Pars Today

Kiswahili
  • Nyumbani
  • Radio
  • Albanian shqip
  • Armenian Հայերեն
  • Assyrian ܐܬܘܪ̈ܝܐ
  • Azeri Azəri
  • Bangla বাংলা
  • Chinese 中文
  • Dari دری
  • English English
  • French français
  • German Deutsch
  • Hausa Hausa
  • Hebrew עברית
  • Hindi हिन्दी
  • Indonesian Bahasa Indonesia
  • Italian Italiano
  • Japanese 日本語
  • Kazakh қазақ тілі
  • Kiswahili Kiswahili
  • Pashto پښتو
  • Persian فارسی
  • Russian Русский
  • Spanish Español
  • Tajik Тоҷик
  • Taleshi Tolışə
  • Turkish Türkçe
  • Turkmen Türkmen
  • Uzbek узбек
  • Dunia
  • Asia Magharibi
  • Iran
  • Afrika
  • Dini
  • Parspedia
  • Disinfo

Iran

  • Iran: Anachofanya Trump ni kubainisha matamanio yake batili tu na yaliyo muhali kuthibiti

    Iran: Anachofanya Trump ni kubainisha matamanio yake batili tu na yaliyo muhali kuthibiti

    Jan 07, 2019 04:17

    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje ya Iran amesema, anachofanya Donald Trump ni kubainisha matamanio batili tu aliyonayo na yaliyo muhali kuthibiti.

  • Ulimwengu wa Spoti, Jan 7

    Ulimwengu wa Spoti, Jan 7

    Jan 07, 2019 03:44

    Hujambo mpenzi msikilizaji na hususan mfuatiliaji wa spoti, na karibu tuangazie baadhi ya matukio muhimu ya michezo yaliyojiri ndani ya siku saba zilizopita katika pembe mbalimbali ya dunia.....

  • Kongamano la Kimataifa la Ulinzi na amani Magharibi mwa Asia litafanyika Jumatatu Tehran

    Kongamano la Kimataifa la Ulinzi na amani Magharibi mwa Asia litafanyika Jumatatu Tehran

    Jan 06, 2019 10:41

    Kongamano la Kimataifa la Ulinzi na Amani Eneo la Asia Magharibi litafanyika kesho mjini Tehran likihudhuriwa na maafisa wa masuala ya kisiasa, kiulinzi na kiusalama na wataalamu wa nyanja hizo kutoka nchi mbalimbali za Asia na Ulaya.

  • Kikosi cha majini cha IRGC ya Iran kuzindua nyambizi mpya za kisasa

    Kikosi cha majini cha IRGC ya Iran kuzindua nyambizi mpya za kisasa

    Jan 06, 2019 04:41

    Kamanda wa Kikosi cha Majini cha Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema kikosi hicho kinatengeneza nyambizi za kisasa, na mafanikio hayo mapya ya Iran katika uga wa kujihami yatazinduliwa karibuni hivi.

  • IRGC: Nguvu za kijeshi na kisiasa za Marekani ziko katika ncha ya kuporomoka

    IRGC: Nguvu za kijeshi na kisiasa za Marekani ziko katika ncha ya kuporomoka

    Jan 05, 2019 04:35

    Naibu Kamanda Mkuu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran (SEPAH) amesema taifa la Iran limetoa pigo sio tu kwa mfumo wa kisiasa wa Marekani, lakini pia kwa jeshi la nchi hiyo ya kibeberu.

  • Uwezo wa makombora wa Iran; suala lililo nje ya irada na matakwa ya Marekani

    Uwezo wa makombora wa Iran; suala lililo nje ya irada na matakwa ya Marekani

    Jan 04, 2019 23:10

    Kwa mara nyingine tena, harakati ya Jamhuri ya Kiislamu ya Iran katika maendeleo ya kielimu na kisayansi, ikiwemo kutuma maroketi ya kubebea satalaiti katika anga za mbali na vilevile kustawisha uwezo na nguvu za makombora yake, imewalazimisha viongozi wa Marekani kufungua midomo tena na kuanza kupayuka.

  • Balozi wa Iran Nairobi ataka kuboreshwa ushirikiano na nchi za Afrika Mashariki

    Balozi wa Iran Nairobi ataka kuboreshwa ushirikiano na nchi za Afrika Mashariki

    Jan 04, 2019 04:16

    Balozi wa Jamhuri ya Kiislamu nchini Kenya ametoa wito wa kutayarishwa mazingira mazuri zaidi ya kupelekwa huduma za kiufundi na kihandisi za Iran katika nchi za mashariki mwa Afrika.

  • Zarif ajibu matamshi ya Pompeo, asema dawa ya moto ni moto

    Zarif ajibu matamshi ya Pompeo, asema dawa ya moto ni moto

    Jan 03, 2019 23:53

    Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amekadhibisha madai yaliyotolewa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani kuhusu majaribio ya makombora na miradi ya masuala ya anga ya Iran.

  • Ijumaa tarehe 4 Januari 2019

    Ijumaa tarehe 4 Januari 2019

    Jan 03, 2019 23:22

    Leo ni tarehe 27 Rabiuthani 1440 Hijria sawa na 4 Januari mwaka 2019.

  • Zarif: Hakuna dola linaloweza kudai kuwa limehodhi nguvu zote za dunia

    Zarif: Hakuna dola linaloweza kudai kuwa limehodhi nguvu zote za dunia

    Jan 03, 2019 11:45

    Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran amesema hakuna taifa lolote linaloweza kudai kuwa limehodhi nguvu zote za dunia katika enzi hizi, na kusisitiza kwamba zama za dola moja kufanya maamuzi kwa niaba ya mataifa kadhaa zimepitwa na wakati.

Onesha Zaidi
Pars Today

© 2026 PARS TODAY. All Rights Reserved.

Habari
    Dunia
    Asia Magharibi
    Iran
    Afrika
    Dini
    Parspedia
    Disinfo
Pars Today
    SISI NI
    Wasiliana Nasi
    RSS