Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran afanya mazungumzo na waziri mwenzake wa Togo

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran afanya mazungumzo na waziri mwenzake wa Togo

    Jul 21, 2021 21:57

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amefanya mazungumzo ya simu na waziri mwenzake wa Togo na nchi mbili hizi zimetilia mkazo wajibu wa kuimarishwa uhusiano wa pande mbili katika nyuga zote.

  • Sala ya Idul-Adhha yasaliwa kote nchini Iran kwa kuzingatia miongozo ya kiafya ya kujiepusha na corona

    Sala ya Idul-Adhha yasaliwa kote nchini Iran kwa kuzingatia miongozo ya kiafya ya kujiepusha na corona

    Jul 21, 2021 03:24

    Sala ya Idul-Adhha imesaliwa katika kila pembe ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo, huku waumini wakizingatia miongozo ya kiafya ya kujihadhari na maambukizi ya virusi vya corona vinavyosababisha ugonjwa wa Covid-19.

  • Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa uhusiano wa Iran na Kenya

    Rais Rouhani asisitiza kuimarishwa uhusiano wa Iran na Kenya

    Jul 20, 2021 06:41

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitia kuimarisha uhusinao baina ya nchi mbili za Iran na Kenya wakati alipopokea hati ya utambulisho kutoka kwa balozi mpya wa Kenya mjini Tehran.

  • Iran: Tuko tayari kushirikiana na Iraq katika kukabiliana na harakati za kigaidi

    Iran: Tuko tayari kushirikiana na Iraq katika kukabiliana na harakati za kigaidi

    Jul 20, 2021 02:52

    Msemaji wa Wizara ya Mashauri ya Kigeni ya Iran amesema kuwa, Tehran iko tayari kushirikiana na Iraq katika kukabiliana na hakati za kigaidi nchini humo.

  • Zarif: Marekani inaficha uhalifu wake kwa kuzitupia tuhuma nchi nyingine

    Zarif: Marekani inaficha uhalifu wake kwa kuzitupia tuhuma nchi nyingine

    Jul 16, 2021 22:40

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amejibu propaganda chafu mpya za Marekani ndhidi ya Iran na kuishauri Washington ishughulikie masuala ya ndani ya nchi hiyo badala ya kuzitupia tuhuma nchi nyingine.

  • Kujichukulia maamuzi ya upande mmoja, changamoto ya dunia nzima

    Kujichukulia maamuzi ya upande mmoja, changamoto ya dunia nzima

    Jul 14, 2021 20:47

    Tabia ya baadhi ya madola ya kujichukulia maamuzi ya upande mmoja (unilateralism) sasa imekuwa tishio katika upeo wa kimataifa, na njia ya kukabiliana na tishio hilo ni hatua shirikishi na za pamoja katika upeo wa dunia nzima na kuimarisha utamaduni wa kuchukua maamuzi shirikishi (multilateralism) hususan katika masuala ya kimataifa.

  • Zarif asisitiza:

    Zarif asisitiza: "Vikwazo vya kulemaza" vya Marekani vimefeli na kugonga mwamba

    Jul 14, 2021 08:02

    Waziri wa Mashauri wa Kigeni wa Iran amesema kuwa vikwao vya Marekani dhidi ya Iran vilivyotajwa kuwa ni vya kulemaza vimefeli na kushindwa.

  • Makamu wa Rais: Iran ndio nchi inayoongoza kisayansi na kiteknolojia katika eneo

    Makamu wa Rais: Iran ndio nchi inayoongoza kisayansi na kiteknolojia katika eneo

    Jul 08, 2021 23:11

    Makamu wa Rais anayehusika na masuala ya sayansi na teknolojia amesema, ijapokuwa Iran ilijiwekea malengo ya kuwa dola linaloongoza katika sekta za sayansi na teknolojia ifikapo mwaka 1404 hijria shamsia, lakini hivi sasa tayari imeshalifikia lengo hilo muhimu.

  • Mazungumzo baina ya Waafghani; njia pekee ya kutatua matatizo na changamoto zilizopo

    Mazungumzo baina ya Waafghani; njia pekee ya kutatua matatizo na changamoto zilizopo

    Jul 08, 2021 05:46

    Mazungumzo ya pande tatu kati ya jumbe za Afganistan na Iran yamefanyika mjini Tehran kwa madhumuni ya kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa nchi hiyo kwa kutegemea mazungumzo baina ya makundi tofauti ya nchi hiyo.

  • Iran: Israel inabeba dhima ya kutekwa wanadiplomasia wa Kiirani Lebanon

    Iran: Israel inabeba dhima ya kutekwa wanadiplomasia wa Kiirani Lebanon

    Jul 04, 2021 22:24

    Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran imesema utawala wa Kizayuni wa Israel na waungaji mkono wake ndio wanaobeba dhima ya kisiasa na kisheria kuhusu hatima ya wanadiplomasia wanne wa Kiirani waliotekwa nyara nchini Lebanon mwaka 1982.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS