-
Hamas: Uhusiano na Iran ni wa muda mrefu na unaendelea
Jul 04, 2021 22:09Mwanachama mwandamizi wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) amesema uhusiano wa harakati hiyo na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni wa muda mrefu na kusisitiza kuwa harakati hiyo pia inataka kuboresha uhusiano na Saudi Arabia na nchi zingine zote isipokuwa utawala bandia wa Israel.
-
Rais wa Uganda ataka kuimarisha uhusiano wa nchi yake na serikali mpya ya Iran
Jul 04, 2021 09:04Rais wa Uganda amemtumia ujumbe Rais mteule wa Iran, Sayyid Ebrahim Raeisi akimpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran; huku akieleza kuwa Kampala ipo tayari kuimarisha uhusiano wake na serikali ijayo ya Tehran.
-
Usafirishaji nje bidhaa za Iran waongezeka kwa asilimia 68
Jul 03, 2021 22:07Mkuu wa Taasisi ya Ustawi wa Biashara ya Iran amesema kuwa, usafirishaji nje bidhaa za Iran umeongerzka kwa asilimia 68 katika kipindi cha miezi mitatu ya mwanzoni mwa mwaka huu wa 1400 wa Hijria Shamsia ikilinganishwa na wakati kama huu katika mwaka uliopita wa Kiirani.
-
Rouhani: Marekani iwajibishwe kwa kutungua ndege ya abiria ya Iran
Jul 03, 2021 08:11Rais Hassan Rouhani wa Iran ameikosoa vikali Marekani kwa kutoomba radhi kwa kushambulia ndege ya abiria ya Jamhuri ya Kiislamu mwaka 1988 katika Ghuba ya Uajemi na kusisitiza kuwa, Washington inapaswa kubebeshwa dhima kwa kuwaunga mkono waliotenda jinai hiyo.
-
Amir Abdollahian: Israel haina nafasi katika mustakabali wa Asia Magharibi
Jul 03, 2021 03:43Hossein Amir-Abdollahian, mshauri maalumu wa Spika wa Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika masuala ya kimataifa amesema: "Utawala wa Israel hautakuwa na nafasi yoyote katika mustakabali wa eneo (la Asia Magharibi).
-
Kuhuishwa JCPOA kunategemea maamuzi magumu ya Marekani na Ulaya
Jul 02, 2021 22:15Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa amesema sasa wakati umewadia kwa Marekani na nchi tatu za Ulaya kuchukua maamuzi magumu kwa ajili ya kuanza kufungamana tena kikamilifu na mapatano ya kimataifa ya nyuklia, JCPOA.
-
Jumamosi tarehe 3 Julai 2021
Jul 02, 2021 22:12Leo ni Jumamosi tarehe 22 Dhulqaada 1442 Hijria Qamaria inayosadifiana na 12 Tir mwaka 1400 Hijria Shamsiya sawa na Julai 3 mwaka 2021 Miladia.
-
Iran: Waliovunja ahadi wanapaswa kufanya maamuzi magumu
Jul 01, 2021 03:13Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Iran katika Umoja wa Mataifa amesema wale ambao walivunja ahadi zao ndio wanaopaswa kubainisha iradi yao ya kisiasa na ndio wanaopaswa kuchukua maamuzi magumu.
-
Marais wa Malawi na Mauritania wamtumia Raeisi salamu za pongezi
Jun 30, 2021 22:56Marais wa nchi za Afrika za Malawi na Mauritania wamemtumia ujumbe Rais mteule wa Iran, Hujjatul Islam Walmuslimin Ebrahim Raeisi wakimpongeza kwa kuchaguliwa kuwa Rais mpya wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Kamanda wa Jeshi la Majini la Iran: Majeshi ajinabi yaondoke katika eneo
Jun 30, 2021 22:51Kamanda wa Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekutana na Kamanda wa Jeshi la Majini la Ufaransa katika Kikao cha Majeshi ya Majini ya nchi za Kandokando ya Bahari ya Hindi (IONS) ambacho kimefanyika katika kisiwa cha Ufaransa cha Réunion kusini mwa Bahari ya Hindi.