Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran: US, Israel ziliwapa silaha, fedha wafanya ghasia nchini

    Iran: US, Israel ziliwapa silaha, fedha wafanya ghasia nchini

    Jan 15, 2026 23:24

    Waziri wa Ulinzi wa Iran amesema Marekani na Israel zilipanga na kufanikisha ghasia zilizoshuhudiwa hapa nchini hivi karibuni, zikielekeza silaha na pesa taslimu kuchochea vurugu na uvunjifu wa utulivu, ikiwa ni sehemu ya mpango mpana wa kuibua mgawanyiko na mifarakano katika taifa hili.

  • ANC yaonya kuhusu njama za 'mapinduzi' nchini Iran

    ANC yaonya kuhusu njama za 'mapinduzi' nchini Iran

    Jan 15, 2026 22:43

    Mkuu wa vuguvugu la Mshikamano wa Kimataifa wa chama tawala cha African National Congress (ANC) katika jimbo la Western Cape nchini Afrika Kusini ameonya kwamba, machafuko ya hivi karibuni nchini Iran yana mkono wa Marekani na washirika wake wa Kizayuni.

  • Nini lengo la mchezo wa takwimu wa Trump kuhusu waliofariki katika ghasia za Iran?

    Nini lengo la mchezo wa takwimu wa Trump kuhusu waliofariki katika ghasia za Iran?

    Jan 15, 2026 07:04

    Ikiwa ni katika fremu ya uingiliaji wake katika masuala ya ndani ya Iran, Rais Donald Trump wa Marekani amezindua sarakasi mpya ya takwimu kuhusu Iran.

  • Araghchi amwandikia barua Katibu Mkuu wa UN kuhusiana na machafuko na jinai zilizofanywa na magaidi mamluki nchini Iran

    Araghchi amwandikia barua Katibu Mkuu wa UN kuhusiana na machafuko na jinai zilizofanywa na magaidi mamluki nchini Iran

    Jan 15, 2026 06:58

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemwandikia barua Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa kuhusiana na jinai zilizofanywa na magaidi mamluki katika machafuko na uvurugaji wa amani uliofanywa hivi karibuni hapa nchini.

  • Russia: Badala ya Ulaya kuzungumzia hali ya Iran ifuatilie kuiokoa Greenland

    Russia: Badala ya Ulaya kuzungumzia hali ya Iran ifuatilie kuiokoa Greenland

    Jan 15, 2026 06:57

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Russia, Maria Zakharova amesema, badala ya viongozi wa Umoja wa Ulaya, EU kutoa matamshi ya kuzungumzia hali ya Iran, ingekuwa bora kama wanegejikita kushughulikia kadhia ya Greenland, ambayo sasa hivi Marekani inafanya juu chini kuitia mkononi.

  • Kwa nini Pakistan imekosoa msimamo wa Trump kuhusu machafuko nchini Iran?

    Kwa nini Pakistan imekosoa msimamo wa Trump kuhusu machafuko nchini Iran?

    Jan 14, 2026 03:51

    Pakistan imekosoa msimamo wa Rais Donald Trump wa Marekani kuhusu machafuko yanayochochewa na nchi za Magharibi nchini Iran.

  • Larijani: Trump ndiye 'muuaji mkubwa zaidi' wa Wairani

    Larijani: Trump ndiye 'muuaji mkubwa zaidi' wa Wairani

    Jan 14, 2026 03:16

    Katibu wa Baraza Kuu la Usalama wa Taifa la Iran (SNSC) amelaani vitisho vya Rais wa Marekani Donald Trump dhidi ya taifa hili, akimtaja mwanasiasa huyo kama mmoja wa wauaji wakubwa zaidi wa Wairani.

  • Araghchi atoa onyo baada ya vitisho vya Trump: Iran iko tayari kwa vita ikiwa Marekani inataka 'kuvijaribu'

    Araghchi atoa onyo baada ya vitisho vya Trump: Iran iko tayari kwa vita ikiwa Marekani inataka 'kuvijaribu'

    Jan 13, 2026 07:01

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Sayyid Abbas Araghchi ameionya Marekani kwamba, Tehran "iko tayari kwa machaguo yote" baada ya Rais wa Marekani Donald Trump kutishia kuchukua hatua za kijeshi sambamba na Iran kukabiliwa na machafuko hivi karibuni yaliyochochewa na kuungwa mkono na maadui wa nje ya nchi.

  • China: Tunapinga vitisho vya ushuru vilivyotolewa na Trump dhidi ya washirika wa kibiashara wa Iran

    China: Tunapinga vitisho vya ushuru vilivyotolewa na Trump dhidi ya washirika wa kibiashara wa Iran

    Jan 13, 2026 07:00

    Serikali ya China imetangaza kuwa inapinga vitisho vya ushuru vilivyotolewa na Rais wa Marekani dhidi ya nchi zinazoshirikiana kibiashara na Iran.

  • Wataalamu: Uingiliaji wa kigeni wanaoutaka Wairani ni wa kusaidia kuondolewa vikwazo vya Marekani

    Wataalamu: Uingiliaji wa kigeni wanaoutaka Wairani ni wa kusaidia kuondolewa vikwazo vya Marekani

    Jan 13, 2026 06:59

    Maandamano yaliyoikumba Iran yamechochewa na mbinyo mkubwa wa kiuchumi; na kutokana na Wairani kuona jinai zilizofanywa na Israel na kile ambacho Marekani imekifanya nchini Venezuela, madai hasa ya wananchi hao si kutaka ufanyike uingiliaji wa kijeshi wa madola wageni dhidi ya nchi yao. Hayo yameelezwa na wataalamu kadhaa wa kikanda.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS