Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Alkhamisi, tarehe 9 Aprili, 2020

    Alkhamisi, tarehe 9 Aprili, 2020

    Apr 08, 2020 22:07

    Leo ni Alkhamisi tarehe 15 Shaabani 1441 Hijria sawa na Aprili 9 mwaka 2020.

  • Mgogoro wa corona umedhihirisha kuwa US haiwezi hata kujiongoza yenyewe

    Mgogoro wa corona umedhihirisha kuwa US haiwezi hata kujiongoza yenyewe

    Apr 07, 2020 03:04

    Msaidizi Maalumu wa Spika wa Majilisi ya Ushauri ya Kiislamu (Bunge la Iran) katika masuala ya kimataifa amesema mgogoro wa ugonjwa wa Covid-19 (corona) umeudhihirishia ulimwengu kuwa, utawala wa kibeberu wa Marekani ambao unajiona kuwa kiongozi na mtawala wa dunia umeshindwa hata kujiongoza wenyewe.

  • Kukabiliana na corona; kubadilisha tishio kuwa fursa

    Kukabiliana na corona; kubadilisha tishio kuwa fursa

    Apr 06, 2020 07:31

    'Nina matumaini kuhusu mafanikio ya Iran katika kukabiliana na virusi vya corona." Hiyo ni kauli ya Daktari Richard Brennan, mkuu wa ujumbe wa Shirika la Afya Duniani (WHO) uliotembelea Iran mwezi uliopita. Akizungumza na waandishi habari mjini Tehran aliongeza kuwa: "Tunawapongeza na tunajivunia wafanyakazi wa sekta ya tiba Iran kutokana na uchapakazi wao."

  • Rais Rouhani: Kazi zenye hatari ndogo ya maambukizi zinaweza kuanza Iran sambamba na kulinda sheria za afya

    Rais Rouhani: Kazi zenye hatari ndogo ya maambukizi zinaweza kuanza Iran sambamba na kulinda sheria za afya

    Apr 05, 2020 07:18

    Rais Hassan Rouhani was Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kazi za kiuchumi na za kati zisizo na hatari ya maambukizi ya virusi vya corona zinaweza kuanza tena hapa nchini tarehe 11 mwezi huu wa Aprili sambamba na kuchunga na kuheshumu protokali zote za afya.

  • Madai ya uongo ya Trump kuwa eti Iran haijaomba kupunguziwa vikwazo

    Madai ya uongo ya Trump kuwa eti Iran haijaomba kupunguziwa vikwazo

    Apr 03, 2020 23:43

    Baada ya kujitoa bila ya sababu katika mapatano ya kimataifa ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei 2018 serikali ya Donald Trump huko Marekani iliirejeshea Iran vikwazo vyote vilivyokuwa vimeondolewa baada ya kufikiwa makubaliano hayo, bali iiiwekea Tehran vikwazo vya kiwango cha juu kabisa kama anavyojitapa mara kwa mara Donald Trump.

  • Uafriti wa Trump wa kuanzisha chokochoko na mivutano katika eneo kwa kuzusha tuhuma dhidi ya Iran

    Uafriti wa Trump wa kuanzisha chokochoko na mivutano katika eneo kwa kuzusha tuhuma dhidi ya Iran

    Apr 03, 2020 02:27

    Licha ya hali ya dharura na isiyo ya kawaida iliyopo kimataifa kutokana na mripuko wa janga la corona lililoikumba dunia nzima, Marekani ingali inaendelea kufuata muelekeo wa utumizi wa nguvu za kijeshi na kushikilia kuchukua hatua za kijeshi katika siasa zake za nje.

  • Trump akariri tena ombi lake la kufanya mazungumzo na Iran

    Trump akariri tena ombi lake la kufanya mazungumzo na Iran

    Apr 02, 2020 10:23

    Rais Donald Trump wa Marekani amedai kwamba, 'Marekani haitaki uadui na Iran na kwamba italazimika kufanya nayo mazungumzo.'

  • Marekani yakiri kuiwekea Iran vikwazo vya dawa

    Marekani yakiri kuiwekea Iran vikwazo vya dawa

    Mar 31, 2020 03:49

    Kuendelea vikwazo vya kidhalimu vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu hata katika mazingira haya magumu ya kuenea virusi vya corona na kuwekwa vizingiti vya kila aina katika njia ya kudhaminiwa vifaa vya afya na matibabu kwa ajili ya kukabiliana na virusi hivyo, kumewafanya wengi wakiri kuwa 'mashinikizo ya juu zaidi' ya Marekani dhidi ya Iran yanajumuisha hata mfumo wa afya na tiba wa nchi hii.

  • Sisitizo la Marekani kuendeleza operesheni za kijeshi nje ya nchi licha ya maambukizi ya Corona

    Sisitizo la Marekani kuendeleza operesheni za kijeshi nje ya nchi licha ya maambukizi ya Corona

    Mar 29, 2020 21:59

    Kuenea kusiko kwa kawaida kwa virusi angamizi vya Corona duniani, kumezifanya nchi nyingi za dunia kukumbwa na hali ngumu na matatizo.

  • Iran yatoa yuro bilioni 21 kusaidia familia na biashara zilizoathirika na Corona nchini

    Iran yatoa yuro bilioni 21 kusaidia familia na biashara zilizoathirika na Corona nchini

    Mar 29, 2020 03:41

    Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imetenga yuro bilioni 21.3 zitakazotumika kuzisaidia familia na biashara zilizoathirika na mlipuko wa ugonjwa wa Covid-19 unaosababishwa na virusi vya Corona hapa nchini.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS