Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Sisitizo la Kamanda wa Jeshi la Majini la Iran kuhusu kupambana vilivyo na ushetani wa adui

    Sisitizo la Kamanda wa Jeshi la Majini la Iran kuhusu kupambana vilivyo na ushetani wa adui

    Mar 21, 2022 04:23

    Admiral Shahram Irani, Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu imejiimarisha vilivyo kupambana na ushetani wowote wa maadui na haitatoa mwanya hata kidogo wa kufanikiwa njama za adui.

  • Ayatullah Khamenei: Mwaka 1401 Shamsia ni mwaka wa uzalishaji unaotegemea elimu na kutengeneza ajira

    Ayatullah Khamenei: Mwaka 1401 Shamsia ni mwaka wa uzalishaji unaotegemea elimu na kutengeneza ajira

    Mar 21, 2022 00:01

    Katika ujumbe wake kwa mnasaba wa kuanza mwaka 1401 Hijria Shamsia, Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amelipongeza taifa kwa kuwadia sikukuu ya Nowruz na kuutaja mwaka mpya kuwa ni mwaka wa "uzalishaji unaotegemea elimu na kutengeneza ajira."

  • Raisi katika ujumbe wa Nowruz 1401: Karne ya 15 ni karne ya Iran ya Kiislamu

    Raisi katika ujumbe wa Nowruz 1401: Karne ya 15 ni karne ya Iran ya Kiislamu

    Mar 21, 2022 00:00

    Katika ujumbe wake wa Nowruz na mwaka mpya wa 1401 Hijria Shamsia, Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameitaja karne ya kumi na tano Hijria Shamsia kuwa ni karne ya Iran ya Kiislamu na zama za watu wa Iran kuwa na nafasi na machango muhimu zaidi.

  • Jahromi: Uingereza imesalimu amri mbele ya nguvu za taifa la Iran

    Jahromi: Uingereza imesalimu amri mbele ya nguvu za taifa la Iran

    Mar 17, 2022 07:25

    Msemaji wa serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, baada ya kupita miaka 40 ya kutotekeleza ahadi zake, hatimaye Uingereza imesalimu amri mbele ya nguvu za mazungumzo za taifa la Iran.

  • Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini Russia na matokeo yake

    Safari ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran nchini Russia na matokeo yake

    Mar 17, 2022 03:08

    Hossein Amir-Abdollahian, Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran aliwasili mjini Moscow siku ya Jumanne akiongoza ujumbe wa ngazi za juu kwa ajili ya kukutana na kuzungumza na Sergey Lavrov, Waziri mwenzake wa Mambo ya Nje wa Russia kuhusu masuala ya pande mbili, mazungumzo ya Vienna, Ukraine, Syria, Yemen na Afghanistan.

  • Ayatullah Makarem Shirazi: Unyongaji wa umati wa Saudia umezijeruhi nyoyo za Waislamu wote huru

    Ayatullah Makarem Shirazi: Unyongaji wa umati wa Saudia umezijeruhi nyoyo za Waislamu wote huru

    Mar 15, 2022 21:07

    Ayatullah Naser Makarem Shirazi, mmoja wa Marjaa Taqlidi wa mjini Qum nchini Iran amesema kuwa, hatua ya kuwanyonga makumi ya vijana Waislamu tena kwa sura ya kinyama na ya kikatili imezihunisha nyoyo za Waislamu wote huru ulimwenguni.

  • Amir-Abdollahian: Kustawisha uhusiano na Russia kuna umuhimu kwa Iran

    Amir-Abdollahian: Kustawisha uhusiano na Russia kuna umuhimu kwa Iran

    Mar 15, 2022 10:14

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema, bila kujali matukio na mabadiliko yoyote yanayojiri kimataifa, kustawisha uhusiano na Russia kuna umuhimu kwa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Iran yaikosoa Marekani kwa kuibua maudhui mpya katika mazungumzo ya Vienna

    Iran yaikosoa Marekani kwa kuibua maudhui mpya katika mazungumzo ya Vienna

    Mar 13, 2022 04:28

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran ameijia juu Marekani kwa kuibua maudhui nyingine mpya kwenye mazungumzo ya Vienna kati ya Jamhuri ya Kiislamu na kundi la 4+1, ambayo lengo lake kuu ni kuondolewa Tehran vikwazo vya kidhalimu.

  • Iran yapinga tuhuma zisizo na msingi za Arab League

    Iran yapinga tuhuma zisizo na msingi za Arab League

    Mar 11, 2022 04:43

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amekadhibisha madai yaliyotolewa dhidi ya taifa hili katika mkutano wa mawaziri wa mambo ya nje wa Jumuiya ya Nchi za Kiarabu.

  • Harakati ya Palestina: Hakuna nchi inayounga mkono ukombozi wa Quds kama Iran

    Harakati ya Palestina: Hakuna nchi inayounga mkono ukombozi wa Quds kama Iran

    Mar 11, 2022 04:33

    Harakati ya Mujahideen ya Palestina imesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inaunga mkono kwa dhati suala la kukombolewa kwa mji mtukufu wa Quds, unaokaliwa kwa mabavu na utawala ghasibu wa Israel.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS