-
Salehi: Iran ni nchi huru duniani na ni ufunguo wa dhahabu katika eneo
Jan 20, 2019 22:04Mkuu wa Shirika la Atomiki la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Iran ni nchi pekee huru na yenye kijitegemea miongoni mwa nchi zinazostawi na nchi hii pia ni ufunguo wa dhahabu katika eneo.
-
Jebeli: Kutiwa mbaroni Marzieh Hashemi ni vita vya kisiasa vya Marekani dhidi ya Iran
Jan 20, 2019 00:57Mkuu wa Kitengo cha Kimataifa cha Shirika la Utangazaji la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kutiwa mbaroni Marzieh Hashemi mtangazaji wa kanali ya televisheni ya Kimataifa ya Press TV ni vita vya kisiasa vya Marekani dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu na mashinikizo mapya ya Washington katika kipindi hiki cha kukaribia maadhimisho ya kutimia miaka 40 ya ushindi wa Mapinduzi ya Kiislamu.
-
Shehena ya madawa ya kulevya iliyokuwa ikisafirishwa kupelekwa Ulaya yanaswa kusini mwa Iran
Jan 19, 2019 21:42Wizara ya Usalama ya Iran imetangaza kuwa vikosi vya usalama vimegundua na kunasa shehena ya madawa ya kulevya aina ya heroini yenye uzito wa kilo 618 katika bandari moja ya kusini mwa nchi.
-
Kukiri Antonio Guterres juu ya nafasi muhimu ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati
Jan 19, 2019 21:41Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa amekiri nafasi muhimu na athirifu iliyonayo Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika eneo la Mashariki ya Kati na kubainisha kwamba, katika hali ya hivi sasa ambapo eneo hili linakumbwa na migogoro mbalimbali, Jamhuri ya Kiislamu ya Iran ni nchi muhimu na yenye nafasi muhimu na athirifu katika eneo.
-
Kumalizika safari ya Zarif nchini Iraq; dhihirisho la urafiki kuanzia Baghad hadi Arbil
Jan 18, 2019 07:43Safari ya siku tano ya Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran nchini Baghdad na kukutana kwake na viongozi wa serikali kuu mjini Baghdad na wa eneo la Kurdistan nchini humo ni ishara inayodhihirisha wazi kwamba uhusiano wa nchi mbili hizi jirani ni wa kirafiki.
-
Mtangazaji wa Press TV, Bi. Hashemi, kufikishwa mahakamani Marekani
Jan 18, 2019 04:46Mtangazaji wa Televisheni ya Press TV, Bi. Marzieh Hashemi, ambaye amekuwa akishikiliwa kwa siku kadhaa na polisi ya Marekani, FBI, bila kufahamishwa sababu za kukamatwa kwake anatazamiwa kufikishwa mahakamani mjini Washington DC leo Ijumaa.
-
Iran yalaani hujuma ya kigaidi nchini Kenya
Jan 16, 2019 12:46Jamhuri ya Kiislamu ya Iran imelaani hujuma ya kigaidi iliyojiri katika mji mkuu wa Kenya, Nairobi hiyo jana na kusababisha watu kadhaa kuuawa na wengine kujeruhiwa.
-
Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran yalaani kutiwa mbaroni mwandishi wa Press TV nchini Marekani
Jan 16, 2019 11:45Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani kitendo cha serikali ya Marekani cha kumuweka kizuizi mtangazaji maarufu wa televisheni ya Press TV na ametaka kuachiliwa huru mara moja mtangazaji huyo tena bila ya masharti yoyote.
-
Marekani na njama zake chafu dhidi ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
Jan 15, 2019 04:35Mtaalamu wa masuala ya kisiasa nchi Uturuki amesema kuwa, kikao cha Marekani cha kukabiliana na Jamhuri ya Kiislamu ya Iran huko nchini Poland, kimepangwa kufanyika kupitia njama chafu za White House kwa ajili ya kuibua mifarakano kati ya nchi za eneo la Mashariki ya Kati na kufunika mgogogro unaonedelea kufukuta ndani ya Marekani.
-
Ulimwengu wa Michezo, Jan 14
Jan 14, 2019 03:54Mkusanyiko wa matukio muhimu ya spoti ndani ya siku saba zilizopita, kitaifa na kimataifa....