-
Iran yazindua kizazi kipya cha mfumo wa rada wa Qadir
Oct 07, 2020 01:17Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua kizazi kipya cha mfumo wa rada wa ulinzi wa anga uliopewa jina la Qadir ambao ni wa masafa marefu na unaotumia mfumo wa 3D.
-
Taarifa ya mataifa 26 ya dunia ya kulaani vikwazo vya upande mmoja vya Marekani
Oct 06, 2020 23:41Marekani ikiwa na lengo la kusukuma mbele gurudumu la siasa zake za kigeni inashikilia rekodi ya kuwa dola lililoyawekea mataifa mengine ya dunia vikwazo vya upande mmoja.
-
Ulimwengu wa Michezo, Oktoba 5
Oct 05, 2020 05:47Ufuatao ni mkusanyiko wa baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita kitaifa na kimataifa....
-
Balozi: Russia iko tayari kuiuzia Iran ngao ya makobora ya S-400
Oct 04, 2020 04:03Balozi wa Russia mjini Tehran amesema nchi yake iko tayari kuiuzia Jamhuri ya Kiislamu ya Iran mfumo wa ulinzi wa makobora wa S-400 mara tu vikwazo vya silaha vya Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa dhidi ya nchi hii vitakapofikia tamati Oktoba 18 mwaka huu.
-
Jumapili, tarehe 4 Oktoba, 2020
Oct 03, 2020 23:13Leo ni Jumapili tarehe 16 Safar 1442 Hijria sawa na Oktoba 4 mwaka 2020.
-
Iran yaionya Marekani dhidi ya mahesabu ghalati
Oct 02, 2020 08:26Msemaji wa Wizara ya Mambo ya nchi za Nje ya Iran amesema kuwa mahesabu yasiyo sahihi ya Marekani ndiyo sababu ya kushindwa kwake mbele ya taifa la Iran tangu baada ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu hapa nchini.
-
Russia yachukua uwenyekiti wa mzunguko wa Baraza la Usalama la UN, yasema Iran haitawekewa vikwazo
Oct 02, 2020 08:01Baada ya Marekani kushindwa kurefusha zaidi vikwazo vya silaha dhidi ya Iran katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa, utawala wa Trump umedai ni mwanachama wa mapatano ya nyuklia ya JCPOA na kwamba eti Iran imekiuka madai hayo na hivyo vikwazo vya kimataifa dhidi ya Iran vinarejea kiotomatiki. Msimamo huo wa Marekani umepingwa kikamilifu na madola yote makubwa duniani hasa Russia.
-
Muelekeo chanya wa Grossi kuhusu maelewano ya Iran na Wakala wa Kimataifa ya Nishati ya Atomiki
Oct 01, 2020 07:21Baada ya kutangazwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA iliyofikia na kundi la 5+1 Juni 2015, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imekuwa muda wote ikitoa mashirikiano makubwa kwa Wakala wa Kimataifa wa Nishati ya Atomiki IAEA ili kuthibitisha kuwa shughuli zake za nyuklia zinaendeshwa kwa malengo ya amani sambamba na kutekeleza ahadi na majukumu yake katika JCPOA.
-
Iran: Kuanzisha uhusiano na Israel kunaupa hisia ya kinga utawala huo
Oct 01, 2020 04:16Balozi na Mwakilishi wa Kudumu wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa mjini Geneva amelaani hatua ya kuanzisha uhusiano wa kawaida na utawala haramu wa Israel na kusisitiza kuwa, mienendo hiyo haitakuwa na matokeo mengine ghairi ya kuufanya utawala huo wa Kizayuni ujihisi umepata kinga zaidi ya kutowajibishwa.
-
Imarati na Israel; upotoshaji mambo katika kivuli cha kuanzisha migogoro Asia Magharibi
Oct 01, 2020 03:56Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) na Waziri Mkuu wa utawala haramu wa Israel wamelitumia jukwaa la kila mwaka la Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa kwa ajili ya kutoa tuhuma za kukakariwa na zisizo na jipya dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.