-
Iran yazindua mfumo mpya wa kuvurumisha makombora ya balestiki
Nov 04, 2020 08:39Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran IRGC limezindua mfumo erevu na wa kiotomatiki wa kuvurumisha makombora kadhaa ya balestiki ya masafa marefu kwa wakati mmoja.
-
Rouhani: Iran haijali ni nani ataibuka mshindi katika uchaguzi wa Marekani
Nov 04, 2020 08:06Rais Hassan Rouhani wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili halijalishwi wala kushughulishwa na ni nani atakayeibuka mshindi katika uchaguzi wa rais wa Marekani uliofanyika jana Jumanne.
-
Wahadhiri wa vyuo vikuu wa Iran walaani kuvunjiwa heshima Mtume (saw)
Nov 04, 2020 03:35Wahadhiri wa vyuo vikuu nchini Iran wametoa taarifa wakilaani vikali hatua ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa ya kumvujia heshima Mtume Muhammad (saw).
-
Jeshi la Iran lasema halitaruhusu adui atekeleze hujuma
Nov 03, 2020 20:47Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limetoa taarifa na kusema liko tayari kukabiliana na tishio lolote lile dhidi ya taifa la Iran na mfumo wa Kiislamu.
-
Jahangiri: Kipaumbele cha nchi za Kiislamu ni kutetea thamani za Mtume Muhammad SAW
Nov 03, 2020 04:24Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kutetea thamani za Mtume Muhammad SAW kunapaswa kuwa kipaumbele cha kwanza katika nchi za Kiislamu duniani.
-
Waislamu kote duniani wanaadhimisha kumbukumbu ya kuzaliwa Mtume SAW na Imam Swadiq AS
Nov 02, 2020 23:42Waislamu leo wanaadhimisha maulidi na kumbukumbu ya kuzaliwa mbora wa viumbe Mtume Muhammad SAW pamoja na mjukuu wake Imam Ja'afar bin Muhammad al-Swadiq AS.
-
'Trump ni gaidi nambari moja duniani'
Oct 31, 2020 23:18Mshauri wa sera za kigeni wa Spika wa Bunge la Iran ameashiria mauaji ya Luteni Jenerali Qassem Soleimani kamanda wa Kikosi cha Quds cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) ambaye aliuawa kigaidi kufuatia amri ya Rais Donald Trump wa Marekani na kusema, Trump ni gaidi nambari moja duniani.
-
Watu wengine 365 wafariki dunia kwa virusi vya corona nchini Iran
Oct 30, 2020 13:07Msemaji wa Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Utabibu ya Iran amesema, watu wengine zaidi elfu nane wameambukizwa virusi vya corona na wengine 365 wamefariki dunia katika muda wa saa 24 zilizopita.
-
Kufichuliwa hatua za upendeleo za Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa wa Marekani kwa maslahi ya kampeni za uchaguzi za Trump
Oct 30, 2020 09:09Mkurugenzi wa Usalama wa Taifa wa Marekani John Ratcliffe amezungumzia tuhuma za Iran kuingilia uchaguzi wa mwaka huu wa Marekani ambazo sasa imebainika kuwa zimetolewa ili kuimarisha kampeni za uchaguzi za Donald Trump.
-
Iran kuvigeuza vikwazo vipya dhidi yake kuwa waraka usio na itibari
Oct 29, 2020 04:42Mkuu wa Ofisi ya Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili litavigeuza vikwazo vipya lilivyowekewa na Marekani kuwa waraka usio na itibari.