Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Mej. Salami: Taifa la Iran limepata ushindi katika vita vya kiuchumi

    Mej. Salami: Taifa la Iran limepata ushindi katika vita vya kiuchumi

    Mar 14, 2021 07:41

    Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesisitiza kuwa katika vita vya kiuchumi adui ameshindwa na taifa la Iran limepata ushindi.

  • Rouhani: Mpango wa kufikisha maji ya Ghuba ya Uajami hadi mashariki mwa Iran ni mradi adhimu

    Rouhani: Mpango wa kufikisha maji ya Ghuba ya Uajami hadi mashariki mwa Iran ni mradi adhimu

    Mar 14, 2021 07:37

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema mpango wa kuyahamisha maji ya Ghuba ya Uajemi na Bahari ya Oman na kuyapeleka hadi katika maeneo ya kati na mashariki mwa Iran ni mradi adhimu na wa kihistoria wenye lengo la kutela mlingano katika ustawi wa nchi.

  • Iran kuwaanika wahusika wa shambulio dhidi ya meli yake ya mizigo

    Iran kuwaanika wahusika wa shambulio dhidi ya meli yake ya mizigo

    Mar 14, 2021 04:28

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inafuatilia suala la kuwatambua watu waliohusika na shambulio la kigaidi dhidi ya meli ya mafuta ya nchi hii katika maji ya kimataifa na karibuni hivi itawaanika.

  • Kuasisiwa muungano mpya wa kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na  siasa na hatua za upande mmoja

    Kuasisiwa muungano mpya wa kimataifa kwa ajili ya kukabiliana na siasa na hatua za upande mmoja

    Mar 13, 2021 07:56

    Hatua na misimamo ya upande mmoja na kupuuzwa taasisi za kimataifa khususan Umoja wa Mataifa katika kipindi cha utawala wa Rais wa zamani wa Marekani Donald Trump vimepelekea kudhoofika umoja huo na hati ya Umoja wa Mataifa.

  • Brigedia Jenerali Qaani: Sauti ya kuvunjika mifupa ya Marekani itasikika muda wake ukifika

    Brigedia Jenerali Qaani: Sauti ya kuvunjika mifupa ya Marekani itasikika muda wake ukifika

    Mar 12, 2021 08:33

    Kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu SEPAH amesema kuwa, sauti ya kuvunjika mifupa ya Marekani itasikika muda wake ukifika.

  • Viongozi wa Sudan, Misri wataraji kufikia mapatano na Ethiopia kuhusu bwawa la nchi hiyo

    Viongozi wa Sudan, Misri wataraji kufikia mapatano na Ethiopia kuhusu bwawa la nchi hiyo

    Mar 12, 2021 04:33

    Rais Abdel-Fattah al-Sisi wa Misri amefanya mazungumzo na waziri mkuu wa Sudan Abdalla Hamdok mjini Cairo, na kukubaliana kuimarisha ushirikiano kuhusu mgogoro wa bwawa kubwa la Ethiopia linalojulikana kama Grand Renaissance Dam (GERD) katika Mto Nile.

  • Taarifa dhidi ya Iran katika Baraza la Haki za Binadamu; kutumiwa vibaya taasisi ya kimataifa

    Taarifa dhidi ya Iran katika Baraza la Haki za Binadamu; kutumiwa vibaya taasisi ya kimataifa

    Mar 11, 2021 23:14

    Kwa muda wa zaidi ya miaka 10 sasa kile kinachotajwa kuwa ni 'mazungumzo jumuishi' kimebadilika na kuwa jukwaa la kueneza madai yasiyo na msingi dhidi ya Iran katika fremu ya haki za binadamu. Jukwaa hili na mielekeo yake yote ya upande mmoja lina malengo ambayo tayari yameainishwa na hayahusiani hata kidogo na huduma kwa haki za binadamu.

  • Iran yapokea shehena za chanjo za Corona kutoka India na Cuba

    Iran yapokea shehena za chanjo za Corona kutoka India na Cuba

    Mar 11, 2021 23:12

    Shehena ya kwanza ya makumi ya maelfu ya dozi za chanjo ya kubaliana na ugonjwa wa Covid-19 kutoka India iliwasili hapa nchini Iran jana Alkhamisi.

  • Iran: Hakuna mazungumo yanayohitajika kwa Marekani kurejea katika JCPOA

    Iran: Hakuna mazungumo yanayohitajika kwa Marekani kurejea katika JCPOA

    Mar 11, 2021 23:11

    Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran anayehusika na masuala ya kisiasa amesema mpango wa Marekani wa kutaka kurejea katika makubaliano ya nyuklia ya JCPOA hauhitaji mazungumzo yoyote kwani Washington haikufanya mazungumzo wala mashauriano na yeyote wakati wa kujiondoa katika mapatano hayo ya kimataifa.

  • Rouhani: Wazayuni wanataka vikwazo dhidi ya Iran viendelee

    Rouhani: Wazayuni wanataka vikwazo dhidi ya Iran viendelee

    Mar 10, 2021 08:37

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, Wazayuni na watawala wasiotaka mageuzi katika eneo wanataka vikwazo vya kidhalimu dhidi ya watu wa Iran viendelee.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS