Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Ujumbe wa Hania kwa Kiongozi Muadhamu: Tunajivunia misimamo yako adhimu

    Ujumbe wa Hania kwa Kiongozi Muadhamu: Tunajivunia misimamo yako adhimu

    Feb 14, 2022 23:33

    Kiongozi wa Harakati wa Muqawama wa Kiislamu ya Palestina HAMAS amemtumia salamu na ujumbe maalumu Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu kwa mnasaba wa maadhimisho ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu na kumshukuru kwa misimamo yake ya kuwaunga mkono wananchi madhulumu wa Palestina.

  • Mazungumzo ya Vienna; anga nzuri ndani ya kivuli cha ubunifu wa Iran

    Mazungumzo ya Vienna; anga nzuri ndani ya kivuli cha ubunifu wa Iran

    Feb 13, 2022 23:41

    Awamu ya nane ya mazungumzo ya Vienna baina ya Iran na kundi la 4+1 inaendelea katika Hoteli ya Palais Coburg nchini Austria huku kukiwa na dalili nzuri za kufanyika mazungumzo katika mazingira yenye kuleta matumaini. Mazungumzo hayo yanaendelea baada ya kusimama kidogo kwa ajili ya kutoa fursa kwa timu za mazungumzo kurejea katika nchi zao kwa mashauriano.

  • Kikao cha pande mbili cha timu za mazungumzo za Iran na Russia chafanyika Vienna

    Kikao cha pande mbili cha timu za mazungumzo za Iran na Russia chafanyika Vienna

    Feb 13, 2022 08:40

    Kikao cha pande mbili cha timu za mazungumzo za Iran na Russia kimefanyika mjini Vienna Austria kwa kuhudhuriwa pia na wakuu wa timu za mazungumzo wa Iran na Russia.

  • Iran ina uwezo wa kukidhi mahitaji  ya zana za kijeshi ya nchi za eneo

    Iran ina uwezo wa kukidhi mahitaji ya zana za kijeshi ya nchi za eneo

    Feb 13, 2022 04:46

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina uwezo wa kukidhi mahitaji ya zana za kijeshi na kiulinzi ya nchi za eneo kutokana na uwezo wake mkubwa katika viwanda vya kijeshi.

  • Ebrahim Raisi: Iran bado imeshikamana na nara ya

    Ebrahim Raisi: Iran bado imeshikamana na nara ya "Si Mashariki si Magharibi"

    Feb 11, 2022 07:09

    Rais Ebrahim Raisi amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran bado imeshikamana na nara yake ya "Si Mashariki, si Magharibi" ya tangu mwaka 1979.

  • Iran: Kumalizika mazungumzo ya Vienna kunategemea kuondolewa vikwazo Tehran

    Iran: Kumalizika mazungumzo ya Vienna kunategemea kuondolewa vikwazo Tehran

    Feb 10, 2022 23:02

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema muda wa kumalizika mazungumzo ya Vienna ya kujaribu kuhuisha makubaliano ya nyuklia ya JCPOA unategemea irada ya Wamagharibi ambao ni upande wa pili wa mazungumzo hayo, kuiondolewa vikwazo haramu Tehran.

  • Raisi: Kuendelezwa sera zilizofeli za Trump ndiyo sababu hasa ya kutopiga hatua mazungumzo ya Vienna

    Raisi: Kuendelezwa sera zilizofeli za Trump ndiyo sababu hasa ya kutopiga hatua mazungumzo ya Vienna

    Feb 10, 2022 00:07

    Rais Ebrahim Raisi amesema, kuendelezwa sera zilizofeli za serikali iliyopita ya Marekani ndicho kizuizi kikuu kinachokwamisha kupiga hatua za kuridhisha mazungumzo ya Vienna.

  • Iran yazindua kombora jipya la masafa ya mbali, lenye shabaha kali la Khaibar Shekan

    Iran yazindua kombora jipya la masafa ya mbali, lenye shabaha kali la Khaibar Shekan

    Feb 09, 2022 10:06

    Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (IRGC) limezindua kombora jipya la masafa ya mbali na lenye shabaha kali la Khaibar Shekan.

  • Raisi: Makubaliano yatafikiwa iwapo Iran itaondolewa vikwazo

    Raisi: Makubaliano yatafikiwa iwapo Iran itaondolewa vikwazo

    Feb 08, 2022 04:36

    Rais Ebrahim Raisi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema iwapo Marekani italiondolea vikwazo haramu taifa la Iran, basi mazingira yatakuwa yameandaliwa kwa ajili ya kufikia makubaliano katika mazungumzo yanayonuia kufufua makubaliano ya JCPOA huko Vienna.

  • Iran: Uamuzi wa AU kuisimamishia Israel uanachama ni wa hekima, sahihi

    Iran: Uamuzi wa AU kuisimamishia Israel uanachama ni wa hekima, sahihi

    Feb 08, 2022 04:27

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imepongeza uamuzi wa Umoja wa Afrika wa kusimamisha hadhi ya uanachama mtazamaji ya utawala wa Kizayuni Israel katika jumuiya hiyo ya kibara.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS