Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • "Iran inataka 'makubaliano mazuri' katika mazungumzo ya Vienna"

    Nov 11, 2021 04:43

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili limejiandaa kwa ajili ya kufikiwa 'makubaliano mazuri' katika mazungumzo ya Vienna kuhusu mapatano ya nyuklia ya JCPOA, yanayotazamiwa kuanza mwishoni mwa mwezi huu.

  • Maelfu ya wakimbizi wa Kiafghani wanaingia Iran kila siku

    Maelfu ya wakimbizi wa Kiafghani wanaingia Iran kila siku

    Nov 11, 2021 04:39

    Shirika moja la Ulaya la kushughulikia maslahi ya wakimbizi limeiasa jamii ya kimataifa kuwapa msaada wa chakula na makazi maelfu ya wakimbizi wanaoingia nchini Iran kila siku wakitokea Afghanistan.

  • Iran: Marekani iwajibishwe kwa matatizo yanaoikumba Afghanistan

    Iran: Marekani iwajibishwe kwa matatizo yanaoikumba Afghanistan

    Nov 10, 2021 10:56

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Marekani na waitifaki wake wanapaswa kubebeshwa dhima kutokana na migogoro na matatizo mengine yanayoshuhudiwa hii leo nchini Afghanistan.

  • Waziri: Mafanikio ya mazungumzo ya Vienna yanategemea kuondolewa vikwazo vyote Iran

    Waziri: Mafanikio ya mazungumzo ya Vienna yanategemea kuondolewa vikwazo vyote Iran

    Nov 09, 2021 04:49

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kufanikiwa mazungumzo ya mjini Vienna, Austria kuhusu makubaliano ya JCPOA kutategemea na kuondolewa vikwazo vyote Iran, sambamba na kuifanya ya kawaida miamala ya kibiashara na Tehran.

  • Jumanne, tarehe 9 Novemba, 2021

    Jumanne, tarehe 9 Novemba, 2021

    Nov 08, 2021 22:54

    leo ni tarehe 3 Rabiuthani 1443 hijria swaw ana Novemba 09 mwaka 2021.

  • Ulimwengu wa Spoti, Nov 8

    Ulimwengu wa Spoti, Nov 8

    Nov 08, 2021 06:02

    Ahlan wasahlan mpenzi mwanaspoti wa RT na karibu katika dakika hizi chache za kutupia jicho baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyoshuhudiwa katika kipindi cha siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa. Nakusihi tuwe sote hadi tamati ya kipindi...Karibu....

  • Iran: Jaribio la mauaji ya Waziri Mkuu wa Iraq lililenga kuvuruga amani ya nchi hiyo

    Iran: Jaribio la mauaji ya Waziri Mkuu wa Iraq lililenga kuvuruga amani ya nchi hiyo

    Nov 07, 2021 23:14

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amelaani vikali jaribio lililofeli la mauaji dhidi ya Waziri Mkuu wa Iraq, Mustafa al-Kadhimi.

  • Kamanda Rashid: Maadui wasiujaribu uwezo wa IRGC na jeshi la Iran

    Kamanda Rashid: Maadui wasiujaribu uwezo wa IRGC na jeshi la Iran

    Nov 07, 2021 23:14

    Kamanda wa Makao Makuu ya Kamandi ya Kijeshi ya Khatamul Anbiya ya Iran amewatahadharisha maadui wa Jamhuri ya Kiislamu dhidi ya kuujaribu uwezo wa jeshi la nchi hii na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC).

  • Jumatatu tarehe 8 Novemba 2021

    Jumatatu tarehe 8 Novemba 2021

    Nov 07, 2021 23:09

    Leo ni Jumatatu tarehe Pili Rabiuthani 1443 Hijria sawa na Novemba 8 mwaka 2021.

  • Iran yatuma salamu za rambirambi Sierra Leone baada ya karibu watu 100 kufa katika mlipuko wa lori la mafuta

    Iran yatuma salamu za rambirambi Sierra Leone baada ya karibu watu 100 kufa katika mlipuko wa lori la mafuta

    Nov 07, 2021 04:20

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za rambirambi kwa wananchi na serikali ya Sierra Leone baada ya watu karibu watu 100 kuaga dunia kufuatia tukio la mlipuko wa lori la mafuta.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS