Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Ulimwengu wa Michezo, Juni 28

    Ulimwengu wa Michezo, Juni 28

    Jun 28, 2021 02:38

    Karibu tutupie jicho japo kwa mukhtasari baadhi ya matukio yaliyogonga vichwa vya habari kwenye ulimwengu wa michezo ndani ya siku saba zilizopita.

  • Spika wa Bunge la Iran: AEOI haitaikabidhi IAEA video za taarifa zake

    Spika wa Bunge la Iran: AEOI haitaikabidhi IAEA video za taarifa zake

    Jun 27, 2021 03:40

    Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema Shirika la Nishati ya Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (AEOI) halitaukabidhi Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki (IAEA) video zilizonakili taarifa za taasisi hiyo ya Iran, kwa kuwa muhula uliokuwa umeainishwa umemalizika, wala haujarefushwa tena.

  • Jeshi la Iran kuzindua mfumo mpya wa makombora wa 'Joshan'

    Jeshi la Iran kuzindua mfumo mpya wa makombora wa 'Joshan'

    Jun 27, 2021 02:55

    Naibu Kamanda wa Kikosi cha Ulinzi wa Anga cha Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mfumo mpya wa makombora wa Joshan utaanza kufanya kazi kabla ya kumalizika mwaka huu wa Kiirani.

  • Iran yaishauri Marekani iachane na turathi zilizofeli za Trump

    Iran yaishauri Marekani iachane na turathi zilizofeli za Trump

    Jun 26, 2021 23:09

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu ingali inaamini kuwa ni jambo linalowezekana kufikia makubaliano katika mazungumzo ya kuhuisha mapatano ya nyuklia ya JCPOA huko Vienna, iwapo utawala wa sasa wa Marekani utaamua kuweka pembeni sera na turathi zilizogonga mwamba za aliyekuwa rais wa nchi hiyo, Donald Trump.

  • Iran yakanusha madai kuwa iliomba uanachama katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Iran yakanusha madai kuwa iliomba uanachama katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa

    Jun 25, 2021 22:12

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema kuwa, Tehran haikuomba uanachama katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa na kwamba madai yoyote yanayotolewa kuhusu suala hilo hayana msingi wowote.

  • Iran yataka kuondolewa vikwazo taifa la Syria

    Iran yataka kuondolewa vikwazo taifa la Syria

    Jun 24, 2021 03:22

    Balozi na Naibu Mwakilishi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Umoja wa Mataifa ameitaka jamii ya kimataifa iandae mazingira ya kuondolewa vikwazo vya kikatili dhidi ya taifa la Syria, ambavyo vimewaathiri mno wananchi wa nchi hiyo ya Kiarabu.

  • Iran yazima jaribio la kushambuliwa shirika lake la nishati ya atomiki

    Iran yazima jaribio la kushambuliwa shirika lake la nishati ya atomiki

    Jun 23, 2021 22:36

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetibua njama za kuhujumiwa Taasisi ya Nishati ya Atomiki ya nchi hii mjini Karaj, nje kidogo ya mji mkuu Tehran.

  • Rabei: Mahudhurio ya Wairani katika uchaguzi yametoa jibu la

    Rabei: Mahudhurio ya Wairani katika uchaguzi yametoa jibu la "hapana" kwa propaganda za kususiwa zoezi hilo

    Jun 22, 2021 06:27

    Msemaji wa Serikali ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa mahudhurio ya wananchi katika zoezi la kupiga kura kwenye uchaguzi wa Rais na Mabaraza ya Miji na Vijiji wa Ijumaa iliyopita yametoa jibu la "hapana" kwa waliotoa wito wa kususiwa zoezi hilo ambao kwa hakika wanashirikiana na maadui walioliwekea vikwazo taifa la Iran.

  • Viongozi wa dunia wampongeza Raeisi kwa ushindi katika uchaguzi rais Iran

    Viongozi wa dunia wampongeza Raeisi kwa ushindi katika uchaguzi rais Iran

    Jun 20, 2021 07:19

    Viongozi mbali mbali duniani wanaendelea kumtumia salamu za pongezi Sayyid Ebrahim Raeisi kufuatia ushindi wake katika uchaguzi wa rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran uliofanyika Ijumaa.

  • Kiongozi Muadhamu: Taifa la Iran ndiye mshindi mkuu wa uchaguzi, mliochaguliwa chapeni kazi

    Kiongozi Muadhamu: Taifa la Iran ndiye mshindi mkuu wa uchaguzi, mliochaguliwa chapeni kazi

    Jun 19, 2021 09:46

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amepongeza hatua ya kujitokeza kwa wingi wananchi wa Iran katika uchaguzi mkuu wa jana Ijumaa na kusisitiza kuwa, 'washindi wakuu wa uchaguzi ni wananchi wenyewe, ambao azma yao thabiti haikuvunjwa moyo na ama janga (la Corona) au njama za kuwakatisha tamaa.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS