-
Kuendelea siasa za uhasama za Marekani dhid ya Iran
Mar 20, 2021 04:24Ikiwa ni katika kuendeleza siasa za uhasama za Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Wizara ya Fedha ya Marekani imewatuhumu raia wengine 10 wa Iran kuwa wamekiuka vikwazo vya nchi hiyo dhidi ya Iran.
-
Iran yatoa mkono wa pole kwa Tanzania kufuatia kifo cha Rais Magufuli
Mar 20, 2021 01:14Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ametuma salamu za mkono wa pole kwa wananchi na Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufuatia kifo cha rais wa nchi hiyo John Pombe Magufuli.
-
Qalibaf: Ni lazima Marekani iondoe vikwazo vyote dhidi ya Iran
Mar 19, 2021 08:48Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) amesema: "Marekani inapaswa kuondoa vikwazo vyote ili Iran iweze kutekeleza ahadi zake katika mapatano ya nyuklia ya JCPOA."
-
Iran yaadhimisha kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa Imam Hussein (AS)
Mar 17, 2021 04:03Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeungana na ulimwengu wa Kiislamu hii leo kuadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Imam Hussein (AS), mjukuu wa Mtume wetu mtukufu Muhammad (SAW).
-
Iran yakosoa undumakuwili wa Uingereza, yataka silaha zote za nyuklia ziharibiwe
Mar 17, 2021 03:04Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekosoa vikali undumakuwili wa Uingereza; ambayo kwa upande mmoja inatoa madai yasiyo na msingi dhidi ya miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani na kwa upande mwingine, inasema kuwa inataka kuongeza akiba ya silaha zake za nyuklia.
-
IAEA yataka washiriki wa JCPOA wakumbatie fursa waliyopewa na Iran
Mar 17, 2021 03:03Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA amesema makubaliano ya nyuklia ya Iran ni 'magumu lakini yanatekelezeka' huku akizitaka pande husika za JCPOA kukumbatia muhula wa miezi mitatu ziliopewa na Jamhuri ya Kiislamu kwa ajili ya kuyanusuru mapatano hayo.
-
Iran yakanusha kufanya mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja na Marekani
Mar 17, 2021 01:00Duru za kiusalama nchini Iran zimekadhibisha madai ya Marekani kwamba kuna mazungumzo yasiyo ya moja kwa moja yanayoendelea baina ya Tehran na Washington.
-
Ulimwengu wa Spoti, Machi 15
Mar 15, 2021 03:45Hujambo mpenzi mwanaspoti wa na karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa.
-
Rouhani: Takwimu na vielezo vikuu vya uchumi zinaonyesha ushindi katika vita vya kiuchumi
Mar 14, 2021 23:44Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesisitiza kuwa, takwimu na vielezo vikuu vya uchumi zinaonyesha kupatikana ushindi katika vita vya kiuchumi.
-
National Interest: Iran ina uwezo wa kulisababishia hasara kubwa jeshi la Marekani
Mar 14, 2021 23:30Tovuti ya habari ya nchini Marekani ya National Interes imeashiria uwezo wa kiulinzi wa Iran na nafasi yake ya kijiografia na kuripoti kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ina uwezo wa kulisababishia jeshi la Marekani hasara kubwa iwapo kutajiri shambulio lolote la nchi ajinabi dhidi yake.