Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Japan: Mazungumzo ya Abe Shinzō na Rais Hassan Rouhani, yalikuwa chanya

    Japan: Mazungumzo ya Abe Shinzō na Rais Hassan Rouhani, yalikuwa chanya

    Jun 13, 2019 02:35

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Japan ameyataja mazungumzo ya Rais Hassan Rouhani wa Iran na Waziri Mkuu wa nchi hiyo Abe Shinzō kuwa yalikuwa chanya na yenye faida.

  • Rouhani: Iran inakaribisha suala la kuimarisha uhusiano na Japan

    Rouhani: Iran inakaribisha suala la kuimarisha uhusiano na Japan

    Jun 12, 2019 23:38

    Rais wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa hamu iliyodhihirishwa na Japan ya kutaka kuwekeza katika maeneo ya kusini mwa Iran inadhamini suala la kustawisha uhusiano kati ya nchi mbili.

  • Qatar yasisitiza kuwa sera za Saudia ni haribifu katika eneo la Asia Magharibi

    Qatar yasisitiza kuwa sera za Saudia ni haribifu katika eneo la Asia Magharibi

    Jun 12, 2019 03:38

    Mohammed bin Abdulrahman bin Jassim Al Thani, Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar akiwa safarini nchini Uingereza amesema: "Saudi Arabia ni nguvu ya uharibifu katika eneo lote la Mashariki ya Kati (Asia Magharibi) na Afrika."

  • Zarif: Imarati inajaribu kuwa Israel ya pili katika Mashariki ya Kati

    Zarif: Imarati inajaribu kuwa Israel ya pili katika Mashariki ya Kati

    Jun 12, 2019 03:25

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema katika mahojiano na televisheni ya al Arabi kuwa Umoja wa Falme za Kiarabu (Imarati) unatumia mabilioni ya dola kununua silaha huku ukifanya jitihada za kujaribu kuwa Israel ya pili katika eneo.

  • Iran iko tayari kufanya mazungumzo na nchi za Ghuba ya Uajemi

    Iran iko tayari kufanya mazungumzo na nchi za Ghuba ya Uajemi

    Jun 10, 2019 07:00

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema: "Jamhuri ya Kiislamu ya Iran iko tayari kufanya mazungumzo na kila moja ya nchi za Kiarabu za ukanda wa Ghuba ya Uajemi kuhusu masuala ya pande mbili na kieneo."

  • Qatar: Saudia na Imarati zinachochea ugaidi na taharuki katika eneo

    Qatar: Saudia na Imarati zinachochea ugaidi na taharuki katika eneo

    Jun 10, 2019 03:44

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar, Mohammed bin Abdulrahman Aal Thani amesema sera za Saudi Arabia na Umoja wa Falme za Kiarabi zinashadidisha ugaidi na kuchochea taharuki katika eneo la Asia Magharibi na barani Afrika.

  • Iran yamshangaa Netanyahu kwa kutiwa kiwewe na safari ya Shinzo Abe nchini

    Iran yamshangaa Netanyahu kwa kutiwa kiwewe na safari ya Shinzo Abe nchini

    Jun 10, 2019 03:30

    Mkuu wa Kamati ya Usalama wa Taifa na Sera za Kigeni ya Bunge la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amemkejeli na kumshangaa Waziri Mkuu wa utawala wa Kizayuni wa Israel, Benjamin Netanyahu kwa kuingiwa na kiwewe kutokana na safari tarajiwa ya Shinzo Abe, Waziri Mkuu wa Japan hapa mjini Tehran.

  • "Iran haihitajii Marekani wala haitaki kuwa na uhusiano nayo"

    Jun 09, 2019 22:44

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Iran amesema Jamhuri ya Kiislamu haihitajii Marekani wala haina haja ya kuwa na uhusiano na Washington.

  • "Iran haiwezi kufanya mazungumzo na Trump kidhabi"

    Jun 09, 2019 22:05

    Mchambuzi mmoja wa Kimarekani amesema kuwa Iran haiwezi kufanya mazungumzo na serikali kidhabi ya Donald Trump ambayo haioneshi nia yoyote nzuri katika mazungumzo.

  • Muhadhiri wa Uturuki: Lengo la Marekani ni kuzidhoofisha nchi zenye nguvu Asia Magharibi

    Muhadhiri wa Uturuki: Lengo la Marekani ni kuzidhoofisha nchi zenye nguvu Asia Magharibi

    Jun 09, 2019 22:02

    Mtaalamu wa masuala ya kisiasa na mhadhiri wa chuo kikuu nchini Uturuki amesema kuwa lengo la vikwazo na mashinikizo ya Marekani dhidi ya Iran ni kuendeleza siasa za kibeberu za White House za kuzidhoofisha nchi zenye nguvu za Asia Magharibi.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS