikwazo

    Iran na Oman zajadili mapatano ya kuondolewa Tehran vikwazo

    Aug 29, 2022 06:35

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran inatathmini kwa kina jibu la serikali ya Marekani kuhusu masuala yaliyosalia katika mazungumzo ya kuliondolea vikwazo taifa hili.

  • Mossad inakula njama ya kuzuia kufufuliwa JCPOA

    Mossad inakula njama ya kuzuia kufufuliwa JCPOA

    Aug 29, 2022 06:32

    Mkuu wa Shirika la Kijasusi la utawala wa Kizayuni wa Israel (Mossad) anatazamiwa kuelekea Washington kufanya mikutano kadhaa ya faragha na maafisa wa serikali ya Marekani kuhusu makubaliano ya nyuklia ya JCPOA.

  • Ghalibaf: Zana za ulinzi za Iran zimewatia kiwewe maadui; wanaogopa kuingia vitani

    Ghalibaf: Zana za ulinzi za Iran zimewatia kiwewe maadui; wanaogopa kuingia vitani

    Aug 27, 2022 20:53

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema kuwa, zana za ulinzi za Jamhuri ya Kiislamu zimeongeza nguvu za kujihami taifa hili, zimewatia kiwewe maadui na zimewafanya waogope kuingia vitani na Iran ya Kiislamu.

  • Iran na Nigeria kupanua ushirikiano wao katika uga wa nishati

    Iran na Nigeria kupanua ushirikiano wao katika uga wa nishati

    Aug 27, 2022 20:52

    Waziri wa Mafuta wa Iran ameeleza matumaini yake ya kuimarika ushirikiano wa Jamhuri ya Kiislamu na Nigeria katika uga wa nishati.

  • Iran: Uhusiano wetu na Tanzania unazidi kustawi na kuimarika

    Iran: Uhusiano wetu na Tanzania unazidi kustawi na kuimarika

    Aug 27, 2022 07:21

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter kuwa, uhusiano wa Tehran na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania unazidi kuwa imara.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS