Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran yaipongeza Qatar kwa kufanya juhudi za kutatua migogoro ya eneo hili kwa mazungumzo

    Iran yaipongeza Qatar kwa kufanya juhudi za kutatua migogoro ya eneo hili kwa mazungumzo

    Feb 12, 2021 04:13

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mjini Doha, Qatar ameipongeza nchi hiyo kwa kufanya juhudi za kuanzisha mchakato wa kieneo wa kutatua migogoro ya eneo hili.

  • Rouhani: Iran haijaona nia njema ya utawala mpya wa Marekani

    Rouhani: Iran haijaona nia njema ya utawala mpya wa Marekani

    Feb 11, 2021 08:59

    Rais Hassan Rouhani wa Iran amesema taifa hili halijashuhudia nia njema wala mabadiliko ya kivitendo ya sera za Marekani mkabala wa Jamhuri ya Kiislamu.

  • Malengo ya madai ya kukaririwa ya viongozi wa Saudi Arabia dhidi ya Iran

    Malengo ya madai ya kukaririwa ya viongozi wa Saudi Arabia dhidi ya Iran

    Feb 11, 2021 07:57

    Faisal bin Farhan al-Saud, Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Saudi Arabia amedai kuwa, miradi ya nyuklia ya Iran yenye malengo ya amani na uwezo wa kiulinzi wa taifa hili ni tishio kwa amani na usalama wa eneo la Asia Magharibi.

  • Luteka ya 'Mtume Mtukufu 16' yaanza kusini mwa Iran

    Luteka ya 'Mtume Mtukufu 16' yaanza kusini mwa Iran

    Feb 10, 2021 20:05

    Kikosi cha Nchi Kavu cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu IRGC kinatazamiwa kuanza mazoezi ya kijeshi yaliyopewa jina la Mtume Mtukufu 16 katika maeneo ya kusini magharibi mwa Iran.

  • Qalibaf: Iran na Russia zinatafakari kuhusu ushirikiano wa miaka 20 na 50 ijayo

    Qalibaf: Iran na Russia zinatafakari kuhusu ushirikiano wa miaka 20 na 50 ijayo

    Feb 10, 2021 09:43

    Spika wa Majlisi ya Ushauri ya Kiislamu, Bunge la Iran, amesema Iran na Russia zinatafakari kuhusu ushirikiano wa kipindi cha miaka 20 na 50 ijayo.

  • AEIO yasema Iran itazindua miradi 50 ya nyuklia karibuni

    AEIO yasema Iran itazindua miradi 50 ya nyuklia karibuni

    Feb 09, 2021 23:00

    Mkuu wa Taasisi ya Atomiki ya Iran (AEOI) amesema Jamhuri ya Kiislamu itazindua miradi 50 ya mafanikio ya sekta ya nyuklia ya taifa hili karibuni hivi.

  • Mihimili mikuu minne ya mazungumzo ya mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen na viongozi wa Iran mjini Tehran

    Mihimili mikuu minne ya mazungumzo ya mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika masuala ya Yemen na viongozi wa Iran mjini Tehran

    Feb 09, 2021 10:30

    Martin Griffiths, mjumbe wa Umoja wa Mataifa katika Masuala ya Yemen akiwa katika safari yake hapa mjini Tehran amekutana na kufanya mazungumzo na maafisa wa ngazi za juu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na kujadiliana nao kuhusiana na vita dhidi ya Yemen.

  • Rais Rouhani azindua mpango wa kitaifa wa chanjo ya corona Iran

    Rais Rouhani azindua mpango wa kitaifa wa chanjo ya corona Iran

    Feb 09, 2021 07:42

    Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran leo amezindua mpango wa kitaifa wa chanjo ya corona ambapo amempongeza Waziri wa Afya Daktari Saeed Namaki kwa kumdunga mwanae wa kiume chanjo ya kwanza kabisa.

  • Iran na Umoja wa Mataifa zajadili mgogoro wa Yemen mjini Tehran

    Iran na Umoja wa Mataifa zajadili mgogoro wa Yemen mjini Tehran

    Feb 08, 2021 08:56

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu inaunga mkono kikamilifu jitihada za Umoja wa Mataifa za kujaribu kuupatia ufumbuzi mgogoro wa Yemen.

  • Ulimwengu wa Spoti, Feb 8

    Ulimwengu wa Spoti, Feb 8

    Feb 08, 2021 05:45

    Ahlan wasahlan wamarhaba ashiki na mfuatiliaji wa matukio ya spoti. Karibu tutupie jicho baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyoshuhudiwa ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbalimbali za dunia.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS