Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Muhadhiri wa Chuo Kikuu China: Iran ndiye mshindi mbele ya Marekani

    Muhadhiri wa Chuo Kikuu China: Iran ndiye mshindi mbele ya Marekani

    Jan 26, 2019 10:43

    Muhadhiri wa Chuo Kikuu cha Xiamen nchini China amesema kuwa, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imeshinda katika kukabiliana na vikwazo vya upande mmoja vya Marekani.

  • Zarif: Iran inaliunga mkono taifa la Venezuela dhidi ya njama za Marekani

    Zarif: Iran inaliunga mkono taifa la Venezuela dhidi ya njama za Marekani

    Jan 26, 2019 01:07

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran sambamba na kulaani uingiliaji wa Marekani katika masuala ya ndani ya Venezuela, amesema Iran inaliunga mkono taifa hilo la Amerika ya Latini na itasimama nalo dhidi njama ya mapinduzi inayopikwa na Marekani.

  • Jumamosi, Januari 26, 2019

    Jumamosi, Januari 26, 2019

    Jan 25, 2019 23:25

    Leo ni Jumamosi tarehe 19 Mfunguo Nane Jamadil Awwal 1440 Hijria mwafaka na tarehe 26 Januari 2019 Miladia.

  • Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran aonya kuhusu hujuma za maadui za kuleta ufisadi na upotovu

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa Tehran aonya kuhusu hujuma za maadui za kuleta ufisadi na upotovu

    Jan 25, 2019 10:51

    Khatibu wa Swala ya Ijumaa iliyoswaliwa leo hapa mjini Tehran ametahadharisha kuhusiana na hujuma za maadui za kuleta ufisadi na upotovu hapa nchini.

  • Alkhamisi tarehe 24 Januari 2019

    Alkhamisi tarehe 24 Januari 2019

    Jan 24, 2019 00:35

    Leo ni Alkhamisi tarehe 17 Jamadil Awwal 1440 Hijria sawa 24 Januari 2019.

  • Russia yaamua kususia mkutano wa Marekani wa Warsaw

    Russia yaamua kususia mkutano wa Marekani wa Warsaw

    Jan 24, 2019 00:35

    Ikiwa ni katika fremu ya malengo yake inayoyafuatilia katika eneo la Mashariki ya Kati, Marekani ina mpango wa kuitisha mkutano hapo tarehe 13 na 14 mwezi ujao wa Februari huko Warsaw mji mkuu wa Poland chini ya anwani ya "Mkutano wa Amani na Usalama katika Mashariki ya Kati".

  • Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Kasi ya harakati ya sayansi nchini isisite wala kupungua kwa namna yoyote ile

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi: Kasi ya harakati ya sayansi nchini isisite wala kupungua kwa namna yoyote ile

    Jan 23, 2019 13:29

    Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesisitiza kuhusu ulazima wa kufanywa juhudi za pande zote usiku na mchana ili kuweza kupigwa hatua zaidi katika elimu na sayansi mbali mbali; na akabainisha kwamba: Kasi ya harakati ya kisayansi nchini haipasi kupunguzwa au kusitishwa.

  • Kutoshiriki Mogherini katika mkutano wa Warsaw, pigo jingine dhidi ya Marekani

    Kutoshiriki Mogherini katika mkutano wa Warsaw, pigo jingine dhidi ya Marekani

    Jan 22, 2019 03:41

    Katika fremu ya siasa zake za kuipiga vita Jamhuri ya Kiislamu ya Iran, Marekani imeanzisha jitihada kubwa za kuitisha mkutano wa kutafuta mwafaka wa kimataifa dhidi ya Iran.

  • Mkuu wa Rossiya Segodnya ataka kuachiwa huru Marzieh Hashemi

    Mkuu wa Rossiya Segodnya ataka kuachiwa huru Marzieh Hashemi

    Jan 21, 2019 08:59

    Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la habari la kimataifa la Rossiya Segodnya la Russia amesema kuwa kuna udharura wa vyombo vyote huru vya habari duniani kumtetea na kumuunga mkono mwandishi habari wa televisheni ya Press TV, Marzieh Hashemi anayeshikiliwa na vyombo vya usalama vya Marekani.

  • Ulimwengu wa Michezo, Jan 21

    Ulimwengu wa Michezo, Jan 21

    Jan 21, 2019 03:33

    Hujambo mpenzi msikilizaji wa na haswa mpenzi na mfuatiliaji wa spoti, na karibu tuangazia baadhi ya matukio ya michezo ndani ya siku saba zilizopita.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS