-
Kuinuliwa uwezo wa ulinzi wa Iran, stratijia isiyoweza kubadilika
Feb 05, 2019 00:12Jamhuri ya Kiislamu ya Iran haiogopi dola lolote katika kuinua na kuimarisha kiwango cha uwezo wake wa kujihami.
-
Ulimwengu wa Michezo, Feb 4
Feb 04, 2019 04:41Hujambo mpenzi msikilizaji na haswa mpenzi na mfuatiliaji wa spoti, na karibu tuangazie baadhi ya matukio ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita....
-
Mtandao wa Kijasusi wa utawala wa Kizayuni wakiri kuhusu uwezo wa kijeshi wa Iran
Feb 03, 2019 21:35Mtandao mmoja wa kijasusi wa utawala wa Kizayuni wa Isarel umeashiria kuzinduliwa kombora jipya la Iran na kukiri kuwa: "Kwa mtazamo wa kijeshi, Iran sasa inaishinda Israel na Marekani."
-
Salehi: Ushirikiano wa Iran na Ulaya unaendelea katika miradi ya nyuklia
Feb 03, 2019 03:31Mkuu wa Taasisi ya Nishati ya Nyuklia ya Iran amesema kuwa ushirikiano kati ya Iran na Ulaya katika miradi mbalimbali ya kinyuklia unapiga hatua nzuri.
-
Jeshi la Iran lazindua 'drones' na makombora mapya
Jan 30, 2019 11:09Sambamba na kukaribia maadhimisho ya miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu, Jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran limezindua silaha mpya za kijeshi, yakiwemo makombora ya kisasa na ndege zisizokuwa na rubani (drone).
-
Rais Assad: Jitihada za pamoja za Iran na Syria zimewatia kiwewe maadui
Jan 29, 2019 21:41Rais Bashar al-Assad wa Syria amesisitizia umuhimu wa kuendelea kushirikiana nchi yake na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika kuzima njama za maadui wa mataifa haya mawili.
-
Iran Inaongoza Mashariki ya Kati katika uga wa anga za mbali
Jan 29, 2019 21:40Mkuu wa Shirika la Anga za Mbali la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran (ISA) amesema: "Kutokana na jitihada za wasomi wake, Iran sasa inashika nafasi ya kwanza kieneo katika uga wa teknolojia ya anga za mbali na duniani inashika nafasi ya 11."
-
Ahadi za kukaririwa za Troika ya Ulaya kuhusiana na kutekelezwa mfumo maalumu wa kifedha wa SPV
Jan 29, 2019 21:38Makubaliano ya nyuklia ya Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) yalihesabiwa kuwa maafikiano muhimu kwa ajili ya kulinda amani na usalama wa kimataifa.
-
Iran ni nchi yenye amani zaidi katika eneo
Jan 29, 2019 10:14Mkuu wa Majeshi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Meja Jenerali Mohammad Bagheri amesema leo Iran ni nchi yenye amani zaidi katika eneo la Asia Magharibi.
-
Admeri Sayyari: Mfumo wa kijeshi wa Iran ni wa kujihami na kutegemea uwezo wa kuzuia hujuma dhidi yake
Jan 27, 2019 04:31Mkuu wa uratibu wa jeshi la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema, mfumo wa kijeshi wa Iran ni wa kujihami na unaotegemea uwezo wa kuzuia hujuma dhidi yake na akaongezea kwa kusema, zana zote za kijeshi na kiulinzi za vikosi vya ulinzi zinatengezwa humu humu nchini.