-
Juamanne, Machi 3, 2020
Mar 02, 2020 22:51Leo ni Jumanne tarehe 8 Rajab mwaka 1441 Hijria sawa na tarehe 3 Machi mwaka 2020.
-
Waathirika 291 wa virusi vya Corona wapona nchini Iran
Mar 02, 2020 10:13Wizara ya Afya, Tiba na Mafunzo ya Udaktari nchini Iran imetangaza kwamba hadi sasa watu 291 waliokuwa wameathirika na virusi vya Corona wamepona na kuruhusiwa kutoka hospitalini.
-
Njama za Trump za kuficha sera za Marekani dhidi ya Iran
Mar 02, 2020 07:29Baada ya utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani kujiondoa katika mapatano ya nyuklia ya Iran maarufu kama JCPOA mwezi Mei 2018, ilianzisha sera za mashinikizo ya kiwango cha juu kabisa dhidi ya Iran; na katika fremu hiyo ikaiwekea Iran vikwazo vikali kabisa hata katika uga wa masuala ya kibinadamu. Pamoja na kuwepo sera hiyo ya White House, hivi sasa rais afriti wa Marekani anajifanya mtu mwenye kuwahurumia wananchi wa Iran na kudai eti yuko tayari kuisaidia Iran.
-
Ulimwengu wa Spoti, Machi 2
Mar 02, 2020 03:02Hujambo mpenzi msikilizaji na karibu katika dakika hizi chache za kutupia jicho baadhi ya matukio muhimu ya spoti yaliyojiri kitaifa na kimataifa ndani ya siku saba zilizopita.....
-
Jumapili, tarehe Mosi Machi, 2020
Feb 29, 2020 23:06Leo ni Jumapili tarehe 6 Rajab, 1441 Hijiria, sawa na tarehe Mosi machi 2020.
-
Corona na jitihada za madaktari walioko mstari wa mbele wa kupambana na virusi visivyojali mipaka
Feb 28, 2020 08:55Wimbi la kuenea virusi hatari vya corona duniani sasa hivi limekuwa ndiyo daghadagha na wasiwasi mkubwa wa nchi zote huku jamii ya madaktari nchini Iran ikiwa mstari wa mbele kwa kufanya kazi usiku na mchana katika kupambana na virusi hivyo vinavyoenea kwa kasi.
-
Waziri wa Afya: Mapambano ya Iran dhidi ya virusi vya Corona yatawashangaza walimwengu
Feb 28, 2020 08:30Waziri wa Afya wa Iran amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu itaushangaza ulimwengu kutokana na mbinu yake ya kupambana na maambukizi ya virusi vya Corona.
-
Hatua ya kukurupuka ya Marekani ya kumuwekea vikwazo Katibu Mkuu wa Kataeb Hizbullah ya Iraq
Feb 28, 2020 02:05Marekani imetuma idadi kubwa ya wanajeshi wake huko Iraq tangu mwaka 2014 kwa kisingizio cha kupambana na kundi la Daesh. Katika hatua yake ya kukurupuka Marekani imeliorodhesha jina la kiongozi wa mojawapo ya makundi muhimu ya taasisi ya Kataeb Hizbullah ya Iraq licha ya nafasi muhimu ya kundi la kujitolea la wananchi la al Hashd al Shaabi katika kutoa pigo na kuliangamiza kundi la kigaidi la Daesh huko Iraq.
-
Hemmati: Iran ina uhusiano wa kimataifa wa kibenki usioweza kuwekewa vikwazo
Feb 27, 2020 09:37Gavana wa Benki Kuu ya Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu imebuni uhusiano wa kibenki wa kimataifa usioweza kuwekewa vikwazo na wala usiohusiana na jopokazi la eti kupambana na utakatishaji wa fedha chafu linalojulikana kwa kimombo kama Financial Action Task Force (FATF).
-
Russia: tutapinga kurejeshwa vikwazo vya Umoja wa Mataifa dhidi ya Iran
Feb 26, 2020 23:24Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Russia amevitaja vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran kuwa kinyume cha sheria na kueleza kuwa Moscow itapinga juhudi zozote kwa lengo la kuirejeshea Tehran vikwazo vya Umoja wa Mataifa.