-
Mazungumzo ya viongozi wa Ufaransa na Marekani kuhusu Iran na JCPOA
Aug 25, 2019 08:21Mivutano iliyopo baina ya Marekani na nchi za Ulaya zilizomo katika kundi la 4+1 kuhusiana na jinsi ya kuamiliana na Iran na kadhia nzima ya mapatano ya nyuklia ya JCPOA bado ni moja ya mivutano mikubwa ya pande hizo mbili. Katika wiki za hivi karibuni, Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa alifanya mazungumzo mbalimbali na marais wa Iran na Marekani na kuja na mapendekezo ya kupunguza wasiwasi uliopo.
-
Jumapili, tarehe 25 ,Agosti 2019
Aug 24, 2019 22:04Leo ni Jumapili tarehe 23 Dhulhija 1440 Hijria sawa na Agosti 25 mwaka 2019
-
Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran akutana na Rais wa Ufaransa
Aug 23, 2019 22:28Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran Ijumaa amekutana na kufanya mazungumzo na Rais wa Ufaransa mjini Paris.
-
Sisitizo la Mawaziri wa Mashauri ya Kigeni wa Russia na Ujerumani juu ya kulindwa makubaliano ya nyuklia ya JCPOA
Aug 23, 2019 02:50Baada ya Marekani kujiondoa kinyamela katika makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) Mei mwaka jana, kinyume na matarajio ya Washington ambayo ilitaka nchi zingine wanachama wa kundi la 5+1 nazo zichukue uamuzi kama wake, mataifa hayo ikiwemo Russia na Ujerumani yalisisitiza juu ya kuendelea kubakishwa makubaliano hayo ya kimataifa yaliyokuwa yamepata baraka kamili za Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa.
-
Tishio jingine la Donald Trump la kuwahamishia magaidi wa Daesh katika nchi za Ulaya
Aug 22, 2019 21:55Nafasi ya Marekani na washirika wake wa Magharibi na wa Kiarabu katika kuanzisha na kueneza harakati za makundi ya kigaidi na kitakfiri likiwemo la Daesh si ya kukanushika hata kidogo.
-
Meja Jenerali Salami: Siasa za maadui ni kuwagombanisha wananchi na mfumo wa Iran
Aug 22, 2019 07:42Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu amekitaja kitendo cha kuwagombanisha wananchi na mfumo wa utawala kuwa ni saisa kuu zinazotekelezwa na maaduu katika kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran.
-
Zarif: Nchi za Ulaya bado hazijatekeleza ahadi zao katika mapatano ya JCPOA
Aug 21, 2019 20:42Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ameashiria kufungamna Iran na mapatano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezwaji (JCPOA) na kusema: "Baada ya Mareakni kujiondoa katika mapatano haya, nchi za Ulaya hazijatekeleza ahadi zao."
-
Hamas yakosoa nchi za Kiarabu kwa kuzembea kuhusu kadhia ya Msikiti wa Al Aqsa
Aug 21, 2019 20:41Mjumbe wa Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) mjini Tehran amezikosoa nchi za Kiarabu kwa kuzembea kuhusu kadhia ya kuukomboa Msikiti wa Al Aqsa ulio katika mji wa Quds (Jerusalem) ambao unakaliwa kwa mabavu na utawala haramu wa Israel.
-
UN: Waislamu wa Rohingya walioko Bangladesh hawataki kurejea Myanmar
Aug 20, 2019 22:10Maafisa wa Shirika la Kuhudumia Wakimbizi la Umoja wa Mataifa (UNHCR) na wale wa serikali ya Bangladesh wametangaza kuwa, Waislamu wa jamii ya Rohingya waliokimbilia nchini Bangladesh hawataki kurejea katika nchi yao ya Myanmar.
-
Jumatatu tarehe 19 Agosti 2019
Aug 18, 2019 22:12Leo ni Jumatatu tarehe 17 Dhulhija 1440 Hijria sawa na Agosti 19 mwaka 2019.