-
Mashirika ya Ulaya yapinga ombi la Marekani la kususia Huawei
Jan 13, 2019 23:30Mashirika makubwa ya mawasiliano brani Ulaya yamepinga ombi la Marekani la kulisusia shirika kubwa la mawasiliano la China, Huawei.
-
Qassemi: Iran ingali imefungamana na makubaliano ya nyuklia JCPOA
Jan 13, 2019 04:06Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekanusha uvumi kwamba Tehran imejiondoa katika makubaliano ya nyuklia yanayofahamika kwa kifupi kama JCPOA.
-
Jumapili, Januari 13, 2019
Jan 12, 2019 23:22Leo ni Jumapili tarehe sita Jamadul-Awwal 1440 Hijiria, sawa na tarehe 13 Januari 2019 Miladia.
-
Ukosoaji wa Russia kwa EU kwa kufeli mtihani wa kutekeleza kivitendo makubaliano ya JCPOA
Jan 12, 2019 04:43Makubaliano ya nyuklia, yanayojulikana kama Mpango Kamili wa Pamoja wa Utekelezaji (JCPOA) ni makubaliano muhimu sana katika uga wa kudumisha amani na usalama wa kimataifa. Lakini uamuzi iliochukuliwa na Marekani mnamo mwezi Mei 2018 wa kujitoa kwenye JCPOA, ulikuwa hatua hasi iliyotekelezwa kwa nia ya kuyasambaratisha makubaliano hayo.
-
Zarif: Kongamano lijalo la Marekani dhidi ya Iran huko Poland ni sarakasi
Jan 12, 2019 04:13Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu amesema mkutano wa Marekani na waitifaki wake dhidi ya Iran unaotazamiwa kufanyika mwezi ujao katika mji mkuu wa Poland, Warsaw ni mwendelezo wa michezo ya kuigiza na sarakasi za Wasington.
-
Kamanda: Jeshi la Iran liko tayari kutoa jibu kwa tishio lolote
Jan 11, 2019 23:24Kamanda wa Jeshi la Anga la Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema taifa hili limejiandaa kutoa jibu mwafaka kwa tishio lolote ajinabi.
-
Marekani; sababu kuu ya ukosefu wa amani katika Mashariki ya Kati
Jan 10, 2019 21:43Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema kuwa, kadiri Wamarekani watakavyoondoka haraka nchini Syria ndivyo itakavyokuwa bora kwa wananchi wa nchi hiyo.
-
Zarif: Iran haitasitisha mpango wake wa kurusha roketi anga za mbali, licha ya makelele ya Marekani
Jan 09, 2019 23:19Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema Tehran itaendelea na mpango wake wa kurusha roketi katika anga za mbali licha ya onyo, vikwazo na pingamizi la Marekani.
-
Kiongozi Muadhamu: Taifa la Iran litapata ushindi wa kihistoria usiowahi kushuhudiwa dhidi ya vikwazo vya Marekani
Jan 09, 2019 13:34Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu amesema: Marekani inasema kwa furaha kwamba vikwazo vya sasa dhidi ya taifa la Iran havijawahi kushuhudiwa katika historia; lakini taifa la Iran litapata ushindi dhidi yake katika suala hilo ambao pia haujawahi kushuhudiwa katika historia.
-
Iran: Nchi za Ulaya si wakweli katika suala la kupambana na ugaidi
Jan 09, 2019 13:30Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amelaani uamuzi usio na mantiki na wa kushangaza uliochukuliwa na Umoja wa Ulaya wa kuwawekea vikwazo raia kadhaa wa Iran kwa kutegemea tuhuma zisizo na msingi wowote.