-
Ulimwengu wa Michezo, Juni 17
Jun 17, 2019 04:56Mkusanyiko wa matukio ya spoti kitaifa na kimataifa ndani ya siku saba zilizopita...
-
Iran yalaani kitendo cha magaidi wa MKO kufunga lango la ubalozi wake London
Jun 17, 2019 03:18Wafuasi wa kundi la kigaidi la Munafiqina (MKO) wameendelea kufunga lango pekee la kuingia katika ubalozi wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika mji mkuu wa Uingereza, London.
-
Njia za utatuzi za Rais Vladmir Putin kwa ajili ya mapatano ya JCPOA
Jun 17, 2019 00:04Hatua ya Marekani ya kujiondoa kwenye mapatano ya nyuklia ya JCPOA mwezi Mei mwaka jana na pia ukiukaji wa ahadi wa mara kwa mara wa Umoja wa Ulaya ambao umeshindwa kulinda mapatano hayo kupitia kuanzisha mfumo utakaosaidia kupunguza athari hasi za vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran, ni mambo yaliyoyaweka katika hali mbaya mapatano hayo.
-
'Muamala wa Karne' umetayarishwa na Marekani kwa maslahi ya Wazayuni
Jun 16, 2019 22:56Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Harakati ya Mapambano ya Kiislamu ya Palestina (Hamas) zimesema utawala wa Rais Donald Trump wa Marekani unalenga kuangamiza taifa la Palestina kupitia 'Muamala wa Karne' ulio kwa maslahi ya utawala wa Kizayuni katika eneo la Asia Magharibi.
-
Marais wa Iran na Uturuki wakosoa sera za vikwazo na mashinikizo
Jun 16, 2019 03:14Rais Hassan Rouhani amesema Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na Uturuki zinapinga vikali sera za vikwazo, mashinikizo na uchukuaji maamuzi ya upande mmoja kwenye uhusiano wa kimataifa.
-
Moscow yailaumu Marekani kwa kuibua mivutano Asia magharibi
Jun 15, 2019 21:46Marekani katika kipindi hiki cha utawala wa Rais Donald Trump imeanzisha jitihada za kuasisi muungano na kuimarisha uwepo wake katika eneo la Asia magharibi hususan katika Ghuba ya Uajemi kwa kisingizio cha eti kuwepo vitisho kutoka kwa Iran.
-
Guterres ataka uchunguzi huru wa kushambuliwa meli za mafuta Bahari ya Oman
Jun 15, 2019 03:45Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa ametoa mwito wa kufanyika uchunguzi huru wa tukio la kushabuliwa meli za mafuta katika Bahari ya Oman.
-
Gazeti la Al-Quds Al-Arabi: Saudia na Israel zinachochea migogoro katika eneo
Jun 15, 2019 00:11Gazeti la Al-Quds Al-Arabi linalochapishwa London, Uingereza limeandika kuwa, baadhi ya pande katika eneo la Asia Magharibi hususan Saudi Arabia na utawala haramu wa Israel, zinahusika kushadidisha migogoro katika eneo.
-
Taasisi ya kigaidi ya CENTCOM yakiri kuwa Marekani haina uwezo wa kukabiliana kijeshi na Iran
Jun 14, 2019 07:44Msemaji wa komandi ya kigaidi ya askari wa Marekani katika eneo la Asia Magharibi (CENTCOM) sambamba na kuashiria kwamba Washington haina nia yoyote ya kuanzisha vita katika eneo, amekiri kwamba kukabiliana kijeshi na Iran sio kwa maslahi ya Marekani.
-
Uropokaji mpya wa Trump dhidi ya Iran
Jun 13, 2019 06:50Rais Donald Trump wa Marekani daima amekuwa akichukua misimamo ya chuki na uhasama dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran na karibuni amekuwa akitumia stratijia ya 'mashinikizo ya juu zaidi' kuilazimisha Iran ikubali matakwa yake ya kidhalimu.