Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran yalaani kushambuliwa wapigakura katika nchi za nje

    Iran yalaani kushambuliwa wapigakura katika nchi za nje

    Jun 19, 2021 08:05

    Baraza Kuu la Haki za Binadamu la Iran limelaani vikali vitendo vya kushambuliwa na kuhujumiwa raia kadhaa wa Jamhuri ya Kiislamu waliojitokeza kupiga kura jana Ijumaa katika nchi kadhaa za Magharibi.

  • Matokeo ya awali yaonyesha Raeisi ameshinda urais wa Iran, wagombea wote wampongeza

    Matokeo ya awali yaonyesha Raeisi ameshinda urais wa Iran, wagombea wote wampongeza

    Jun 19, 2021 03:48

    Matokeo ya awali ya uchaguzi wa Rais na Mabaraza ya Miji na Vijiji nchni Iran yanaonyesha kuwa Seyyed Ebrahim Raeisi amepata ushindi wa kishindo katika kinyang'anyiro cha kuwania kiti cha Rais wa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Muda wa upigaji kura nchini Iran waongezwa, matokeo ya awali kutangazwa usiku huu

    Muda wa upigaji kura nchini Iran waongezwa, matokeo ya awali kutangazwa usiku huu

    Jun 18, 2021 12:27

    Mkuu wa Makao Makuu ya Uchaguzi ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Iran amesema matokeo ya awali ya uchaguzi wa rais unaofanyika kote nchini hii leo yatatolewa usiku huu.

  • Mamilioni ya Wairani washiriki katika uchaguzi wa Rais na Mabaraza ya Miji na Vijiji

    Mamilioni ya Wairani washiriki katika uchaguzi wa Rais na Mabaraza ya Miji na Vijiji

    Jun 17, 2021 23:04

    Mamilioni ya Wairani wakiongozwa na Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Ali Khamenei tangu mapema leo wameelekea kwenye masanduku ya kupigia kura kuchagua Rais wa 13 wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na wawakilishi wao katika Mabaraza ya Miji na Vijiji.

  • Uchunguzi wa maoni: Raeis anaongoza kwa kuwa na zaidi ya asilimia 68 ya kura

    Uchunguzi wa maoni: Raeis anaongoza kwa kuwa na zaidi ya asilimia 68 ya kura

    Jun 17, 2021 22:54

    Uchunguzi wa maoni wa hivi karibuni unaonyesha kuwa mgombea urais Ebrahim Raeisi utashinda kwa kupata asilimi 68.9 ya kura.

  • Usalama umeimarishwa nchini Iran kuelekea uchaguzi mkuu wa kesho

    Usalama umeimarishwa nchini Iran kuelekea uchaguzi mkuu wa kesho

    Jun 16, 2021 22:34

    Vyombo vya dola nchini Iran vimesema kuwa usalama umeimarishwa kote nchini kuelekea Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu unaofanyika kesho Ijumaa.

  • Wagombea 2 wajiondoa katika kinya'nganyiro cha urais nchini Iran

    Wagombea 2 wajiondoa katika kinya'nganyiro cha urais nchini Iran

    Jun 16, 2021 07:57

    Wagombea wawili kati ya saba wa Uchaguzi wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran unaotazamiwa kufanyika katika kipindi cha siku mbili zijazo wametangaza kujiondoa kwenye kinyang'anyiro hicho.

  • Jeshi la Majini la Iran lapata meli mbili mpya za kivita zilizoundwa nchini

    Jeshi la Majini la Iran lapata meli mbili mpya za kivita zilizoundwa nchini

    Jun 14, 2021 08:29

    Jeshi la Majini la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo limepokea meli mbili mpya za kivita ambazo zimeundwa kikamilifu hapa nchini.

  • Ulimwengu wa Michezo, Juni 16

    Ulimwengu wa Michezo, Juni 16

    Jun 14, 2021 01:35

    Hujambo mpenzi mwanaspoti natumai huna neno popote pale ulipo. Haya ni baadhi ya matukio yaliyogonga vichwa vya habari viwanjani ndani ya siku saba zilizopita.

  • Balozi: Kenya na Iran kuimarisha uhusiano wao katika uga wa TEHAMA

    Balozi: Kenya na Iran kuimarisha uhusiano wao katika uga wa TEHAMA

    Jun 13, 2021 21:55

    Balozi wa Iran nchini Kenya amesema Jamhuri ya Kiislamu iko tayari kuzipa uzoefu wake kampuni za kitaalamu za Kenya, na kuunda jukwaa la kubadilishana mawazo juu ya masuala ya teknolojia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS